katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sina hakika kama RC Chalamila anaweza kuligusa kundi hili katika Maandamano ya CHADEMA

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam RC Albert Chalamila, jana alitangaza kuwa mkoa wa Dar es salaam utakuwa katika operation ya kufanya usafi siku ya tar 24/01/2024, siku ambayo pia ilipangwa kufanyika maandamano ya chama cha upinzani nchini Chadema. Watu wengi wamekuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya neno kuokoka?

    Maana ya Kwanza Kuhokoka nikukombolewa kutoka kwenye hatari Matendo ya Mitume 27:41-44 [41]Lakini wakafikia mahali palipokutana bahari mbili, wakaiegesha merikebu, omo ikakwama ikakaa isitikiswe, bali tezi ilikuwa imefumuliwa kwa nguvu za mawimbi. . [42]Shauri la askari lilikuwa kuwaua...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kuendelea kufanya maboresho katika uchaguzi wa shule za kata

    Wakuu habari za uzima? Leo nimeona nigusie kidogo kuhusu shule za serikali zinapofanya uchaguzi kwa wanafunzi waliofaulu kuendelea na masomo ya sekondari kutokea msingi. Kama sitakuwa na nimekosea mchakato wa kumuhamisha mwanafunzi kutoka shule aliyopangiwa kwenda shule nyingine huwa ni...
  4. I

    JamiiForums Tanzania UAE yashutumu mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham.

    Serikali ya Falme Za Kiarabu (UAE) imelaani vikali mashambulizi yanayofanywa na magaidi wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham. Pia wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran wamekiri kuuwawa kwa viongozi wake wapatao watano ktk shambulizi lililofanywa siku kadhaa zilizopita na...
  5. JamiiForums Tanzania Nimeoteshwa kuwa hii ndo inaweza kuwa kauli ya mwenyekiti wa chama katika ofisi yao mpya huko Mikocheni

    Ndugu wananchi, waandishi wa habari, wanachama wenzangu na watanzania kwa ujumla Asalam aleikum...., bwana Yesu asifiwe...., tumsifu Yesu Kristo. Ndugu zangu waandishi wabari leo nimewaita hapa kwa lengo la kuweka mambo sawa kuhusu mustakabali wangu na wa chama changu. Mtakumbuka miaka kadhaa...
  6. JamiiForums Tanzania Wanahabari wanaposhangazwa na Historia iliyopo katika Maktaba

    Imekuwa kawaida vyombo vinapokuja kunihoji kuhusu masuala ya historia wale wanaonihoji husikia historia ambazo hawakupata hata siku moja kuzisikia wala hawakusomeshwa si shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu. Basi tunapomaliza mahojiano huwa wananiuliza maswali mengi sana kiasi husema kuwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Wang Yi barani Afrika italeta uhakika katika dunia inayojaa sintofahamu

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi anatarajiwa kufanya ziara katika nchi za Misri, Tunisia, Togo na Cote d'Ivoire kuanzia tarehe 13 hadi 18 mwezi huu. Huu ni mwaka wa 34 mfululizo kwa waziri wa mambo ya nje wa China kufanya ziara barani Afrika kila mwanzoni mwa mwaka mpya. Mwaka 2023...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani?

    Ni utapeli unao fanywa na Vyama vya Upinzani nchini Tanzania kuwaaminisha watanzania kwamba vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani wakati vinajua kabisa havina uwezo huo. Mtanzania kataa huo utapeli. # Come 2025, I will "Samia" my vote . What about u?
  9. JamiiForums Tanzania Watu wenye ulemavu katika maandalizi ya michakato ya kupiga kura Nchini

    Watu wenye ulemavu, iwe ni ulemavu wa kuonekana au usioonekana, wanahitaji msaada mkubwa katika michakato ya upigaji kura. Upigaji kura ni haki ya kila Mtanzania mwenye umri wa miaka kumi na nane na kuendelea. Watu wenye ulemavu wanahitaji kipaumbele na mwongozo wa kutosha wanapojiandaa kupiga...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche atikisa Kilombero ni katika Maandalizi ya kung'oa CCM 2025

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , John Heche leo tarehe 10/01/2024 , amefika Kilombero na kuhutubia Maelfu ya Wananchi , ambao kwa Kauli moja wamekubaliana kuing'oa CCM madarakani kwa Udi na Uvumba 2025. Habari kamili hii hapa.
  11. JamiiForums Tanzania January Makamba: Tanzania katika anga la Kimataifa ina sifa na Hadhi ya Kipekee Duniani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amesema Tanzania katika eneo la kidiplomasia ina sifa na hadhi ya kipekee duniani. Waziri Makamba ametoa kauli hiyo akifungua Kongamano la kukusanya maoni ya wadau kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya Sera...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Maji ya Ziwa Victoria Kufika katika Halmashauri ya Ushetu

