kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC mnaomlaumu Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kauli yake nawaombeni mnipe tofauti ya Kauli yake hiyo na ile ya Rais wenu Injinia Hersi Said

    Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa" Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka Nijiuzuru" Kila Siku tukiwa tunasema hapa kuwa huenda huko Yanga SC kukawa na Wendawazimu wengi tu...
  2. KakaKiiza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Kauli ya Manara Je alikuwa sahihi au atupwe rumande ya Michezo?

    Wote tumesikia jinsi Manara alivyomvaa Rais wa TFF Ndugu W.Karia kwa lugha ambazo kimtizamo hazina staha ukilinganisha na alicho kisema Rais wa TFF ukweli kwa sasa kumekuwepo baadhi ya watu wanaleta sanaa katika mpira wa nchi hii! Hivyo lazima yeye kama kiongozi wa mpira wa nchii lazima akemee...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haji Manara amtaka Rais wa Yanga, Eng. Hersi kuitisha Kikao kujadili kauli ya Rais Karia

    Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara amezungumzia sakata la mechi ya dabi ya Kariakoo pamoja na kauli ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuhusu ombi la Yanga SC la kutaka Bodi ya Ligi ijiuzulu. Soma: Manara amchana Rais wa TFF, Wallance Karia...
  4. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Madiwani Moshi Manispaa, kuongea na waandishi wa habari kuhusu , Kauli Tata na Malalamiko ya Wapiga Kura ,Soko la Mbuyuni, Moshi Manispaa.

    Katika kipindi cha hivi karibuni, kauli tata na malalamiko ya wapiga kura wa Moshi Manispaa yameibuka, yakihusiana na ujenzi wa soko la Mbuyuni. Wapiga kura wamekuwa wakilalamika kuhusu thamani halisi ya soko hili, wakionyesha wasiwasi wao juu ya ufisadi na wizi ambao umekuwa ukiripotiwa...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kununua gari usije kuomba ushauri JF, kuna watu wana kauli za kukera, wanakatisha tamaa na hawajawahi kumiliki hata terminal ya betri ya gari.

    MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu. Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya CCM Uchaguzi 2025: Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

    Maswali yangu: 1. Kazi gani? 2. Utu gani? 3. Kusonga wapi? 4. Mbele wapi? 1. Ali Kibao 2. Soka et al 3. Ben saa nani 4. Kangoye na wengineo. 5. Katiba mpya iko wapi 6. Tume huru iko wapi? etc etc etc UTU UKO WAPI? KAZI IKO WAPI? TUNASONGA WAPI...kaburini/
  7. Bams

    JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu ya CCM, ya Utu na Kazi, Imewapa Agenda ya Awali Wapinzani.

    CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu. Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake. Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Nani kama Mama ndio mjue Timu Kataa Kuoa Kataa Ndoa Tuliona Mbali sana

    Kisa cha Ally Kamwe na Baba yake kinawasanua wabishi wote, sisi tumekaa pale tunawaangalia na haubadirishi msimamo, kuoa ni ushetani na kuoa ni gereza huwezi kwa ujinga wako na upofu ukabeba shida za mwanamke unachanganya na za kwako. Wakati mwanamke anakuja na shida zake ili kujikwamua na...
  9. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli ya Dullah Mbabe kupigana akiwa mgonjwa kisa kupata mkate wa familia, bodi ya ngumi mjitathmini

    Dullah Mbabe akasema alipiga ili watoto wapate ridhiki ya kula na shule japo ni mgonjwa na ana majeraha makubwa, hii ni kauli ya kishujaa Kwa mwanaume inauma kuona watoto wanakosa chakula na masomo ukiwa hai, laZima utafanya shughuli yoyote ya hatari watoto wapate ridhiki. Dullah Mbabe ni kati...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwijaku kuwa makini sana na Kauli zako za kumtaka Shemeji yako Aziz K apigie mbali ili atufunge tarehe 8, kwani tutakupiga / utapigwa uje Kutulaumu

