Hii nchi kuwa katika Sintofahamu nyingi halafu GENTAMYCINE anajiandalia UZANAKINI WEEK siyo Kuwasanifu na Kuwadharau Watanzania?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,848
109,556
Sijui ni kwanini akina GENTAMYCINE tukipata tu Vyeo na Kulambishwa KEKI RASILIMALI TANZANIA ( KRT ) huwa tunabadilika Kitabia na kuwa Watu tusiojali, wenye Dharau, Wababe, Wajeuri, Wezi / Mafisadi halafu ni Wanafiki sana kujifanya tunawapenda Watu na Kuwaonea Huruma wakati kumbe Kiuhalisia Wao ndiyo Wanaoongoza kwa Kutuumiza.
 
Wtf!?
Ndo umeandika nini we pompoma!?
Huwa nawaandikia Intelligent People hapa JamiiForums na huwa Naeleweka nao Vyema mno tofauti na Majuha ( Nuts ) wa mfano wako.

Ushauri wa bure Kwako kwakuwa IQ yako ni Kiduchu au hauna kabisa usiwe unapoteza muda wako Kufungua Threads zangu zinazohitaji Akili Kubwa tupu Kuzisoma.

Nimemaliza.
 
Sijui ni kwanini akina GENTAMYCINE tukipata tu Vyeo na Kulambishwa KEKI RASILIMALI TANZANIA ( KRT ) huwa tunabadilika Kitabia na kuwa Watu tusiojali, wenye Dharau, Wababe, Wajeuri, Wezi / Mafisadi halafu ni Wanafiki sana kujifanya tunawapenda Watu na Kuwaonea Huruma wakati kumbe Kiuhalisia Wao ndiyo Wanaoongoza kwa Kutuumiza.
Mafumbo kama yamezidi Msamiati wa Lugha nakosa Tafsiri. Wataje kwa Majina kama kweli we ni Mzalendo.
 
Huwa nawaandikia Intelligent People hapa JamiiForums na huwa Naeleweka nao Vyema mno tofauti na Majuha ( Nuts ) wa mfano wako.

Ushauri wa bure Kwako kwakuwa IQ yako ni Kiduchu au hauna kabisa usiwe unapoteza muda wako Kufungua Threads zangu zinazohitaji Akili Kubwa tupu Kuzisoma.

Nimemaliza.
Acha kujificha kwenye kichaka Cha IQ yangu,umeandika shudu pro max zengeli
 
Nilikuuliza umeshwahi kuvuta ukaniambia ooh rasta nipe tu nijaribu mbona we unavuta na hujafa

Haya sasa
 
Ya mwaka 2009 tu pekee niliyokabidhiwa na Genius Katibu Mkuu wa TEC ( Kanisa Takatifu Katoliki ) na aliyekuwa Vice Chancellor na Mhadhiri wangu wa Somo la Media Law Dk. Charles Kitima.
Itakuwa ni degree ya mchongo hiyo
 
Aaahaaaa,
Kubali mkuu kuwa umeandika shudu,pompoma pro max zengeli wewe
Ningekuona una Akili kama umeona nimeandika Shudu ungeachana na huu Uzi lakini kwa Kudhihirisha kuwa kumbe nawe ni Shudu Plus bado unaendelea kupoteza muda wako na Kuhangaika na Mimi ambaye hata tu 5% ya IQ niliyobarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu hujaifikia.
 
No najaribu kukurudisha kwenye reli,punguza kuandika shudu,haikufai Kwa kaliba Yako humu jf
 
Nilikuuliza umeshwahi kuvuta ukaniambia ooh rasta nipe tu nijaribu mbona we unavuta na hujafa

Haya sasa
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
 
No najaribu kukurudisha kwenye reli,punguza kuandika shudu,haikufai Kwa kaliba Yako humu jf
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
 
Sijui ni kwanini akina GENTAMYCINE tukipata tu Vyeo na Kulambishwa KEKI RASILIMALI TANZANIA ( KRT ) huwa tunabadilika Kitabia na kuwa Watu tusiojali, wenye Dharau, Wababe, Wajeuri, Wezi / Mafisadi halafu ni Wanafiki sana kujifanya tunawapenda Watu na Kuwaonea Huruma wakati kumbe Kiuhalisia Wao ndiyo Wanaoongoza kwa Kutuumiza.
Hichi ulichoandika ukiwa kelolo na Chimpumu, Ulanzi-(mkangaf/mdindif),kaitaba, ama komoni!?

Legeza kidogo .. utumie japo mbege...

Hayo mataputapu mengine yanakupoteza!?...

Mbona wewe ni role model wa watu kabisa humu mkuu!? Eti Si ndio eeh!?
 
Back
Top Bottom