katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani unawavunja moyo Watanzania. Hili la bandari halitapita Bure bila kuleta ufa Kwa upinzani watanzania wakiujua ukweli wa adui yao wa maendeleo

    Wapinzani wanatumia ujinga wa watu kujieneza. Wanatambua nchi hii wenye uelewa wa mambo ni wachache na hao wachache wapo kimya Kwa sababu hawataki kuonekana ni wanasiasa. Kuhusu hili la bandari, ni uthibitisho tosha kundi la wasio na uelewa linaburuzwa na kukokotwa bila kujijua. Wanatumia mbinu...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta mbalimbali nchini Tanzania

    Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii katika nchi yoyote, ikiwemo Tanzania. Sekta zote nchini zinahitaji kuwa na mifumo madhubuti ya uwajibikaji na utawala bora ili kuhakikisha kuwa rasilimali zinatumika kwa ufanisi, uwazi na...
  3. JamiiForums Tanzania Kama katika Mazoezi ya Kawaida Ndege za Jeshi zinaanguka hivi Ziwani je, zikiwa Vitani si zitaanguka zote na Tanzania Kushambuliwa vilivyo na Adui?

    NDEGE ya Jeshi imeanguka Ziwa Victoria mapema leo Julai 20,2023 karibu na Uwanja wa Ndege wa Bukoba.  Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasia Chatanda amesema ndege hiyo ya jeshi yenye namba JW 9127, imeanguka wakati marubani wake wawili walipokuwa kwenye mazoezi ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa China wakua kwa asilimia 5.5 katika nusu ya kwanza ya mwaka huu

    Idara Kuu ya Takwimu ya China hivi karibuni ilitoa takwimu ambazo zinaonesha kuwa, pato la taifa la China katika nusu ya kwanza ya mwaka huu lilikuwa dola trilioni 8.27 za Kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 5.5 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho. Kwa kulinganishwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Skudu Makudubela angekuwa mzuri hivyo angekuwa hapati nafasi katika Vilabu Vikubwa Afrika Kusini?

    Tembeleeni mitandao ya Michezo ya Afrika Kusini muone jinsi nyie mlivyompamba kwa mwezi mzima hadi jana mlivyompokea lakini mnavyochekwa na kudharauliwa na South Africa Football Pundits kwa kukurupuka kwenu kumsajili. Yaani Mchezaji awe mzuri Afrika Kusini halafu giants kama Mamelodi Sundowns...
  6. JamiiForums Tanzania Namba Sita wa Yanga SC atakayetambulishwa Leo anatokea katika Moja ya hizi nchi Nne tajwa

    1. Congo DR 2. Afrika Kusini. 3. Ivory Coast 4. Burundi Ila Wenye 99% ya Kusajiliwa ni wa kutoka Congo DR au Afrika Kusini na Ivory Coast na sababu Kuu ya huyu wa Burundi kutohitajika sana ni kwamba si mzuri kivile kama tulivyokuwa tunadanganywa na Chawa wa Yanga SC Redioni, Runingani...
  7. JamiiForums Tanzania Nape hastahili kusimama kukemea tabia za kutukana watu

    Nimewaza sana maneno ya Nape leo ya kumshambulia Lissu kuwa amemtukana Rais Samia. Yes , ni kweli ametumia maneno mabaya sana kwa Rais , lakini of all people Nape huwezi kusimama kukemea tabia za kutukana watu. Wewe ulimtukana Edward Lowassa kuwa ni Oil Chafu, mara mgonjwa, wewe huyu huyu...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuongeza Uwajibikaji katika Kilimo na Ufugaji: Mabadiliko ya Kuleta Maendeleo

    "Kuongeza Uwajibikaji katika Kilimo na Ufugaji: Mabadiliko ya Kuleta Maendeleo" Andiko hili linahusu umuhimu wa kuongeza uwajibikaji katika sekta ya kilimo na ufugaji ili kuleta mabadiliko chanya na maendeleo endelevu. Inalenga kutoa ufahamu kuhusu jinsi mifumo ya kilimo na ufugaji inavyoweza...
  9. JamiiForums Tanzania Je, katika suala la Mikataba na Tenda mbalimbali, tukivaa viatu vya Hayati Magufuli vitatutosha?

