katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanaosema Ukristo sio dini huwa wana maana gani?

    Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini. Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
  2. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Katika ujasiriamali sio hamasa pekee inayojenga biashara, unahitaji uvumilivu na mtazamo sahihi zaidi

    Ndani ya hii miaka sita 6 tokea niamue kuachana rasmi na ajira, kuna kitu nimejifunza kuhusu ujasiriamali ambacho ningependa vijana wengi wakijue mapema na I hope wengine wengi wamekifahamu pia. So ni suala labda niseme la kubadilishana uzoefu tu, kasoro kwa wale ambao hawajajitosa kikamilifu...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CCM imeendelea kua talk of the day katika kila kongamano la kisiasa nchini.

    Ni wazi, bila CCM mambo hayanogi. Halafu muhimu zaidi sasa, kila wawakilishi wa CCM wakipata fursa ya kuzungumza, nyoyo za hadhira na wadau wote wa kongamano husika zinaongoka na kutakasika kabisa. Kila mdau katika kongamano anatamani kuskia kiongozi wa CCM atasema nini. Na viongozi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Algeria kukuza ushirikiano katika sekta ya viwanda vya dawa

    Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mobhare Matinyi, Septemba 7, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda vya Dawa wa Algeria, Dkt. Wassim Kouidri, katika ofisi za wizara hiyo jijini Algiers. Mazungumzo hayo yalihusu namna ya kuimarisha ushirikiano zaidi katika sekta ya viwanda...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania RC Chacha ameonesha Ushamba na Ufala katika hili.

    Huyu RC kabisa anakaa kuongelea suala la kipuuzi kama hili kwenye kusanyiko la watu? Kutongozwa na mwanamke anaona ni big deal na hadi kushirikisha police? Watu wenye akili wanamtizama na kuona ana utoto na ufala tu. Angeweza mblock huyo mwanamke na maisha yakaendelea. Au angemu ignore tu wala...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kijana adaiwa kutekwa na wasiojulikana kwa kumkasirisha binti wa kigogo katika mapenzi!

    Wanaripoti Jambo TV Irene Mziray, mama mzazi wa kijana mwenye umri wa miaka 22, Junior Joyful Jonathan, ameiomba serikali kusaidia katika jitihada za kumpata mwanawe ambaye amepotea na kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana. Irene amesema mwanawe hana ugomvi na mtu yeyote na familia haijawahi...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Katika kusherehekea Mwaka mpya wa kiyahudi Waziri Mkuu wa Israel atembelea Makao MAKUZI ya Mossad!!!

    Israeli: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema alitembelea makao makuu ya Mossad na kukutana na wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhusu usalama wa Israeli. Netanyahu alitoa wito wa sehemu ya Torati ya wiki hii, akitoa wito wa "kuwa hodari na jasiri," na akasema, "Hiki ndicho...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kuangalia information katika MKoba inasumbua. TCB/Vodacom tatizo ni nini?

    Ukiomba members contributions hupati , inazunguka mpaka session in expire. Au ndio utapeli mnaanza kutufanyia
  10. Traxtion

    JamiiForums Tanzania British-Nigerian influencer Igho Ubiribo alifariki March 2026 katika procedure za kuongeza ukubwa wa uume wake akiwa Thailand

    Influencer na mfanyabiashara mwenye asili ya Nigeria na uraia wa Uingereza, Igho “Tiny” Ubiribo, anayejulikana pia kwa majina ya Denisi au Ego, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 baada ya kupata matatizo kutokana na utaratibu wa kuongeza ukubwa wa uume nchini Thailand. Uchunguzi wa kifo...
  11. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mtengeneza maudhui maarufu - Youtube, aliyekuwa akibeza mambo ya dini, aamua kuokoka na kubatizwa katika maji mengi!

    Hii habari ni moto sana! Kila mtu anapaswa kuisoma mwanzo mpaka mwisho. Kweli Mungu anawapenda watu wote. Amebadilisha maisha ya Mtengeneza Maudhui(Youtuber) maarufu mwenye umri wa miaka 30, aliyejizolea mamilioni ya Subscribers kwa video zake za comedy, muziki, boxing na survival challenges...
  12. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya kuwa msomi na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??!

    Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
  13. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Miradi na Biashara Zilizoanguka au kufilisika

    Habari za wakati huu; Ni mara chache sana watu hupata nafasi ya kujifunza kutoka kwa watu ambao biashara zao zilifilisika au kuanguka kabisa.Biashara ndogo kubwa na za kati.Hi ni tofauti na ukweli wa kitakwimu unaoonesha kwamba asilimia kubwa za biashara hufa ndani ya mwaka wa kwanza. Nimeleta...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtumishi anapohama asilimia za utendaji katika mfumo wa PEPMIS zinarudi 0, hii inaumiza

    Watumishi wanaohama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine wanakabiliwa na changamoto ya mfumo wa PEPMIS, ambapo wanapohamishwa, asilimia zao za utendaji kazi zinaonekana kuanza upya kutoka sifuri, hata kama mtumishi alikuwa amefikisha, kwa mfano, asilimia 60 katika Halmashauri aliyotoka. Hali...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha mchango wa Waislamu katika harakati za siasa za mapambano Tanzania kuwa ukipungua ?

    Kuanzia uhuru mpaka leo hii mchango wa Waislamu katika harakati za mapambano umeenda ukipungua sana. Wakati wa uhuru Waislamu walikuwa active sana mstari wa mbele katika harakati za uhuru pamoja na Nyerere. Watu wengine kama Mohamed Said wanafikia mbali hata kusema Waislamu ndio walikuwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali inatoa fedha za OC, kwanini Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inabagua katika ulipaji kwa baadhi ya Watumishi

    Fedha za OC (Other Charges) zinalenga kuwezesha uendeshaji wa shughuli za ofisi, ikiwemo kugharamia stahiki mbalimbali za watumishi zinazohusiana na utekelezaji wa majukumu yao. Cha kusikitisha, watumishi wa kawaida wanapofanya kazi za ziada (Extra Duty) na kuwasilisha madokezo ya malipo, mara...
  17. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu mkaribisheni Mungu katika maisha yenu

    We dwell here not according to our will, but according to his divine plans. Baada ya tafakuri ya kina, nimepata jawabu ya kuwa sisi ni kama matawi na yeye ndiye mti wa uzima. Binadamu tunapenda sana, kusahau na kutumia akili zetu, bila kumshirikisha anayetupa huo uwezo.. Umezaliwa, unapumua...
  18. Keynez

    JamiiForums Tanzania Collection ya kauli maarufu (quotables) katika kesi ya Uhaini ya "Jamhuri vs Tundu Lissu"

    Katika kufuatilia kesi hii ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kumetokea kauli nyingi ambazo zinaweza kusimama zenyewe kama zenyewe. Uzi huu ni wa kukusanya kauli hizi. Kama umefuatilia kesi hii toka mwanzo, tusaidiane katika kushare katika uzi huu. Mfano, wakati John Mnyika anahojiwa siku...
  19. idiomer

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni ngumu watu kufuata utaratibu katika nchi zinazoendelea?

    Kufuata utaratibu ni ngumu. Mfano stendi ni magufuli watu wanapaki shekilango! Na mambo mengine mengi.
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Katika kijiji cha Bonye tarafa ya Bwakila chini, Duthumi Morogoro vijijini wakulima tunasumbuliwa sana na mfugaji aitwae Lembile Sangara a.k.a DC

    Hapa kijijini kuna mfugaji yupo juu ya sheria na kijiji kinaonekana kimeshindwa kumdhibiti, sheria ya kijiji cha bonye inamtaka kila mmiliki wa ng’ombe asizidishe ng’ombe zaidi ya 10 , jambo la kushangaza huyu Lembile anaweka hadi ngombe zaidi ya 200 kwa msukuma mmoja. Na kijiji hakimchukulii...
Back
Top Bottom