kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrema: Kauli za Lissu na Lema zinaleta hofu ya kujieleza CHADEMA

    “Pamoja na kupokea wito wa kushiriki mkutano huo maalum, sisi -wagombea ubunge wa 2020 na watiania wa ubunge wa 2025 – tumeona kuna viashiria vya kutopewa au kutopata nafasi ya kutosha kusikilizwa katika mkutano huo maalum, na kwa hiyo, tumeamua kukuandikia Waraka huu, kwasababu zifuatazo...
  2. Knock life

    JamiiForums Tanzania Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi

    Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Bill Gates inavyo beba kampeni ya Likud kutoa watoto Ems. Kuwarudisha Kayumba

    Bill Gates anasema miaka michache inayo kuja, Akili Mnemba ita wa replace binadamu kwenye kazi nyingi Sana ikiwemo udaktari na ualimu.. Duh kumbe ndio maana LIKUD anasema tusipoteze hela EMS? LIKUD atakuwa mchawi au nabii
  4. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi

    Mpasuko Mkubwa CHADEMA: Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi Katika kile kinachoweza kufasiriwa kama dalili za kuporomoka kwa umoja na mshikamano ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waraka mzito wa ushauri umetolewa na wagombea wa ubunge...
  5. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Hii kauli "unataka serikali ikuletee maendeleo mlangoni kwako?" Ni kauli ya kibinafsi na kifedhuri.

    Mara nyingi ukihoji kuhusu utendaji kazi wa serikali huwa wanatokea wazarendo uchwara na wapigaji wakubwa, utasikia anakuambia "unataka serikali ikuletee maendeleo mlangoni kwako?" Wengi wao ukiwatizama huwa ni watu ambao huwa wamegawanyika kwenye makundi mawili, kundi la kwanza ni watu flani...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kimenuka! Ali Kamwe apewa saa 24 amuombe radhi RC wa Tabora kwa kauli zake

    Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United. Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio...
  7. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wengi ni Wavivu – Kauli ya Mtume Boniphace Mwamposa na Rais Mstaafu Mkapa Zinagusa Ukweli Mchungu?

    Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa. Mwaka 2011, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kusema waziwazi kuwa “Watanzania tumejaa visingizio...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025: Wananchi Mkoa Mbeya, wakubaliana na Kauli Mbiu ya Kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi 2025

    Katika muktadha wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, wananchi wa Mkoa wa Mbeya, pamoja na wilaya zake zote, wameonyesha hisia za kutoridhika na hali ya kisiasa na kiuchumi nchini. Kauli mbiu yao ya "Kama hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi" inatoa mwangaza wa wazi juu ya matarajio yao. Wananchi hawa...
  9. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Hayati Magufuli alipomsaidia mwananchi kulipa bill hospitali ya Muhimbili

    Magufuli alipomsaidia mwananchi kulipa bill hodpitali ya Muhimbili SIJUI NIENDELEE KUNUNUA MAGOLI AU NIANZE NA MIMI KUSAIDIA WASOJIWEZA ?
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Makalla kuhusu ‘Virusi vya Ebola’, ni Kauli ya CCM. Msajili wa Vyama vya Siasa yuko wapi?

    Msajili yupo Kwa ajili ya CHADEMA tu ??. Kwamba Msajili hata Kuionya CCM kupitia viongozi wake kuacha kutoa matamko ya Taharuki , haonekani!!. Ama KWELI, No Reforms, No Election
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kauli zinazotolewa na CCM azichukuliwagi hatua tofauti zile zinazotolewa na upinzani

    Dokta silahaa alitoa kauli kuhusu hoja yake lakini jeshi la polisi liliwahi kumkamata sababu ya kauli. Zipo kauli nyingi ambazo vyama pinzani utoa lakini ni za kujenga hoja na kukosoa pale serikali na chama kilichopo madarakani zitakapo kuwa zimekosea. Kitendo cha Amos makala kutoa kauli...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC mnaomlaumu Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kauli yake nawaombeni mnipe tofauti ya Kauli yake hiyo na ile ya Rais wenu Injinia Hersi Said

    Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa" Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka Nijiuzuru" Kila Siku tukiwa tunasema hapa kuwa huenda huko Yanga SC kukawa na Wendawazimu wengi tu...
  13. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Kwa Kauli ya Manara Je alikuwa sahihi au atupwe rumande ya Michezo?

    Wote tumesikia jinsi Manara alivyomvaa Rais wa TFF Ndugu W.Karia kwa lugha ambazo kimtizamo hazina staha ukilinganisha na alicho kisema Rais wa TFF ukweli kwa sasa kumekuwepo baadhi ya watu wanaleta sanaa katika mpira wa nchi hii! Hivyo lazima yeye kama kiongozi wa mpira wa nchii lazima akemee...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Haji Manara amtaka Rais wa Yanga, Eng. Hersi kuitisha Kikao kujadili kauli ya Rais Karia

    Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara amezungumzia sakata la mechi ya dabi ya Kariakoo pamoja na kauli ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuhusu ombi la Yanga SC la kutaka Bodi ya Ligi ijiuzulu. Soma: Manara amchana Rais wa TFF, Wallance Karia...
  15. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Madiwani Moshi Manispaa, kuongea na waandishi wa habari kuhusu , Kauli Tata na Malalamiko ya Wapiga Kura ,Soko la Mbuyuni, Moshi Manispaa.

    Katika kipindi cha hivi karibuni, kauli tata na malalamiko ya wapiga kura wa Moshi Manispaa yameibuka, yakihusiana na ujenzi wa soko la Mbuyuni. Wapiga kura wamekuwa wakilalamika kuhusu thamani halisi ya soko hili, wakionyesha wasiwasi wao juu ya ufisadi na wizi ambao umekuwa ukiripotiwa...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kununua gari usije kuomba ushauri JF, kuna watu wana kauli za kukera, wanakatisha tamaa na hawajawahi kumiliki hata terminal ya betri ya gari.

    MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu. Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya CCM Uchaguzi 2025: Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

    Maswali yangu: 1. Kazi gani? 2. Utu gani? 3. Kusonga wapi? 4. Mbele wapi? 1. Ali Kibao 2. Soka et al 3. Ben saa nani 4. Kangoye na wengineo. 5. Katiba mpya iko wapi 6. Tume huru iko wapi? etc etc etc UTU UKO WAPI? KAZI IKO WAPI? TUNASONGA WAPI...kaburini/
  18. Bams

    JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu ya CCM, ya Utu na Kazi, Imewapa Agenda ya Awali Wapinzani.

    CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu. Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake. Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Nani kama Mama ndio mjue Timu Kataa Kuoa Kataa Ndoa Tuliona Mbali sana

    Kisa cha Ally Kamwe na Baba yake kinawasanua wabishi wote, sisi tumekaa pale tunawaangalia na haubadirishi msimamo, kuoa ni ushetani na kuoa ni gereza huwezi kwa ujinga wako na upofu ukabeba shida za mwanamke unachanganya na za kwako. Wakati mwanamke anakuja na shida zake ili kujikwamua na...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dullah Mbabe kupigana akiwa mgonjwa kisa kupata mkate wa familia, bodi ya ngumi mjitathmini

    Dullah Mbabe akasema alipiga ili watoto wapate ridhiki ya kula na shule japo ni mgonjwa na ana majeraha makubwa, hii ni kauli ya kishujaa Kwa mwanaume inauma kuona watoto wanakosa chakula na masomo ukiwa hai, laZima utafanya shughuli yoyote ya hatari watoto wapate ridhiki. Dullah Mbabe ni kati...
Back
Top Bottom