    Kwanza kabisa tumsikilize Tundu lissu kuhusu Mali za Tanzania .. Pili, binafsi sina shaka na alichokiongea Tundu lissu kuhusu JPM . Mwisho, kama wewe ungekuwa ndio Hayati JPM umeingia madarakani na kukuta kuna Tenda au Mikataba ya hovyo inaumiza taifa kama anavyoiita Tundu Lissu ,ungefanyaje ...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala dhaifu katika Taifa

    Utawala dhaifu Utawala dhaifu ni utawala ambao haujajikita katika njia moja ya kiutawala ambayo ni imara na ya haki, ndani ya utawala kuna itikadi na misimamo tofauti,ndani ya serikali hakuna kundi la kudumu la waamuzi,ukoloni mambo leo una watumia baadhi ya watawala,utawala usio jitegemea...
  11. L

    JamiiForums Tanzania “Kuondoa hatari” katika mchakato wa maendeleo ndilo jambo ambalo dunia inapaswa kufanya

    Mkutano wa 14 wa Baraza la Uchumi la Majira ya Joto uliofanyika hivi karibuni mjini Tianjin, China, umerejea katika mtindo wa nje ya mtandao baada ya kusitishwa kwa miaka mitatu kutokana na janga la COVID-19, na hivyo kuzusha matarajio mazuri kutoka pande mbalimbali. Tofauti na Mkutano wa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika jamii

    Uwajibikaji na utawala bora ni misingi muhimu ya maendeleo endelevu katika jamii zetu. Katika nyanja mbalimbali kama siasa, afya, michezo, kilimo, utawala, haki na sheria, biashara, uvumbuzi, ugunduzi, na elimu, uwajibikaji na utawala bora huwa na athari kubwa katika ukuaji na ustawi wa jamii...
  13. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika Uongozi, Viongozi na Mwendo wa Siasa Tanzania

    Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa maendeleo endelevu ya Tanzania. Ukosefu wa uwajibikaji na utawala bora umesababisha matatizo kadhaa katika nchi, ikiwa ni pamoja na ufisadi, ubadhirifu wa mali ya umma, na ukosefu wa haki. Ufisadi ni tatizo kubwa nchini Tanzania. Ufisadi umesababisha...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Madini nchini Tanzania

    Sekta ya madini nchini Tanzania ni moja ya sekta muhimu zaidi za uchumi. Sekta hii inachangia takriban asilimia 10 ya pato la taifa na inatoa ajira kwa mamilioni ya Watanzania. Hata hivyo, sekta ya madini pia imekuwa ikikabiliwa na matatizo kadhaa, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uwajibikaji na...
  15. JamiiForums Tanzania Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

    Katika familia, gharama hazipo kwenye kuzaa tu; bali gharama zipo kwenye malezi. Na kwa mazingira ya sasa, unaweza kuta kijana ana miaka zaidi ya 30, lakini bado anaishi kwao, huku akiendelea kuwapa mzigo mzito wazazi wake. Kwa nini nasema wewe ndio chanzo cha umasikini wa kwenu; ni kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Hayati Rais Magufuli alijuaje hali halisi ya maisha ya Wananchi katika uongozi wake?

    Hayati Rais Magufuli kila alipofika kwenye ziara zake hakuangalia wale aliokaa nao karibu mezani mbele,aliangalia wananchi waliosimama kusubiria hotuba yake,aliwaangalia sura zao, na wakati mwingine alienda kuwasalimia. Hiyo ilitosha kumpa ufahamu kuwa ana jukumu kubwa la kufanya ili maisha ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Uwekezaji katika bandari una manufaa makubwa kiuchumi

    UWEKEZAJI KATIKA BANDARI UNA MANUFAA MAKUBWA KIUCHUMI: BASHUNGWA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambeye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amesema maamuzi ya Serikali kuhusu Uwekezaji na uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam utaongeza ufanisi kiutendaji na manufaa...
  18. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watu 16 wafariki katika ajali ya gari walipokuwa wakirejea kutoka msibani

    Ajali ya barabarani iliyohusisha lori na daladala kwenye barabara kuu ya Kagadi-Kyenjojo katika halmashauri ya mji wa Nyanseke-Muhorro, wilayani Kagadi. Ajali hiyo pia imewaacha wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya, ambao wote wanaripotiwa kuwa walikuwa wakirejea kutoka mazishi. Kaimu afisa wa...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Ushirikiano wa Serikali na Jamii katika Usimamizi Bora wa Maliasili za Nchi

    Mada: Ushirikiano wa Serikali na Jamii katika Usimamizi Bora wa Maliasili za Nchi Imeandikwa na: MwlRCT 1. Utangulizi Tanzania ina utajiri mkubwa wa maliasili za nchi, kama vile madini, mafuta, gesi, misitu na wanyamapori. Maliasili hizi zina faida nyingi kwa uchumi, maisha, utalii, tiba...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Msanii Barnaba atanisamehe katika hili

    Habari zenu.Kwanza nianze kwa kusema kuwa simchukii msanii wa Bongo Fleva "Barnaba Boy". Nitakachokiandika hapa kinatokana na hisia zangu binafsi. Ni hivi mimi Kwa uwezo wangu mdogo kuhusu mziki wa hapa nchini huwa namuona msanii Barnaba kama msanii mwenye juhudi zaidi lakini ana uwezo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…