katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi waazimia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika katika hali ya amani

    Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Nchini wameazimia kuhakikisha kuwa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika katika hali ya amani, utulivu na usalama na kwamba hawatamuonea muhali mtu yeyote atakaye jaribu kuvunja amani ya nchi. Azimio hilo limefikiwa baada ya kukamilika kwa Mkutano Mkuu wa...
  2. Tuwekane sawa hapa katika makuzi!

    Ukiona bado unapambana na tabia zako kwa kutegemea kitu fulani kikusaidie katika kuziweka sawa hizo tabia usizozipenda basi jua bado haujakuwa kikamilifu!. Kukua ni pamoja na kuweza kupambana na tabia zako bila kumtegemea mganga ama yesu au mtume aje akurekebishe!. Tabia zina mtindo wakuunda...
  3. Hizi channel wanaopiga nyimbo 24/7 ni kwamba katika ulimwengu huu kuna nyimbo wanayo mtandaoni haipo ama?

    Upande wa tv kama wasafi, crown, trace, mtv kila ukifungua ni nyimbo, bussiness model ya hizi channel ikoje
  4. U

    Mfahamu Shujaa NDUNA Songea Luwafu Mbano ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA

    NDUNA ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA Katika historia ya Songea mkoani Ruvuma kuna nyota moja iliyong’aa kupita zote Nduna Songea Luwafu Mbano aliyeuawa kikatili na wajerumani mwaka 1906 Huyu hakuwa tu kiongozi wa kijadi, bali alikuwa ngome ya ujasiri, Jemedari asiyeogopa risasi, na...
  5. Tujikumbushe jinsi Hayati Magufuli alivyokataa pesa za Matajiri akiwemo Mzee Mengi katika kampeni zake

    Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe. Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje? Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea...
  6. Wasioamini katika dini tukutane hapa!!

    Wapagani wenzangu, habari za jioni. Karibuni tujadili kuhusu Imani Yetu.
  7. R

    Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

    Salaam, Shalom! Palikuwepo manabii wengi Katika agano la kale, mfano Adam, Nuhu, Musa, Elia, Nehemiah, Daniel nk nk. NABII katika Agano la kale na kuishia kwa Yohana Mbatizaji,waliishi maporini kujitenga na UOVU kuepuka kuona, kusikia UOVU Katika mikusanyiko ya watu, ingawa SI wote, manabii...
  8. Kuzaliwa sehemu ambayo si sahihi ndiyo technic kubwa sana huitumia shetani kumfanya mtu asiishi katika wito wake

    Hili jambo wenye D tatu za rohoni ndio watanielewa. Mungu ameweka vitu 3 ndani ya mwanadamu kutoka katika ofisi zake kuu 3 . Kuna karama Kuna huduma na Kuna kipawa. Vitu hivyo 3 ndivyo vinatimiza lengo la mtu kuwa duniani. Lengo la binadamu kuwepo duniani si kula, si kuabudu bali kutimiza wito...
  9. Wakatoliki na mafundisho: Simulizi mbalimbali za maisha ya watakatifu

    Mtakatifu MARIA GORETTI Maria Goretti alizaliwa tarehe 16 Oktoba 1890 katika kijiji kidogo huko Corinaldo, Italia. Familia yake ilikuwa maskini sana, lakini ilijulikana kwa imani na mshikamano wa kifamilia. Maria alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto sita. Baba yake, Luigi, alifariki akiwa...
  10. L

    GE2025 Rais Samia akiwasili kwa Bashasha na Tabasamu Mlimani City katika Harambee ya Kuichangia CCM Billion 100. Watu Waandaa Maburungutu ya Pesa kuimiminia

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge...
  11. Trump asema atajaribu kurudisha eneo la Ukraine katika mazungumzo na Putin

    kwamba atajaribu kurejesha baadhi ya maeneo ya Ukraine wakati wa mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin Ijumaa ijayo. "Urusi imechukua sehemu kubwa ya Ukraine. Wamechukua eneo muhimu. Tutajaribu kurudisha baadhi ya eneo hilo kwa Ukraine," alisema katika mkutano na waandishi wa habari...
  12. Utofauti ambao niliuona Kati ya Tanazania na Kenya katika Maisha ni huu hapa

