kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya RC Chalamila ''Mtu akifia Polisi wanasema polisi kaua, lakini ikiwa ni hospitali ni mipango ya Mungu'' siyo ya kiungwana

    Akiongea wakati wa kukabidhi magari manne ya wagonjwa kwenye hafla iliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Amana wakati wa hafla ya kukabidhi Chalamila amesema "Hii sekata ina Umungu ndani yake, leo nikifa mikononi mwa Polisi watu watasema Polisi wameuwa, lakini Hospitali wanasema ni mipango ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu hii ya SKUDU tuishi nayo Wana-YANGA, Hii ni moja ya Kauli Mbiu nyingine nzuri sana

    Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela. Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha. #The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe! #Hii Imeenda
  3. JamiiForums Tanzania Kauli zipi tamu hauwezi kuzisahau kwa jinsi zilivyokuletea shida/tatizo kubwa?

    1. Kwani we huniamini? - sasa ww msikilize hlf ujimix kuamini uone kitakachotokea. Utaishia kutibu gono, uti, kaswende, malengelenge, pangusa vyote kwa pamoja. 2. Mi ndo mara yangu ya kwanza - atakushangaza kwa kubinuka styles zote na kulia vilio vyote vya kimahaba pamoja na kile cha "ntukanie...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hii kauli imepita muda wake ibadilishwe

    Hii kauli kwa sasa sikubaliani nayo aisee ukitaka kwenda kombo fuata hii kauli "KWENYE KILA MAFANIKIO YA MWANAUME KUNA MWANAMKE NYUMA YAKE" ila kwa mimi naamini kwanyakati hizi "KWENYE KILA ANGUKO LA MWANAUME KUNA MWANAMKE NYUMA YAKE" N:B..Either atakuwa mweupe or Anamkalio makubwa
  5. JamiiForums Tanzania Hakika kauli hii ilinishangaza

    Tarehe 08 Desemba 2008 siku ya Jumatatu majira ya saa 4 usiku nilifiwa na shemeji yangu mdogo wake kabisa na wife. Shemeji yangu huyo aliugua kwa zaidi ya wiki mbili na siku alofariki ndo siku aliruhusiwa toka hospitali moja kubwa ya private akiwa na nafuu kabisa. Hata nami niliporudi job majira...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli ya Juma Homera inasema jambo kubwa kuhusu hali ya demokrasia nchini

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya katika harakati za kumsifia Dr Tulia Ackson amesema atakuwa peke yake mwaka 2025. Kauli hiyo imejadiliwa sana na gazeti la mwananchi la leo, ambapo wasafi FM wakisoma magazeti asubuhi ili kuzungumzia hilo. Katika mahojiano hayo ya asbuhi ya leo amesema "Sijamzuia mtu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Makonda hatoboi. Kauli zake zinawaudhi "wenye nchi"

    Kama unadhani wananhi wote tuna hadhi na haki sawa unajidanganya. Nchi hii Ina wenyewe na kila anayetaka kuwa kiongozi ni lazima akubalike na hawa watu. Makonda katoa kauli zinazowakwaza na kuwachokonoa wenye nchi. Kauli kama "hata nishikiwe bastola sitamakana Magufuli", "kama umestaafu kaa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nyumba ya kuishi iliyopo wilaya ya Kinondoni ambayo imejengwa na Serikali...
  9. JamiiForums Tanzania Kauli za Zelensky na Zaluzhny kuonesha wameshindwa vita

    Kauli za raisi wa Ukraine na kamanda wake wa majeshi hazitii shaka kuwa vita vya Ukraine karibu vitaisha kwa kushindwa Ukraine. Hayo yamepaikana katika machapisho ya CNN tarehe 3 Novemba baada ya kuhojiana na viongozi hao wakuu katika kuongoza vita vyao na Urusi. Kwa mtazamo wa muandishi wa...
  10. JamiiForums Tanzania CDF Gen. Mkunda tafadhali tupitie pamoja hizi baadhi ya Kauli za Raia waliopokea Kipondo cha MP wako Lugalo na Kauli za Wazazi wao kisha tuzielewe

    Kijana aliyepokea Kipondo kikali cha MP wa Lugalo tokea Juzi na Jana Jioni Kuachiwa "Yaani nashindwa Kutembea hivi huku Macho yangu hayaoni vizuri kutokana na Adhabu na Kipigo. Labda hawa Wanajeshi wasije kushinda nasi huku Kawe Kisasi nitakilipiza tu" Mdada aliyepokea Kichapo kutoka kwa MP wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kuna kampeni ya kuua Tembo na wanyama pori inaanzishwa taratibu kwa kauli mbiu " Tembo/wanyama siyo bora kuliko binadamu"

