Tanzania ni kati ya Nchi 12 za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye Vikwazo katika Uhuru wa Kujieleza

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1692600557382.png

Kwa mujibu wa Ripoti ya #GlobalExpression (GxR) 2023, Watu Milioni 363 katika Nchi 12 walipata vikwazo kwenye Uhuru wa Kujieleza, wakati Watu Milioni 165 katika Nchi 7 waliona Maendeleo ya kuongezeka kwa Uhuru wa Kujieleza.

Katika Miaka 5 iliyopita, Watu Bilioni 4.7 katika Nchi 51 walikumbana na kupungua kwa #UhuruWaKujieleza, huku Watu milioni 673 tu katika Nchi 25 waliona Maendeleo katika Uhuru huo.

Katika Miaka 10 iliyopita, Watu Bilioni 6.3 katika Nchi 81 walikabiliwa na kupungua kwa Uhuru wa Kujieleza, huku Watu milioni 452 katika Nchi 21 waliona Mabadiliko.

Nchi 12 za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye Vikwazo katika Uhuru wa Kujieleza

1. Burkina Faso
2. Niger
3. Ivory Coast
4. Madagascar
5. Nigeria
6. Msumbiji
7. Mali
8. Gabon
9. Tanzania
10. Angola
11. Jamhuri ya Afrika ya Kati
12. Togo

Chanzo: Global Expression 2023

Nchi 8 za Afrika Zinazokandamiza Zaidi Uhuru wa Kujieleza

1. Mauritania
2. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
3. Cameroon
4. Somalia
5. Ethiopia
6. Uganda
7. Guinea
8. Zimbabwe

Chanzo: Global Expression 2023

==============

Freedom of expression in Sub-Saharan Africa is stagnant. The region has an Expression Score of 43 and a Human Score of 45, both of which have held steady over the last 2 decades.

The majority of countries in the region belong to the middle 3 expression categories, and there are no countries in the top category: Sub-Saharan Africa’s last remaining Open country, Ghana, dropped out of the category in 2019.

Over the past decade, there has been a combined score decline of 210 points for countries in Sub-Saharan Africa, with a combined advance of 138 among countries in the region.

However, there have been significant advances in the scores of a number of Sub-Saharan African states over the last decade, including The Gambia, Angola, Malawi, and Zambia.

Over the last 10 years, there were more countries in advance in Sub-Saharan Africa than in any other region, and some of those advances have been substantial. The Gambia’s score increased by 60 points between 2012 and 2022 – the biggest increase recorded over any timeframe.

Countries in Sub-Saharan Africa are also proportionately over-represented in terms of countries in advance over each of our key timeframes. Countries in the region constitute more than half (57%) of advances over the last year, 36% over the last 5 years, and 43% over the last decade.

Around the globe, 80% of us have less freedom of expression than we had a decade ago. That’s more than 6 billion people in more than 80 countries.

The Global Expression Score (the mean average of country scores) has seen a 6-point decline since 2012, but the Human Score (weighted by population) – which shows the real cost of that loss – has dropped 13 points in just 10 years.

The divergence between these scores is relatively new: Between 2000 and 2012, the Human Score held steady – more or less in line with the Global Expression Score – but declines began to accelerate after 2012.
 
Back
Top Bottom