katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. TCU yasema hakuna Mwanafunzi atakayelazimishwa kusoma katika chuo ambacho hakitaki

    Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa Baada ya kuibuka kwa malalamiko kadhaa mitandaoni kuhusu udahili wa Wanafunzi wanaofanya maombi ya kujiunga na Vyuo Vikuu wakati huu ambao dirisha la udahili limefunguliwa, Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetoa...
  2. Umuhimu wa Misitu katika ufugaji Nyuki Tanznaia

    Misitu ni eneo la ardhi lilifunukwa na miti. Misitu inatumika kwaajili ya makazi,nishati, chakula, dawa na vipodozi. kwa ujumla misitu inasaidia katika kupunguza, mmonyoko na kutunza na kurutubisha udongo. Misitu Katika Ufugaji Nyuki Zaidi ya 50% ya ufugaji nyuki Tanzania unakua unafanyika...
  3. Hii nchi kuwa katika Sintofahamu nyingi halafu GENTAMYCINE anajiandalia UZANAKINI WEEK siyo Kuwasanifu na Kuwadharau Watanzania?

    Sijui ni kwanini akina GENTAMYCINE tukipata tu Vyeo na Kulambishwa KEKI RASILIMALI TANZANIA ( KRT ) huwa tunabadilika Kitabia na kuwa Watu tusiojali, wenye Dharau, Wababe, Wajeuri, Wezi / Mafisadi halafu ni Wanafiki sana kujifanya tunawapenda Watu na Kuwaonea Huruma wakati kumbe Kiuhalisia Wao...
  4. Tuwe wakweli katika mabalozi wote wa Tanzania Polepole anajitahidi

    Naona kila anapopangiwa hatulii. Atapambana kutafuta fursa na kujaribu kuconnect na watanzania wanaovutiwa. Nimeona matangazo yake huko Cuba anajitahidi. Sijajua matokeo ya ubunifu wake lakini kwa mtazamo wangu wa kiraia anajitqhidi. Kuna wengine wakipangiwa ndio unasahau kama huyo mtu yupo...
  5. Waziri Mhagama Apokea Muongozo wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathimini katika Taasisi za Umma

    WAZIRI MHAGAMA APOKEA MWONGOZO WA KITAIFA WA UFUATILIAJI NA TATHMINI KATIKA TAASISI ZA UMMA. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu nayeshugulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, Amepokea Rasimu ya kwanza ya Mwongozo wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathmini ya Utendaji wa Shughuli za...
  6. UKraine: Hadi sasa tumewaua Wapiganaji 260,000 wa Urusi

    Urusi imepoteza wanajeshi 260,820 nchini Ukraine tangu ilipoanzisha uvamizi wake mwishoni mwa Februari 2022, Mkuu wa Jeshi la Wanajeshi la Ukraine amedai. Takwimu hazijathibitishwa na ni tofauti sana na ripoti ya Urusi Katika sasisho lake, wafanyikazi wa jumla pia walisema kwamba, tangu...
  7. M

    Akina mama wakimasai wamwambia Samia asiwaondoe katika ardhi yao ya asili ya ngorongoro.

    Huku wakibeba mabango ya kutuma ujumbe kwa rais Samia, akina mama wa kimasai wameishutumu serikali ya Samia ya kuwalazimisha kuondoka ngorongoro na kwenda huko Tanga. Wakitumia kauli za uchungu wa mwanamke kwa mtoto wake. Mama mmoja wa Kimasai akasema yeye ni mzazi na ni mama kama Samia, kwa...
  8. L

    China yaahidi kufuatana na Afrika katika juhudi za kutimiza mambo ya kisasa

    Kwenye Mazungumzo ya Wakuu wa China na Afrika yaliyofanyika tarehe 24 mjini Johannesburg, Afrika Kusini, rais Xi Jinping wa China alisisitiza kuwa ni watu wa Afrika ambao wana haki ya kuamua ni mtindo gani unaofaa Afrika kutimiza maendeleo ya kisasa……China inaunga mkono kithabiti na kuwa tayari...
  9. Ewe kijana usikubali kuoa au kuwa katika mahusiano na binti anayeigiza kukupenda.

    Habari Kwa nchi za Afrika Tanzania ikiwemo kuna trend kubwa ya wanaume kufa mapema kuliko wake zao. Wakati naishi Uswahilini nyumba nyingi nilizopanga au nyumba za majirani nyingi hazina wanaume (baba mwenye nyumba). Hii yote sababu kuu ni wanaume kujiingiza katika mapenzi au ndoa na wanawake...
  10. Mgonjwa aliyelazwa kwa miezi mitano atoa Tuzo kwa Wauguzi wa Wodi Namba 6 katika Taasisi ya MOI

    Mgonjwa aliyekuwa amelazwa wodi namba 6 “A” katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ametoa tuzo maalum ya kuwapongeza wahudumu wa wodi hiyo kwa huduma bora wanazotoa kwa wagonjwa. Mgonjwa huyo Godfrey Mushy alilazwa wodini hapo kwa miezi Mitano kuanzia Oktoba, 15, 2022...
  11. Una mipango gani kwa miaka 10-20 ijayo?

