kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nipo Musoma

    Habari wakuu kwema nyote, natumaini hamjambo wote, Sawa baada ya salamu naomba nije kwenye jambo langu hili, mimi ni kijana jinsia me miaka 27 nipo musoma, natafuta kazi yoyote iwe na angalau narudi na chochote kitu jioni, Nipo tu sina mishe yoyote wala kazi, naomba tafadhali kama...
  2. JamiiForums Tanzania Kamati ya simba mliyoteua bado inaendelea na kazi au?

    Kamati ilioteuliwa siku 7 kabla ya derby imeishia wapi nahisi kwa wakati huu wa mapito mngeitumia ile kamati kuwasaidia mambo ya kiufundi inavyoonekana simba mtalia mexhi zijazo kwa sababu pale mnapopitia mshinde wenzenu wanapigilia misumari ....... msiiache hii kamamati kama mna mpango wa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya fumigation personnel

    EFT CLEANING AGENCY LIMITED inatangaza nafasi ya kazi ya Fumigation Personnel Sofa . 1. awe na Umri usiopingua miaka 21 2. Awe na utayari kufanya kazi pale atakapopangwa 3. Awe amesomea fani husika na aw na vyeti vyote muhimu vya usajili 4.Awe tayari kufanya kazi ndani ya wiki mbili toka angazo...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanaume Vs Mwanamke: Uchambuzi wa Ubongo wa Mwanadamu

    Tafiti nyingi zimepambanua utofauti wa namna akili ya mwanaume na mwanamke; majibu ni kama yafuatavyo. 1. KUFANYA KAZI NYINGI. Wanawake wana Ubongo wenye michakato mingi. Akili za wanawake iliyoundwa ili kuzingatia kazi nyingi kwa wakati mmoja. Wanawake wanaweza Kutazama TV na Kuzungumza...
  5. JamiiForums Tanzania BVB kazi yao kugawa wachezaji tu huku wakizoea kuwa vibonde wa Bayern.

    Yani tangia 2011/12 bayern ndio wanabeba tu kombe hadi leo huku hawa dortmund kazi yao ni kuuza vipaji kwa gharama mno bila ya kuinvest vizuri katika team yao. Kwa hio wao sasa wamekuwa soko la kutengeneza wachezaji kuhusu ubingwa na historia hilo kwao hawalijui tena. Walipaswa kuwa european...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Serikali kuwabeba watumishi wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeendelea kutoa motisha ya kifedha na isiyo ya kifedha kwa watumishi wote ikiwemo watumishi wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu kwa kuboresha viwango vya posho ya kazi baada ya...
  7. JamiiForums Tanzania Dancer wa Wasafi "Bajuni" aachana na kazi ya kucheza mziki rasmi

    Aliyekuwa Dancer wa Wasafi chini ya Diamond Platnumz, Bajuni H. Bajuni ametangaza gafla kuachana na kazi iliyompa umaarufu ya kucheza mziki katika Shows na Video za mziki. Ameandika kuwa leo ameamua kuachana na kazi hiyo ambayo amekuwa akiifanya kwa muda mrefu toka utotoni na mpaka sasa amepita...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile na Kikosi Kazi cha Injili

    Ninajua kuwa upo gerezani kwa sasa, lakini naamini hutaliruhusu gereza kuingia moyoni mwako. Ni kwa sababu hiyo basi, nimechukua hatua hii nikiamini kuwa hata kama hutakuwa na simu gerezani, wapendwa wako wataweza kukufukishia huu ujumbe kwa wakati sahihi. Awali ya yote, ninakupa pole kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mangungu piga kazi baba, wanachama tuko nyuma yako