    Yaani umealikwa katika Futuru kwa Aziz K kutokana na Njaa zako, umeshiba unaanza kumwambia Aziz K atufunge J'Mosi.
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alichosema Ronaldo Nazário kuhusu kauli ya CR7 ndio Mchezaji Bora wa Muda wote

    Ronaldo Nazário (R9) has always spoken highly of Messi, calling him a ‘unique’ talent and one of the greatest ever. He admired Maradona’s magic and was deeply inspired by his legacy. When it comes to Cristiano Ronaldo, R9 respects his incredible work ethic and goal-scoring ability but has often...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakuomba tuliza Akili yako na niambie kwa hii Kauli ya Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto umegundua nini kilichojificha?

    "Aziz K kama atataka Kuona Mke wa pili Mimi Hamisa Mobetto nipo tayari kabisa kwani hata Dini yetu inaruhusu'' amesema Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto. Chanzo: minotv_tz Na ndiyo maana kutwa huwa Nawadharau mno Wanaume ambao wanafanya Kosa hili la Kiufundi la kwenda Kuoa Mwanamke...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha. Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani...
  14. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Ni myonge, sina kauli na sina hamu ya kwenda nyumbani tena nilipo zaliwa

    Assalama leko. Tumsifu Yesu Kristo. Wakuu maisha yamekuwa tofauti sana na nilivyokuwa kipindi cha nyuma nimekuwa mnyonge na nisiye na furaha tena kwa historia za wazee (mababu) nimekuwa chambo kwa hilo kila kitu kimebadilika sana Nyumbani nilipo zaliwa hapakaliki tena nikienda naibua story...
  15. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Ipi ni namna sahihi ya kusema kwa kingereza hii kauli "NINAUMWA MALARIA"

    1: I am sick of malaria 2: I am suffering from malaria 3: I have malaria 4: I am sick malaria 5: I am sick with malaria 6: none of the above (iandike)
  16. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kukaa kimya kwa kauli 'Tutaingia barabarani" na hakuna kukamatwa kwa uchochezi. Tundu Lissu kashaiingiza Serikali kwenye mfumo

    Kwa sasa hahitaji hata kuomba kibali cha mkutano ni kusema TU. Polisi njooni mnilinde nina mkutano. Hata Heche juzi kamwambia RPC huko Tarime huna uwezo tena wa kuniweka ndani. Kwa Sasa ni makamu m/kiti wa Chama Kikuu cha Upinzani. Ukinikamata yowe itapigwa dunia nzima.
  17. 4

    JamiiForums Tanzania Kwenda mbiguni kwa elfu 20 wachache tungetoboa kama watz Kauli ya mh Heche , Wasira na uzee wako njoo.

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake . Mh Mbowe amelitendea haki Taifa , kwa kuwapika vijana, leo chadema ni Taifa jingine . Tumeanza kuona ccm inapigwa kama ngoma chini ya uongozi mpya wa chadema. Mbaya na kutosha M/ mwenyekiti Chadema anasema KAMA KWENDA...
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Ningependa kusikia kauli ya Mwenyekiti mpya kuhusu kijana wetu Soka na wenzake moyo wangu umejawa hofu juu yake

    Nakukaribisha mwenyekiti mpya Tundu Lissu katika uongozi wako mpya ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo natumahi mengi mapya pia umekuja nayo katika nafasi yako hii mpya ya uenyekiti wa chama. Moja ya jambo/ kauli ya msingi ningependa kusikia kutoka kwako kama msimamo wako na wa chama...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia yawaliza watoto wa Jenerali Kiwelu

    Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiitaka Mahakama kutenda haki kwa usawa na wakati, watoto wa aliyekuwa Jenerali Tumainieli Kiwelu wanaomba shauri lao la kuondolewa kwa wasimamizi wa mirathi ya baba yao lililofunguliwa May,2024 limalizike. Rais Samia akiwa kwenye maadhimisho ya wiki ya Sheria...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kauli hii thabiti ya ndugu Ben Saanane akiwalilia Mashujaa wa taifa hili, dhidi ya Mafisadi

Back
Top Bottom