KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,947
- 9,460
Mimi bila kupepesa macho nipo upande wa IRAN,Japo watu wamegawanyika katika munktadha wa kidini wakirsto wanapendelea ISRAEL Wakidhani ni Nchi Takatifu lakini ni Shetani na hatambui wa Roma!
Pia Mimi sipendi watu wanaoonewa bila sababu mfano Vita ya Urusi ns Ukraine mimi nipo URUSI,kwanini kwakuwa mmarekani amekuwa akitumia nchi nyingine kuaribu ustaarabu wa mahali husika ila nasema ipo siku atachokoza mahali ICBM Zitatumwa kwake moja kwamojakwa moja! Hivyo Iran,Urusi,Palestine nipo nyuma yao!