    Zile "Khamsa" kiukweli zimenichanganya kiasi kwamba hata salamu kwa wanasimba wenzangu imekuwa ngumu! Mimi kama mwanachama hai wa Simba Sc mwenye namba ya uanachama No_678,nachukua nafasi hii kumpongeza mwenyekiti wetu bwana Murtaza Mangungu kwa kuendelea kuwa Imara katika kipindi hiki ambacho...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani Mbeya wapongezwa kwa kuwafuta kazi watumishi wabadhirifu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) amepongeza uamuzi uliofanywa na Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Mbeya ambalo ndio Mamlaka ya nidhamu ya Watumishi wa Halmashauri hiyo kwa kuchukua hatua kali ya kuwafukuza kazi watumishi wawili wa Halmashauri hiyo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Badala ya kushughulika na elimu inavyoharibiwa shule binafsi, unashughulika na nyimbo za Zuchu ili nawe uonekane unafanya kazi!

    Ukienda private schools kuna manyanyaso mengi sana mpaka unajiuliza hivi wizara husika IPO kweli au hawajui wafanye nini! 1. Mishahara ya baadhi ya shule kwa graduates haizidi laki mbili kwa mwezi wakati serikali imeahaweka kima cha chini na cha juu na graduates anapaswa kuanzia laki saba. 2...
  12. N

    JamiiForums Tanzania KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Ndugu zangu watanzania, sisi wajasiriamali tunaojaribu kufuata sheria na kuwa complied na sheria za Nchi tunapitia mengi sana. Wakati wa JPM ulikuwa ukifanya returns BRELA au mabadiliko yoyote kwenye kampuni yako ulikuwa unapata huduma kwa haraka sana. Nina miezi mitatu nimefile BRELA returns...
  13. JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Walimu waliosimamishwa kisa "honey" warejeshwe

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameishauri Serikali kuwarejesha kazini Walimu wakuu wa Shule za Msingi zilizopo Tunduma Mkoani Songwe waliovuliwa vyeo baada ya kusambaa kwa video ikiwaonesha Wanafunzi wakicheza wimbo wa Msanii Zuchu uitwao ‘Honey’. Spika...
  14. JamiiForums Tanzania Ucheleweshaji wa mizigo Bandarini; Mwarabu aanze kazi?

    Wenye experience na vikwazo kama hivi, mliokomaa kiroho kusubiri mzigo mwezi mzima alafu uje ukae bandarini hivi.
  15. JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi za kazi

  16. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi Aipongeza UWT kwa Kazi Kubwa Wanayoifanya Ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewapongeza Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Chini ya Mwenyekiti wao Mary Chatanda kwa kazi kubwa wanayoifanya katika Nchi hii kwa kutembelea miradi na kufanya...
  17. JamiiForums Tanzania Najua kwa sasa mmejifungia Kikaoni Hotelini Posta ili Kumfuta Kazi Kocha Mkuu, ila hata nyie hatuwataki tena SSC

    Najua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma ) Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe: Ili Mkurugenzi wa Halmashauri ateuliwe anatakiwa awe amefanya kazi miaka 12 Utumishi wa Umma

    "Nakupongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Hongera sana. Hii kwasababu una uwezo mkubwa sana na umetuheshimisha sana" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai. "Namshukuru Mheshimiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi clinical officer

    Helloe, Mimi ni msichana Nina miaka 27,elimu yangu Diploma natafuta kazi idara ya afya "clinical officer" nipo mkoa wa Ruvuma, kwa mawasiliano naomba kuni DM.Asanteni niwatakie kazi njema kwenye kujenga taifa.
  20. JamiiForums Tanzania Mpinzani mkubwa wa CCM kwa sasa ni Serikali ya awamu ya tano. Wapinzani wameshindwa kazi yao?

    Leo hii CCM hawajibu hoja za wapinzani(Labda ni nyepesi) wako bize "Kuijibu" serikali ya awamu ya tano. Kwa sasa mpinzani mkubwa wa CCM ni serikali ya awamu ya tano, na kidogo wanaharakati. Hawana muda kabisa na hoja za wapinzani. Upinzani umekuwa nyanya kiasi hicho hadi CCM wanatafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…