Yahusu Mabadiliko ya katiba. Ikiwa kipo/vipo vifungu vya katiba ambavyo havitufai kwa mahitaji ya nyakati, tunaweza kabisa kunyofoa vifungu hivyo tukabandika vifungu/kifungu ambacho kitatufaa.
Sioni sababu ya msingi kung'ang'ania na kushupaza shingo juu ya kifungu fulani cha katiba eti ikiwa vinginevyo tutakuwa tunavunja katiba.
Nani kasema katiba ni mshahafu. Katiba imetungwa na watu kwa ajili ya watu na sio watu kwa ajili ya katiba.
Nani aseme ili sisi Watanzania mpaka tumwelewe. Mungu atupe nini ili tuamini kuwa tumetendewa miujiza. Huyu aliyetupa ni zaidi ya nabii. Hakika huyu ni kuhani mkuu na mkombozi wetu sisi Watanzania.
Ni wakati sasa tuanze kuzalisha fikra juu ya umuhimu wa kufanya marekebisho kwenye katiba yetu ili huyu aendelee kututumikia kwa uadilifu na weredi mkubwa. Huyu ni chaguo la Mungu na Mungu amemleta makusudi ili atuvushe tuifikie nchi ya ahadi. Mungu amesikia kilio chetu...! Aendelee huyu huyu...hakika huyu atatuvusha.
Tufakari Pamoja...