katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Besigye ashindwa Kesi ya kumrejeshea Martha Karua na Lukwago katika timu yake ya Mawakili

    Mahakama Kuu ya Kampala nchini Uganda imekataa ombi la Dkt. Kizza Besigye na Obeid Lutale la kurejesha mawakili Martha Karua na Erias Lukwago katika timu yao ya utetezi. Jaji Simon Peter Kinobe, katika uamuzi wa kurasa 42 uliotolewa Jumanne, amesema kuondolewa kwa Karua nchini Uganda na...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu Sita Wakamatwa Ruiru Baada Ya Wahindi 3 Kuokolewa Katika Kesi Ya Usafirishaji Binadamu

    Watu sita wamekamatwa huko Ruiru, Kaunti ya Kiambu, baada ya maafisa wa upelelezi kuwaokoa raia watatu wa India waliokuwa wameripotiwa kutoweka baada ya kuwasili nchini Kenya tarehe 5 Agosti 2026. Uchunguzi wa kitengo cha Operations Support Unit (OSU) cha DCI uliwawezesha maafisa kuwafuatilia...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto Awakaribisha Wakenya 5,000 Katika Majadiliano Ya Vision 2060

    Rais William Ruto anatarajiwa kuwa mwenyeji wa zaidi ya Wakenya 5,000 kutoka kaunti zote 47 katika mkutano wa kitaifa unaofanyika leo, Jumatano, Agosti 12, 2026, katika KICC, Nairobi, kujadili mwelekeo wa Kenya kuelekea Vision 2060. Mkutano huo unaashiria mwanzo wa ushirikishwaji wa umma katika...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania CCM waliomba kanisa Katoliki kuwaleta CHADEMA katika meza ya maridhiano!

    This is very ridiculous.. Kumbe wanajua fika kuwa bila CHADEMA, hakuna kitu kinachoitwa maridhiano haijalishi watazuga na kujifanya hamnazo kwa kiwango gani..! Hata hivyo, Ts & Cs za kuifanya CHADEMA ikubali kukaa meza Moja na wauaji hawa ziko very clear lakini hawataki kusema kinawashinda...
  5. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania JMT-Maboresho yanakuja-Nawaomba watu wa Rohoni tukoleze nia katika maombi na dua zute ili mabadiliko yanayokuja yawe kamili na yenye athari chanya.

    Kutakua na matengenezo ya mashine, baada ya kukamilika wataijaribisha kwa kuitega na kutazama namna inavyopushi gurudumu linaloanzisha mzunguko (mwendo). Lakini mafundi (ndugu) hao mkubwa ndio anaepambania makanika ya ile mashine pale, wakati huyu bwana mdogo yupo bize ndani huko ni kama...
  6. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Ego play katika mahusiano

    Katika maisha kila mtu Huwa na motives na matarajio ili kufanya maisha yake yawe apealing(mazuri) Ni sawa kabisa maana maisha bila kusudi au lengo hubaki tupu. Ila wengi wetu huwa na matarajio bila ya kuwa na boundaries.. Hatuwi na boundaries za kutowahusisha wengine ndani ya hayo matarajio...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Jina la Dossa Aziz Halikuwemo Katika Orodha ya Watunuliwa Medali

    https://youtu.be/8bHn7ojbnlo?si=p3RGwTUvj34OmroN
  8. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa

    Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa. T-CAMS inaleta uwazi, ufanisi na uhakika wa malipo katika sekta ya uwakala wa forodha, kwa manufaa ya mawakala, waagizaji wa mizigo na Serikali.
  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo nitoe Siri moja katika siri 1000 nilizo nazo!

    Unapotaka kwenda kuomba kazi mahala,ikiwa tayari umesha vaa mpaka viatu,na kunywa chai yako,isome zaburi ya 65 kwa nguvu na sauti, huku umeshika document zako,uimalize zaburi hiyo!,Tafadhali usiwe umekaa kitandani!....baada ya kuisoma nenda!, #Goodluck. #Sunday gift
  10. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Katika wote waliooa watoto wa maraisi, ipi imekuvutia zaidi?

    Kwa upande wangu ilionivutia zaidi kuliko hata hii ya kijana wa kisukuma,msomi,Mtu mashuhuri Isaya yunge kumuoa mtoto wa Ruto, Ilionivutia zaidi ni ile ya Mwamba wa kimasai kumuoa mtoto wa raisi mwinyi. Na ambayo Haina mvuto hata kwa muonekano wao ni wale __ na __ (sijataja mtu), msije...
  11. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wawekezaji wote Katika soka hawaongei Sana kama Mo Dewij kanjibhai ?

    Kuanzia bakharesa, Azim Dewij , Yusuph Manji, Ghalib Mohammed na hata ukienda ulaya na duniani kote matajiri wote wawekezaji Katika soka wanapenda kubaki kama mashujaa nyuma ya camera, na sio kubwabwaja bwabwaja hovyo na kutafuta justification na public sympathy kama huyu muhindi mzaramo. Au...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Sh. Bilioni 1.2 kujenga daraja la kisasa la chuma (Mita 30) katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya - Kilosa

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wameelezwa kuwa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa daraja la kisasa la chuma lenye urefu wa Mita 30 katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya, mradi...
  15. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Sababu za Marekani kukosa ushawishi dhidi ya China katika ushirikiano wa miundombinu na Afrika

    China na Angola hivi karibuni zimesaini makubaliano kuhusu mradi wa ujenzi wa bandari mpya huko Barra do Dande wenye thamani ya dola milioni 900 za Kimarekani. Angola ni moja ya nchi muhimu zaidi ambayo Marekani na China zinashindania ushawishi barani Afrika. Marekani imewekeza sana katika njia...
  16. Street brain

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya 'Mvuli wa Giza': Jinsi ya Kuishi Kijasusi Katika Ulimwengu Unaoabudu Kelele

    Wana-JamiiForums,Tunaishi kwenye kizazi cha "Angalia nini ninafanya." Kila mtu anataka kuonekana. Watu wanapost mafanikio, safari, hadi migogoro ya kifamilia. Lakini leo nataka tuongelee Usiri wa Kiwango cha Juu (Strategic Secrecy)—sio kama tabia tu, bali kama silaha ya kiakili na kiulinzi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ardhi na Gharama yake katika Mikoa na Wilaya

    Naomba tushare gharama za maeneo kulingana na
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wazungu wakiendelea kukaza hivi hivi hadi mwisho inaweza kutuchukua muda gani kuingia katika total economic crisis?

    Economists, Planners, Financial analysts, Insiders, Strategists, JFers, Karibuni.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kipi katika hivi unaamini visingekuwepo, tungeishi kwa afadhali kuzidi sasa

    Ujambazi / wizi wa mabavu - Kupora watu mali zao kwa mabavu Tamaa na ubinafsi, Uzinzi yakiwemo madhara yake kama kuathiri uchumi na magonjwam Matatizo ya ndoa - Kuchepuka, kukosekana amani, ndoa kuvunjika, n.k. Unafki - Kuvaa kinyago cha kuficha nia za kweli mtu awapo mbele ya mwenzie...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Katika sehemu wanaoongoza kwa ku judge ni mikoani sio kwa Dar.

    Hii nafasi ya ku judge mikoani inaongoza sana.Ndio maana ngumu kutoboa au kufanikiwa kwa asilimia fulani. Mikoani mtu anaweza kujionesha yeye ni nafasi gani,wewe utakuwa hivi au wakupangie hivi. Ndio maana asilimia kubwa ya watumishi wa mikoani wamechoka sana. Kwa wananchi wa mikoani hapo...
Back
Top Bottom