Natumai hamjambo wapendwa,
Upendo wa ndoa/mahusiano strong huhitaji katiba itakayoufanya uwe active na wenye msisimko kwa wahusika, katiba hiyo itakua na mapendekezo mlokubaliana kufanyiana ajili ya kuimarisha na kudumisha upendo baina yenu.
Mfano katika katiba yenu mtaandika namna ya kushow...