Manchester United yaipiga Everton magoli 3-0 katika Premier Leagu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Ikicheza mechi ya kwanza tangu ilipokatwa pointi 10 kutokana na kukiuka kanuni za Fedha katika Premier League, Everton imeendelea kuwa na wakati mbaya kwa kuchapika magoli 3-0 kutoka kwa Manchester United.

Waliopeleka furaha Man. U leo Novemba 26 ni Alejandro Garnacho, Marcus Rashford na Anthony Martial.

Man United imefikisha pointi 24 ikiwa nafasi ya sita katika msimamo EPL huku Everton ikibaki nafasi ya 19 kwa kuwa na alama 4.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom