Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.
Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametangaza mpango wa kusimamia usafi na kupiga vita utupaji taka ovyo baada ya maelekezo ya Mh. Raisi. Ni hatua ya kupongezwa. Lakini ukweli tunaoujua sote ni kwamba kampeni za usafi huja na kuondoka — kinachokosekana ni mfumo wa kudumu unaomfanya...
Wasalaam,
Baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, kuna jambo moja ambalo sidhani kama tunaweza kulikwepa kama taifa, Tanzania iko kwenye mjadala wa aina gani ya siasa tunayotaka kwa miaka ijayo?
CCM imeendelea kuwa chama dola baada ya Samia kutangazwa mshindi kwa asilimia karibu 98% kwenye...
Bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya uongozi wa Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kukutana na changamoto kubwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka 2030, kutokana na malalamiko yanayoongezeka kila siku, kutoka kwa wananchi,viongozi, CCM na...
Katika hii dunia ambayo walio top ya foodchain ni fisi tena fisi wenyewe wana hurka ya kula mnyama akiwa hai, yaani hawa kabi kwanza shingo ufe, unaanza kuliwa huku ukishuhudia.
Ndoto za watu wengi zimepotea kwa kuingia katika huu mchezo wa maisha kwa style ya ustaarabu, kuna tofauti kati ya...
Kumekuwa na ongezeko la watoto wa kike ambao wanakataa kuingia kwenye mahusiano kwa visingizio kadhaa ikiwemo wana focus na uchaji Mungu huku wakisubiri mtu sahihi,ambaye kwao ni mwanaume mwenye utajiri.
Hawa watu wanaishi kwa pesa za kudanga kwani watu wengi huwa wanajipata wakiwa tayari na...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Huyu baharia wa "SAUZI" akitumika vizuri na Polisi/Uhamiaji, anaweza kuwa Balozi wa maana sana katika kupambana na janga la vijana wadogo kuvuka mipaka bila utaratibu.
Ndugu Katibu Mkuu, Wizara ya mambo ya ndani.
Natumai barua pepe hii inakukuta ukiwa mzima wa...
Vyombo vya habari vya Lebanon vinaripoti kwamba tukio la mitetemeko ya ardhi lenye ukubwa wa 4.1 lilirekodiwa nchini Lebanon kufuatia mlipuko mkubwa katika Kilele cha Ali Taher, ambapo IDF iliharibu zaidi ya kilomita mbili za miundombinu ya chini ya ardhi ya Hezbollah kwa kutumia zaidi ya tani...
Pata picha mbali mbali za uzinduzi wa Tamasha la saba la kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa nchini uliofanyika hivi karibuni makao makuu ya Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB)mjini Moshi
Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Moshi,Godfrey Mnzava
Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio.
Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara...
Tanzania imewakamata raia 134 wa Burundi kwa madai ya kuingia nchini kinyume cha sheria, huku hatua za kudhibiti uhamiaji zikizidi kuimarika Afrika Mashariki.
Mamlaka nchini Tanzania katika Mkoa wa Mara zimesema raia hao wa Burundi walikamatwa wakati wa operesheni iliyolenga watu wanaoishi...
Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini.
Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
Ndani ya hii miaka sita 6 tokea niamue kuachana rasmi na ajira, kuna kitu nimejifunza kuhusu ujasiriamali ambacho ningependa vijana wengi wakijue mapema na I hope wengine wengi wamekifahamu pia. So ni suala labda niseme la kubadilishana uzoefu tu, kasoro kwa wale ambao hawajajitosa kikamilifu...
Ni wazi,
bila CCM mambo hayanogi.
Halafu muhimu zaidi sasa,
kila wawakilishi wa CCM wakipata fursa ya kuzungumza, nyoyo za hadhira na wadau wote wa kongamano husika zinaongoka na kutakasika kabisa.
Kila mdau katika kongamano anatamani kuskia kiongozi wa CCM atasema nini. Na viongozi...
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mobhare Matinyi, Septemba 7, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda vya Dawa wa Algeria, Dkt. Wassim Kouidri, katika ofisi za wizara hiyo jijini Algiers.
Mazungumzo hayo yalihusu namna ya kuimarisha ushirikiano zaidi katika sekta ya viwanda...
Huyu RC kabisa anakaa kuongelea suala la kipuuzi kama hili kwenye kusanyiko la watu? Kutongozwa na mwanamke anaona ni big deal na hadi kushirikisha police?
Watu wenye akili wanamtizama na kuona ana utoto na ufala tu. Angeweza mblock huyo mwanamke na maisha yakaendelea. Au angemu ignore tu wala...
familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa.
Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
Wanaripoti Jambo TV
Irene Mziray, mama mzazi wa kijana mwenye umri wa miaka 22, Junior Joyful Jonathan, ameiomba serikali kusaidia katika jitihada za kumpata mwanawe ambaye amepotea na kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana.
Irene amesema mwanawe hana ugomvi na mtu yeyote na familia haijawahi...
Israeli: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema alitembelea makao makuu ya Mossad na kukutana na wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhusu usalama wa Israeli. Netanyahu alitoa wito wa sehemu ya Torati ya wiki hii, akitoa wito wa "kuwa hodari na jasiri," na akasema, "Hiki ndicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.