Nadhani wote tunamjua mnyama panya, sasa bwana panya anajua kabisa akisema amkimbie binadamu kwa kuogopa kifo na kuhamia porini, atakufa njaa. Tena kabla ya njaa huenda akauliwa na wanyama wakali zaidi.
Anachofanya panya ni kusoma ratiba ya binadamu ndani ya nyumba, saa ngapi anaenda kazini...