    Habari wana-JF. Kama tunavyojua mpango kazi kwenye maisha ndiyo dira itakayokuongoza katika maisha yako na kufikia malengo yako. Kwangu nahisi safari ndiyo kwanza inaanza na maamuzi yangu ya leo yatakuwa na mchango mkubwa kwa maisha ya baadaye. Nikiwa kwenye early 20s (23) tayari nipo kwenye...
  12. Thamani ya kitu hutengenezwa katika akili ya mtu. Unaweza kumfanyia mtu mambo makubwa lakini akaona hayana thamani kwake

    Katika MAISHA thamani ya kitu inatengenezwa katika Akili ya mtu. Hivyo kabla ujamfanyia MTU Jambo lolote hakikisha analipa thamani katika Akili Yake . Mfano Kuna watu wanahitaji tu MUDA wako na sio Jambo lolote ila pia Kuna wengine wanahitaji pesa zako hivyo inahitaji utulivu wa kifikra kujua...
  13. Sauti ya wengi sio sauti ya Mungu. Huu msemo ni kuchanganya dini na siasa

    kuna msemo wa kirumi Vox Populi Vox dei ( Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu). Huu msemo ni sahihi kisiasa sio kidini au kiimani. Wanasiasa walitumia huu msemo kujihalalishia mambo yao hata kinyume cha Mungu na wengine ilikula kwao. Sasa ni aibu kwa kauli hii kusikika kwa watu wa dini. Ibaki...
  14. Rais wa Indonesia kuwasili Tanzania, leo Agosti 21 katika ziara ya siku mbili

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Segomana Tax ameelezea ujio wa kiongozi huyo, Rais wa Indonesia, Joko Widodo katika ziara yake ya siku mbili Nchini Tanzania. Waziri Dkt. Tax amesema ziara hiyo ni matokeo ya kazi kubwa anayoifanya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa...
  15. Tanzania ni kati ya Nchi 12 za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye Vikwazo katika Uhuru wa Kujieleza

    Kwa mujibu wa Ripoti ya #GlobalExpression (GxR) 2023, Watu Milioni 363 katika Nchi 12 walipata vikwazo kwenye Uhuru wa Kujieleza, wakati Watu Milioni 165 katika Nchi 7 waliona Maendeleo ya kuongezeka kwa Uhuru wa Kujieleza. Katika Miaka 5 iliyopita, Watu Bilioni 4.7 katika Nchi 51 walikumbana...
  16. M

    Maendeleo ya kutengana kwa Kanisa/Dini na Siasa katika historia ya Dunia

    Na. Ismail A. Ismail Nianze na Nukuu ya Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete August, 2023 "Siku ikifika itikadi ya Kisasa na Imani thabiti ya kidini ikiuhusianishwa na Chama fulani Cha Dini Ndio Mwisho Wa Taifa Hili, tutakua na Chama Cha Siasa Cha Wapagani, Chama Cha Siasa Cha Walokole, Chama Cha...
  17. Ndege ya Urusi imetua katika mji mkuu wa Niger

    Huko Niamey leo hii ndege ya kijeshi ya Urusi ikiwa na mamia ya wapiganaji wa Wagner wanaodaiwa kuchukuliwa kutoka Syria wametia timu Niger. Wagner imewaajiri maelfu ya maveterani wa vita kutoka Syria, ambao walikuwa wanapigana kulinda serikali ya Syria dhidi ya ISIS, Al-Qaeda na FSA...
  18. M

    Kuzuia habari Waraka wa Maaskofu kuripotiwa kwenye Vyombo vya Habari ni uminywaji wa kiwango cha juu sana katika utoaji habari

    Katika awamu Hii vyombo vya habari hasa TV, Magazeti, na Radio vimebanwa hasa kupitia BAHASHA za KAKI zinazotolewa na akina napenauye. Ishu ipo hivyo, vyombo vya habari vilivyo vingi hapa nchini ni njaa kali, kwa hii serikali ya wala rushwa na mafisadi yanayokula kwa urefu wa kamba zao...
  19. J

    Nipate maoni yako, katika Video hii Hekima iko wapi?

    Tafadhali angalia video hii ya dakika 2 halafu utoe maoni yako hekima iko wapi kati ya makundi hayo mawili
  20. Mwaka 1991 katika harusi ya Freeman Mbowe

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ya harusi ya Freeman Mbowe mwaka 1991. Utaona ni kwa namna gani Mbowe alikuwa katika hadhi gani kwa miaka hiyo. Hii picha inafikirisha sana. Freeman Mbowe nakupa maua yako ungali uhai ili uyanuse.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…