    Kwanza nchi za EA .au nchi za jangwa la Sahara ni Kama viongozi wao walizaliwa na Mama mmoja . Ila zipo tofauti ndogo ,ndogo ambazo niliziona Tz Wakenya wapo Mbele ya muda kwenye Upande wa teknolojia ,kuliko kenya. Nidhamu ya muda , wakenya wanajali Sana muda , hata ukitokea msiba wanaweza...
  13. Umefanana na nani katika familia yako?

    Mimi nimefanana sana na mama, wengi wanaomjua mama wakiniona tu hata kama hawajajua wataniuliza , wewe ni mtoto wa fulani? Huwa wananiambia kua mimi ni mama mtupu. Cha ajabu dada angu yeye kafanana na baba, ila ni mrembo tu ingawa wanasemaga nimeiba uzuri aliotakiwa kupewa dada angu. Wewe...
  14. M

    Nina visa kadhaa vya kusisimua katika maisha yangu, ni wapi naweza kuiuza kwa watengeneza movie / series ?

    Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates. Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
  15. GE2025 Agenda ya Wananchi katika uchaguzi sio katiba bali ni maswala ya Elimu,Maradhi na Umasikini

    Bado kama Taifa yatupasa kuakisi agenda muhimu za uchaguzi. Kwangu mimi bado narejea katika agenda mama ma za msingi zilizowahi kusemwa mara baada ya kuoata uhuru. Bado kama Taifa hatujakamilisha kwa kiwango stahiki utekelezaji wa agenda na maono haya muhimu yaliyowahi kutajwa miaka hiyo...
  16. Je ninaweza kuongeza daraja class E katika leseni kama nina cheti cha class E hata kama leseni yangu ndogo haikutimiza mwaka au hata kama ina mwaka

    Naombeni muongozo wakulu Elewa swali.
  17. Ukeketaji unaendelea kutekelezwa hasa katika nchi za Afrika kama vile Gambia

    Kuna uhusiano gani Kati ya mambo ya Imani na Ukeketaji kwa maana Ukeketaji umepigwa marufuku katika nchi zaidi ya 70 duniani kote lakini unaendelea kutekelezwa hasa katika nchi za Afrika, kama vile Gambia
  18. Ujumbe wa vyombo vya habari: Kumekuwa na sukari nyingi kupita kiasi katika masuala ya jinsia

    Hivi karibuni, vyombo vya habari vimekuwa na nafasi kubwa katika kuunda mitazamo ya jamii kuhusu masuala ya jinsia. Hata hivyo, hali imekuwa ikielekea kwenye upotoshaji wenye ladha ya "sukari ya ziada" kwa upande mmoja, huku ikipuuza upande mwingine. Masimulizi haya mara nyingi huchangia...
  19. Natafuta makanisa ya zamani katika jimbo la Arusha

    Je, kuna makanisa ya zamani au ya kihistoria katika jimbo la Arusha? Nilikuwa najiuliza kwanini katika majimbo mengi nchini Tanzania unakuta makanisa mengi ya zamani na mazuri ya Kanisa Katoliki, lakini katika jimbo la Arusha sijawahi kuona hata moja. Ninaposema makanisa ya zamani...
  20. Gachagua amtuhumu Ruto kwa kushirikiana na Al-Shabaab katika biashara za siri

    Naibu Rais Kithure Kindiki na Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba Murkomen wamemtaka kiongozi wa Chama cha Demokrasia kwa Wananchi (DCP), Rigathi Gachagua aandikishe taarifa na polisi aliporejea nchini Kenya kuhusu matamshi yake kuhusu ugaidi alipokuwa Marekani alikodai kuwa rais William Ruto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…