    Mbunge Cherehani: Maji ya Ziwa Victoria Kufika katika Halmashauri ya Ushetu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuanza kwa utekelezaji wa kufikisha mradi wa maji wa ziwa Victoria katika halmashauri ya Ushetu. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameyasema...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kupigia kura mtandaoni: Urahisi, Usahihi, na Ufanisi katika Mchakato wa Uchaguzi

    Kupigia kura mtandaoni imekuwa njia yenye urahisi mkubwa katika michakato ya kupiga kura kipindi cha uchaguzi, baadhi ya nchi haswa za ulaya, nchi za Baltic kama vile Estonia, zimetumia njia hii tangu mwaka 2005. Hii njia inapunguza kupoteza muda ikilinganishwa na mfumo wa kura za jadi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inapaswa kuacha kuongeza chuki katika suala la Bahari ya Kusini ya China

    Hivi karibuni, Balozi wa Ufilipino nchini Marekani, Jose Manuel Romualdez alipohojiwa na chombo kimoja cha habari alidai kuwa, Bahari ya Kusini ya China, na si Taiwan, ni sehemu ya hatari, ambapo vita inaweza kuanza wakati wowote. Siku moja kabla ya hapo, Ufilipino, pamoja na Marekani na Japan...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama awaomba Viongozi wa Dini kuweka mkazo katika kusimamia maadili

    Viongozi wa dini wameombwa kuendelea kusimamia imara na kukemea matendo maovu yanayopelekea mmomonyoko wa maadili hususan kwa vijana hasa katika mazingira ya yanayoendeshwa zaidi na ulimwengu wa kidijitali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe...
  16. R

    JamiiForums Tanzania NHIF yakanusha kadi za wanachama kutotumika katika hospitali binafsi

    WIZARA YA AFYA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA TAARIFA KWA UMMA KUKANUSHA TAARIFA ZA UPOTOSHAJI ZINAZOSAMBAA KUHUSU KUTOKUTUMIKA KWA KADI ZA WANACHAMA KATIKA VITUO BINAFSI Januari 07, 2024 Dar Es Salaam, Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya (NHIF), unakanusha taarifa za upotoshaji zinazosambaa...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu kuu 3 kwanini mfuko wa NHIF unapitia changamoto nyingi katika kuhudumia wananchi

    Habari JF ,Binafsi nimefanya kazi na NHIF kwa zaidi ya miaka 5, kumekuwa na Changamoto nyingi ambazo zinapelekea huduma kupitia huu mfuko kudolola. Mambo haya nimefuatilia ndio chanzo kikubwa ya Changamoto :- 1. ELIMU DUNI KUHUSU MFUKO WA NHIF (hupelekea matumizi yasiyo sahihi na kudhohofisha...
  18. JamiiForums Tanzania Video za wadada kukalia chupa zimeathiri bidhaa katika soko?

    Wanazengo mnaendeleaje? Wenye kumbukumbu wanakumbuka video tofauti ambazo ziliwaonesha baadhi ya wanawake wakichezea chupa za soda mfano mirinda kwa ustadi wa hali ya juu kitu ambacho kiliwastaajabisha watu na kuanza kuitaja soda fulani kama matani au mzaha Japo siyo jambo geni ila miaka...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ijumaa ya mwanzo wa mwaka wa uchaguzi, tuitumie kuiombea Nchi katika Haki na Kweli

    Asalaam Aleykhum , Ukweli ambao uko wazi ni huu , sisi Watanzania hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tuliyomo , tunayoishi , hii ambayo wamezikwa wazazi wetu na ndugu zetu Nachukua nafasi hii katika hii ijumaa ya kwanza ya mwaka , kuwaomba watukufu Waislam kuiombea nchi hii katika haki na...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Lugangira: Matumizi ya Mitandao Katika Uchaguzi yaingie Katika Sheria

    Mbunge Lugangira: Matumizi ya Mitandao Katika Uchaguzi Yaingie Katika Sheria MBUNGE wa Viti Maalumu, Neema Lugangira ameshauri Mswada wa Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi uwe na Ibara inayoongelea masuala ya Matumizi ya Mitandao katika Uchaguzi ikiwemo (Akili Mnemba - AI). Lugangira ametoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…