    Ndugu zangu watanzania tuwe makini na wanasiasa hasa kipindi cha uchaguzi. Tuliona namna wanasiasa wa kanda ya ziwa walivyopambana kushangilia uvuvi haramu wakidai ziwa ni mali yao na wapo tayari libaiki kama swimming pool . Kauli hizi walizitoa wakitaka watu wavue bila kudhibitiwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Watu wenye kauli hizi uwaepuke, zinaambukiza

    1: Mimi au sisi ni masikini Mtu anayekiri umasikini ataishia kuwa masikini tu na ukimuendekeza atakuambukiza. 2: Maisha ni magumu Haisaidii kitu kukiri ugumu wa maisha. Tumia Muda mwingi kutafuta suluhisho. Ukizungukwa na watu wa namna hii kila kitu na wewe utakiona ni kigumu. 3: Haiwezekan i...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi kauli ya hauna connection na GPA haina maana inavyosababisha wanafunzi wengi wa vyuo vikuu kuwa na matokeo duni vyuoni

    Habari wanajamvi, Inabidi tuzungumze uhalisia wanajamvi matokeo ya wanafunzi wengi wa vyuo wa miaka ya hivi karibuni yamekua duni ukilinganisha na vizazi vilivyopita vya miaka 90s,80s,70s, GPA kuanzia 3.8 ni za kutafuta na tochi vyuoni haswa haswa vyuo vya umma Moja ya sababu ni kumekua na...
  14. JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Serikali zimekosa uaminifu na utambuzi wa dhamana ya CCM kama chama

    Rais wa nchi ni mwanachama wa CCM, amebeba dhamana na kutenda kwa niaba ya CCM, yeye ni mwenyekiti wa chama, Rais wa Serikali ya CCM. Utambulisho wa Rais haupo katika ubinafsi bali yupo katika hali ya uwakilisho jumuishi na shirikishi. Viongozi wa Serikali katka ngazi mbali mbali Rais Hassan...
  15. JamiiForums Tanzania Unaponunua laptop iliyotumika fanya hivi kupima battery inakaa muda gani, usitegemee kauli mali

    Walengwa ni hasa wale tunaonunua laptops zilizotumika lakini pia vyuo vinakaribia kufungua ni kipindi ambacho laptops zinanunulika sana. Unaponunua Pc ni rahisi kukagua Ram, Hard Disk, Processor, Speaker, tachi, n.k. lakini wengi wanategemea kauli mali linapokuja suala la battery, utaambiwa tu...
  16. JamiiForums Tanzania Kauli ya Damu ni nzito kuliko Maji ni Uongo

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Misemo na kauli za kilaghai imekuwa ikitumiwa kujenga jamii ya kinafiki katika jamii na Ulimwengu huu. Moja wapo ya misemo au kauli za Uongo au kilaghai ni pamoja na kauli isemayo, Damu ni nzito kuliko Maji. Hiyo dhana au kauli hiyo haina ukweli wowote...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna Kauli mbovu na ya kizembe niliyowahi kuisikia kama hii ya "Tafuta Hela"

    One of the most reckless statement ever... Kauli ya kizembe sana.. Mtu anafanya kaz serikalin au kwa Kampuni binafsi unamwambia tafuta hela? Unataka aibe au? Na hii kauli ya reja reja sio ya bahati mbaya, ni ya machekbobu wanaotamba kwenye mitandao na scraps za dola 10-15k. Hii kauli inakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya mitandao ya kijamii kuwa kura zipo mitaani sio mitandaoni

    Kauli zingine zinafikirisha sana. Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijitali. Maoni ya watu wananapiga kelele kupitia mitandao ya kijamii. Watawala wanaumia. Hao hao wanaopiga kelele mitandaoni wanaishi mitaani. Alafu waziri aliye na digrii anasema hawapigi kura. Inashangaza.
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Haijawahi kutokea kiongozi wa nchi kupita vijijini kama anavyofanya Rais Samia

    Waziri wa OR-TAMISEMI akihojiwa na Clouds Media amesema... Haijawahi kutokea kiongozi wa juu wa nchi kupita maeneo ya vijijini kama alivyofanya Dkt. Samia Suluhu Hassan hasa kipindi ambacho si cha uchaguzi lazima tuliweke hili hewani. Maeneo ambayo Mhe. Rais amepita siku ya jana maeneo ya...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kuusema uchumi wa China unaporomoka, ni kauli zinazofilisika

    Siku hizi, vyombo vya habari vya Magharibi vimejitokeza pamoja kuusema vibaya uchumi wa China, na kwamba hata rais Joe Biden wa Marekani alikuja mwenyewe, akisema kuwa China inakabiliwa na matatizo ya kiuchumi na hata akadokeza kuwa uchumi wa China utaporomoka. Lakini ukweli ni kwamba: uchumi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…