Tukiweka utaratibu wetu (Siri ya ndani) Kila kombe la dunia kupeleka timu 2 mpya hakika tutaona maajabu.
Hili litawezekana tu kwa kuanzia chumbani ndio tuje sebuleni (vilabu hadi timu za Taifa),mwenye uwezo aruhusiwe kubeba "ndoo" ili kujijenga kwa pamoja (inclusive football)
Rejea:
1.Senegal - mara ya 1, 2002(robo)
2.Tunisia -mara zote (hamna kitu)