Umuhimu wa Misitu katika ufugaji Nyuki Tanznaia

Rafiki Asali

Member
Jan 4, 2019
28
8
Misitu ni eneo la ardhi lilifunukwa na miti. Misitu inatumika kwaajili ya makazi,nishati, chakula, dawa na vipodozi. kwa ujumla misitu inasaidia katika kupunguza, mmonyoko na kutunza na kurutubisha udongo.

Misitu Katika Ufugaji Nyuki
Zaidi ya 50% ya ufugaji nyuki Tanzania unakua unafanyika.

Aina ya Misitu Katika Ufugaji Nyuki
1. Misitu ya Joto Kali (Temperate)
2. Misitu ya Tropiki (Tropical)
3. Misitu ya Ikweta (Equatorial)

Asali ya Misitu
1. Organic
2. Dawa

kwa Maelezo zaidi juu mada hii na Ufugaji Nyuki wa kisasa na wa Faida, wasiliana nasi kwa namba 0758789956.
 
Weka hapa makala yote ya elimu hiyo tufaidike wote hapa.

Ambaye hatakata kiu yake na hayo maelezo ndipo atakufuata hata bila wewe kusema ufuatwe
 
Back
Top Bottom