katiba

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hatutaki maridhiano ya nusu mkate, tunataka Katiba Mpya

    Tundu Lissu aibua SIRI nzito CCM na CHADEMA. atibua Maridhiano,"hatutaki kupewa nusu mkate, tusikubali kupewa viti vya Ubunge kwa hisani, Chadema tunaambiwa tutapewa majimbo halafu tunachekelea huu ujinga" Chanzo: Jambo TV
  2. R

    JamiiForums Tanzania Lissu tuambie, unaamini Bunge la sasa linaweza kufanya maboresho ya sheria ya vyama vya siasa,uchaguzi na katiba mpya?

    Tunakubaliana wote yaani CCM na upinzani kwamba Bunge la sasa halina uhalali kutokana na uharibifu uliofanywa kwenye uchaguzi 2020. Tunakubaliana wote kwamba dhamira ya Mhe. Rais aitengenezi vifungu vya sheria Bali inaweza Tu kufungua milango Kwa mabadiliko ya sheria. NI wazi kabisa kwamba...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Wadau, Wasomi Kuhusu Hatua ya Rais Samia Kuagiza Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Dk. Philip Daninga, alisema Rais Dk. Samia, kuwa, anaishi anazidi kuonyesha misingi ya utawala bora na anatekeleza kwa vitendo yale anayoahidi. Dk. Daninga alisema maelekezo ya Rais Dk. Samia kwa Jaji Mutungi inaonyesha yeye ni...
  4. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Mama katangaza mchakato wa katiba mpya; Tanzania yote ina furaha

    Ni furaha kila kona wapinzani wamejaa furaha CCM wamejaa furaha watanzania wote tumejaa furaha. Mama katangaza mchakato wa katiba mpya uanze. Aliyenuna sisi hatuna cha kumsaidia. Mwisho wa siku wawakilishi wetu bungeni watatupatia katiba iliyo bora. Hatutegemei wasiotutakia mema nchi yetu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya inakuja Tanzania

    Na Bwanku M Bwanku. Ndicho unachoweza kusema na hii ni baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Mei 06, 2023 kuongoza kikao cha Viongozi mbalimbali wa Serikali kinachohusu kuanza kwa Mchakato wa Katiba mpya, kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani...
  6. J

    JamiiForums Tanzania "Meya" Boni Jacob: "Polisi wafuate sheria na katiba, sio kauli za watawala au wanasiasa."

    ..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria. ..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza maelekezo batili ya watawala na wanasiasa. ..fuatilia mahojiano yake na GlobalTv hapa chini.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wasiokuwa tayari kuipigania katiba mpya waufyate

    Tuwe wawazi, tena kIroho safi tu. Kupigania haki dhidi ya serikali za kiafrika si kazi ndogo: Mtanzania gani mwenye kuwa na uhalali (moral authority) wa kumbeza Odinga kwenye harakati za huko kwao? Nisiwachoshe, tusichoshane. "Katiba mpya tunayoitaka ya kupewa mezani haipo. Asiyekuwa...
  8. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Victor Kweka: Bajeti ya Mwaka Huu Haina Fungu la Mchakato wa Katiba Mpya

    HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA KATIBA NA SHERIA-ACT WAZALENDO NDG. VICTOR KWEKA KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24. Utangulizi. Jana tarehe 25 April 2023 Wizara ya katiba na sheria iliwasilisha hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/23. Bunge...
  9. econonist

    JamiiForums Tanzania Tusirudie tena Makosa Kwenye mchakato wa Katiba Mpya

    Waziri wa katiba na sheria ameshatangaza rasmi kwamba mchakato wa katiba mpya utaanza mwezi wa Saba mwanzoni. Nilikuwa na ushauri kwamba makosa yaliyopelekea mchakato wa katiba mpya mwaka 2014 kukwama yasijirudie. Nimeanisha makosa Kama yafuatayo: 1. Tume ya katiba ndio ipewe mamlaka ya...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shigongo aomba Bunge limpe kinga ya Katiba Mkurugenzi wa PCCB

    Eric Shigongo Mbunge wa Buchosa, amesema Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) amewekewa kinga ya kustaafu kazi yake atakapotimiza umri wa miaka 60, ila anashangaa kwa nini Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) hana kinga yoyote kwenye Katiba ya Jamhuri ya...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bajeti Wizara ya Katiba na Sheria ni Tsh, Bilioni 383.6 kwa mwaka wa Fedha 2023/2024

