Mungu alishaweka sheria za vyakula, ni kwanini kipengere kisichokuwepo kiliongezwa katika mabano (Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote)?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,038
Kwa kuwa Mungu alituumba na vingine vilivyomo akaona ni kheri atuepushe kula vitu visvyotufaa kama nzi, vyura, konokono, kenge, mbwa, nguruwe, panya, n.k.

Kwanini ilitumika nguvu ya ziada kutaka kuaminisha wasomaji wa biblia kwamba Yesu alipowatetea wanafunzi wake kula bila kunawa mikono ionekane kwamba alifuta sheria za vyakula zilizowekwa hapo awali ?

Mbaya zaidi sikuhizi biblia haziweke tena kwenye mabano, zimeunganisha ili kuleta picha ya uongo ni maneno yalikuwa hivyo.
?
 
Back
Top Bottom