Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.
1. Marekani- Mapipa milioni 22
Kwa zaidi ya miaka saba mfulululizo, Marekani imekuwa ikiongoza katika uzalishaji wa mafuta, na huzalisha zaidi ya mapipa millioni 22 kila siku.
Marekani pia ndiyo watumizi wakubwa wa mafuta ghafi, kutokana na idadi yake kubwa ya watu.
Jimbo la Texas ndilo...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge.
Ni Mama wa Vitendo ,ni Mama anayetimiza anachoahidi na...
Katika mijadala mingi kuhusu biashara ya mafuta duniani, mara nyingi watu huamini kuwa mafuta huuzwa kwa kutumia barrel (pipa) kama kipimo kikuu. Ingawa kipimo hicho hutumika kama benchmark ya bei, ukweli wa kitaalamu na kibiashara ni kwamba:
Katika bulk procurement na mikataba mikubwa ya...
Leo siku ya 10 ya safari ya Artemis II inatarajiwa kuwa moja ya siku hatari zaidi kwa wanaanga waliomo ndani ya kapsuli ya Orion. Baada ya siku kadhaa wakisafiri mbali na Dunia na kuizunguka njia ya Mwezi, sasa watakuwa katika hatua ya mwisho ya kurudi nyumbani. Lakini kurudi kutoka anga za...
Habari familia yangu ya JF,
Katika hali ya kushangaza lakini yenye ukweli mkubwa kuna kundi kubwa sana la watu wanaamini katika nguvu za giza zaidi ya wanavyoamini uwepo wa Mungu, pamoja na ukuu na uwezo wake.
Jambo la kuvutia ni kwamba, watu hawa si wageni wa ibada. Wapo wanaohudhuria...
"Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na vyama vya siasa vya upinzani barani Afrika katika karne hii, vinaendeshwa kwa ushabiki na kiki nyingi kupita kiasi.
Kuna mambo wanayoyafanya hadi unajiuliza iwapo watu hawa wamepoteza uwezo wa kufikiri, au tatizo ni kukosa ajenda madhubuti za maendeleo...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amefafanua Mikakati mbalimbali ya Serikali kuhusu Matumizi ya Akili Unde (AI) kwenye elimu akibainisha kuwa kuna mikakati iliyopo na ambayo tayari imeanza kutekelezwa kwenye ngazi mbalimbali za elimu.
Naibu Waziri ameeleza...
Katika miaka ya 1990 hadi mwanzoni mwa 2000, kulikuwa na ladha ya kipekee sana katika maisha ya kila siku—hasa pale tunapozungumzia suala la kunyoa nywele. Enzi hizo hazikujali sana mitindo mingi kama ilivyo leo.
Mtindo maarufu ulikuwa mmoja tu: kipara safi. Dakika chache tu, kinyozi anakuwa...
Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa anakubali basi ni kwa mapenzi ya kumhurumia Mwanaume anayemshawishi
Mwanamke anaweza kumpa Mwanaume...
Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu
Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu usa sio kumshambulia maana katika hawa hakuna ambaye atakuwa tayari kupoteza raia wao pia kwasababu...
Ningependa kuwasilisha hoja yangu kwa Mamlaka ya Utumishi inayohusika na usimamizi wa mitihani ya mtandaoni kwenye usaili wa kuandika.
Kumekuwa na mkanganyiko wa matokeo ambapo mtihani wenye jumla ya maswali 50 unatoa alama kama 93 au 75. Kimantiki, ikiwa mtihani una maswali 50, tunatarajia...
Anonymous
Thread
alama
hii
katika
mfumo
mitihani
mtandaoni
online
ufafanuzi
utumishi
https://www.youtube.com/watch?v=wuuDdOeI--k
"X Spy Family" ni filamu nzuri ya watoto na ina mhusika mkuu mmoja aitwae Anya ambae katika vyakula vyote avipendavo huwa hakosi Karanga. Haijulikani hadi leo sababu kubwa ya Anya kupenda mno kitafunwa hicho maarufu cha karanga.
Jana nilimwona mmoja...
Max Pro Limited ni Kampuni inayojihusisha na utengenezaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za Usafi kama vile Tiles Cleaner,Hand Wash Soap,Window Cleaner,Shower gel,Air Fresh,Car Shampoo,Hair Shampoo,Sofa Cleaner,Skin Care Products n.k.ambayo ipo Kigamboni Dar es Salaam.
Max Pro Ltd...
Ninaamini katika Mungu wa chanzo na balance ya uwepo huu duniani na beyond ila siamini katika idea ya Mungu iliotangazwa karne na karne maana imekuwa twisted na mis-interpreted
Idea ya Mungu inayoeleweka sawa sawa na wanadamu inatembea sambamba na mambo ya kufikirika, yasioeleweka na yasio na...
TANU baba mzazi wa CCM aliyezaliwa 07/07/1954 na kuzikwa mwaka 05/02/1977 aliondoka na mambo yake yote.
Kuzaliwa kwa CCM kulichagizwa na sababu ya Muungano wa nchi mbili Tanganyika ambaye ni Marehemu na Zanzibar zote zikiwa nchi zenye mamlaka kamili.
Waasisi waliamini Muungano tu hautoshi,ili...
Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI:
-"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni".
-"Utawala wa Iran unatarajiwa kuanguka - mapema au baadaye".
-"Tuliunda mabadiliko ya kimkakati - Iran ilitaka kutunyonga, leo...
Mimi ni mwalimu wa Shule ya Sekondari katika Halmashauri ya Arusha DC.
Hivi karibuni wanafunzi wa kidato cha nne walifanya mitihani ya pre-mock, ambapo kila mwanafunzi alitozwa shilingi 12,000 kwa madai ya kugharamia usahihishaji wa mitihani hiyo.
Cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba...
Anonymous
Thread
arusha
halmashauri
karibuni
katika
kidato
kidato cha nne
mimi
mitihani
mwalimu
sekondari
shule
shule ya sekondari
wanafunzi
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere akisoma ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026 amesema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh...
Katika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa Israel ambapo uharibifu mkubwa na Moshi mzito umeonekana ukitanda katika anga kutokana na shambulizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.