    MHE. DAMAS NDUMBARO - BAJETI WIZARA YA KATIBA NA SHERIA NI TSH. BILIONI 383.6 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), leo Bungeni Jijini Dodoma amewasilisha bajeti ya mpango wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara kwa mwaka wa Fedha 2023/2024...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na mabadiliko ya Katiba yenye lengo la kumpunguzia madaraka Rais

    Ni siku nyingine Mwenyezi Mungu ametujalia kuiona, tukiwa wazima wa afya na amani ya kutosha. Mungu ni mwema nyakati zote. Kama ilivyo kawaida, waona mbali huwa hawaeleweki kwa 'matomaso' na hawa ni mpaka waone ndio waamini na hivyo jukumu letu sisi waona mbali ni kuwasaidia 'matomaso' before...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro acha kupotosha umma, Tunataka Katiba Mpya iwe na uwezo wa kutatua changamoto zetu. Ikiwezekana kumshtaki Rais na Mawaziri

    Huko Usa haki zikivunjwa unaenda mahakamani na mahakama ipo hutu
  14. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Kipi muhimu kati ya Lugha au Katiba Mpya?

    Habari wakuu, hamjambo? Kipekee ningependa kuchukua wasaa huu kuwatakia waamini wa dining ya Kiislamu na madheebu yake yote kwa ujumla heri ya sikukuu na kuwakaribisha kuendelea na maisha ya Kila siku katika jamiii. Nimetatizwa na jambo nikaona sio vibaya kama nitapata ufafanuzi kiasi. Hivi...
  15. Millionaire Mindset

    JamiiForums Tanzania Mswahili afunguka. Kwanini CCM kila siku na sio upinzani? Mazito 4 yafichuka

    Katika Hatua za awali za mradi wa MSWAHILI , wataalamu wa KEL wameamua kupima uelewa wa MSWAHILI kwenye masuala ya kisiasa. Mahojiano yalikuwa hivi: Msimamizi: ninaweza kufahamu kuna vyama vingapi vya siasa nchini Tanzania? MSWAHILI: Habari, Tanzania ina vyama vingi vya siasa, lakini muhimu...
  16. ONJO

    JamiiForums Tanzania Je, Katiba mpya ni mhimu kwa sasa?

    Habari zenu wanaharakati.. Nimekubali kuwa mjinga ili nielewe umhimu wa kuwa na katiba mpya. Najieleza, katiba ni muhimu kwa nchi yeyote kwani ndiyo inayotoa mwongozo katika utungaji wa sheria na kanuni, na ni mwongozo katika utekelezaji wa miradi ya kimaendeleo hasa taifa la tanzania. Hoja...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Marekebisho muhimu ya Katiba yetu

    Yafuatao ni maoni na mtazamo wangu binafsi juu ya uwepo wa haja kubwa ya Marekebisho ya haraka ya Katiba yetu ya JMT kulingana na mahitaji ya sasa. Marekebisho haya yafanyike haraka na mapema kabla ya Uchaguzi wa 2025 kwa sababu tunakoelekea kwa sasa hivi ni hatari zaidi kwa amani na Usalama wa...
  18. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi anavunja katiba ya Tanzania?

    Kwa muda mrefu huyu rais anajitambulisha kuwa yupo kwa ajili ya kuukuza uisilamu, rais Mwinyi huko nyuma aliwahi kusema ataongea na rais wa Tanzania kuona jinsi serikali ya Zanzibar inavyoweza kuanzisha mfuko wa Hija kwa waisilamu! Huenda ulianzishwa au la, hata hivyo hilo si jambo analotakiwa...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wenje: Magufuli angekuwa hai, asingekubali"ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG

    Mbunge wa zamani wa Nyamagana kupitia CHADEMA EZEKIEL WENJE amenukuliwa akisema kuwa kama Rais wa Awamu ya Tano, Marehemu Dkt John Pombe Magufuli angekuwa hai basi asingekubali hali aliyoiita "ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG. Nimeshangazwa sana na kauli hii ya Wenje na nimejiuliza...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Katiba na Sheria Bungeni yashauri Idara za Serikali kumtumia Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali kwa kazi zote uchapishaji

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria pamoja na mambo mengine mengi imeshauri ujenzi wa kiwanda cha nyaraka za Serikali ukamilike kwa wakati, Serikali itoe waraka maalum kuelekeza idara zake zote kutumia ofisi ya mpiga chapa Mkuu wa Serikali kwa kazi zote zinazohusu uchapishaji...
Back
Top Bottom