NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba
1.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Tanganyika nitachagua Yesu.
2.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Ukimya munao uita amani...
https://youtu.be/EQnhTrDiykk?si=c1X_I-Sskz3-cwZR
Baba Askofu, toka tulipokuona mara ya mwisho tarehe 2/6/2025 siku ya kwanza ya mkesha kanisa kuu ulipotea Lakini leo tumeona picha zimezagaa ukichukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kawe
Ni jumapili ya nne mfululizo serikali kupitia jeshi la...
"TRUMP JUST NOW: “ISRAEL was REALLY HIT HARD. Boy, those ballistic missiles took out a lot of buildings!”
...ikiwa alisema kwa dhihaka (sarcastically), basi ni kweli — ni mzaha wa kejeli kwa Iran, na inaonekana kulenga kubeza au kupuuza mafanikio ya shambulizi la Iran dhidi ya Israel.
🧠...
Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ?
Nilimsikia kikwete anasema ukienda kupiga kura "za kuambiwa chanyanya na zako" pia alisema uchaguzi wa Kenya ni wa uwazi sana kiasi kwamba mtu anaweza...
Watumishi wengi walielewa tofauti kauli ya mama kila alipohutubia alisema.
"HILI NALO MKALITIZAME"
Hii kauli huko Zanzibar kwa watu wa pwani inamaanisha kwenda kumaliza tatizo!
Lakini ukiwa waambia watumishi wa Tanzanja Bara kwamba HILI NALO MKALITIZAME; Kwa vichwa vya watu wa bara halina...
KAULI YA LEO
Neno 'SWAHILI' kimatamshi linaweza kutokana na 'ZIWA HILI' au likatafsiriwa 'SAWAHILI' kutokana na neno la Kiarabu 'SAHIL' linalomaanisha 'PWANI' likirejelea 'lugha', 'tamaduni' na 'watu' wanaoishi 'kando kando ya bahari' au 'Pwani'.
'Wamijikenda' na 'wandigo' waliwaita 'Wajomba'...
CCM wamekuwa wakijigamba kwamba nchi wameitoa mbali, wameleta maendeleo. Upande wa upinzani wanasema nchi imekuwa ya hovyo kabisa ni afadhali mkoloni. Sasa mimi naweka ushahidi wote hapa kuunga mkono hoja za Chadema.
Kauli maarufu inayohusiana na kwa sasa wanaitwa chawa chawa na ilitamkwa na mwanafalsafa wa Kirumi Tacitus, ambaye aliandika.
“Even the worst rulers always find men who will praise them.”
(Hata watawala wabaya kabisa huwapata watu wa kuwashangilia.)
Au katika Kilatini kama alivyoandika...
Ni wazi kabisa ACT wazalendo walisaini maadili ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 mwezi October kuonesha kuwa walilidhia kanuni hizo, wanajua kanuni hizo ziliwaelekeza kuwaelimisha wafuasi wao kuwa hawataruhusiwa kuwa na simu eneo la uchaguzi wakat uchaguzi ukiendelea, pia wanajua wazi kuwa...
No reforms no election.
Wakuu kama mada inavojieleza, kuna mwanamke nimekua nikimfukuzia kwa mda kidogo sasa leo katika maongezi mara ghafla akaniambh nina sura ya upole. hii kauli niliipokea kwa mshtuko mana ilikua ghafla sikujua kawaza nini hadi aniambie hivo. je, wewe ulishawahi ambiwa hvo...
Katika hali ya kushangaza, kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" inachipuka kwa kasi kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, jukwaa ambalo lilizoea kudharauliwa na wachambuzi wa kisiasa kama sehemu ya "wajinga", wasiojali siasa wala mustakabali wa taifa. Instagram, mtandao wa picha...
Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.
Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu...
Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye...
Friends and our Enemies,
Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu zake.
Kwa kauli ya MWENYEKITI WA CCM Jana,ni wazi kuwa huyo siyo miongoni mwa zao la mfumo wao,kwa...
GT
Kiufupi sana samia hakujiandaa kuwa raisi lakini pia hata wasaidizi wake wameshindwa kumsaidia kuwa Raisi.mzuri, sasa wanachofanya .ni
Kulazimisha kila Kitu kwa mabavu
Baadhi ya kauli hapa chini ni Ushahidi tosha kwamba Mkuu wetu wa nchi hana karama hiyo ya uongozi Unaweza ukaongezea...
Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga.
Iko hivi... sisi wote ni wajasiriamali. Mimi nina biashara yangu na yeye ana yake...
Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania. Wakati huo Dr Tulia hakuwapo bungeni.
Wengi wetu tulishitushwa sana na kauli zilizotolewa...
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada.
Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.