katiba

  1. Lissu: Tusipopata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi 2025, tunyamaze milele

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu amewataka watanzania kuungana na Chama hicho katika madai ya kupata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (2024) na Uchaguzi Mkuu wa 2025. Lissu ametahadharisha kuwa Katiba Mpya isipopatikana kabla...
  2. B

    Nina Milioni moja: Shindano Nyimbo za Hamasa Katiba Mpya kwa wasanii chipukizi na Kongwe

    Mimi kama Mtanzania Mzalendo ninayependa Nchi yangu hii inayoongozwa na Mh Dr Rais Samia kwa sasa najitolea 1M cash kama mkulima tu wa mahindi hapa Dumila. Nawiwa kufanya hivyo ili kuvuta attention na hamasa kwa wananchi kuhusu ujio wa Katiba Mpya. Kwa kutambua umuhimu wa jambo lenyewe madai...
  3. R

    Kwa hiki kilichototea bungeni. Je, kwa ubabe huu tunahitaji katiba mpya au Watanzania tuamke tudai nchi yetu?

    Habari jf, Hiki kiilichotokea bungeni sio mara ya kwanza kwa mambo kupitishwa kwa nguvu. Sasa kwa huu ubabe unaona kabisa katiba mpya inaweza isiwe suluhu ya hili tatizo . Bil 47 za posho zimepitishwa kwa nguvu ,watanzania tuko kimya hivi tunashida gani ? Hawa CCM watakuja mitaani ambako...
  4. S

    Kwanini Sharia law haifai kuwekwa katika katiba ya nchi aina ya Secular state

    Sharia Law ni muunganiko wa sheria zinazomuongoza Mwislamu maisha yake yote. Sharia ya Kiislamu Ina hasara kubwa kwa atu wasio waumini wa Kiislamu hasahasa Wakristo na nitazioanisha hapa kama zifuatavyo. Inaminya uhuru wa kuabudu: Hakuna uhuru wa kuabudu Kwa watu wasiokuwa Waislamu katika nchi...
  5. Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau katika upelelezi, uratibu na kupambana na makosa hayo

    SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA UPELELEZI, URATIBU NA KUPAMBANA NA MAKOSA YAO Katika kupambana na vitendo vya ugaidi na utakatishaji fedha haramu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau...
  6. Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

    Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje. Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia. Sharia haijaacha...
  7. USHAURI: WanaJF tuwe na sehemu ya kuwasilisha maoni yetu ya Katiba pendekezwa kwa Jaji Mutungi?

    Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni. Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye...
  8. Hawa ndio viongozi wa CCM tunaotarajia wajadili katiba mpya.

    CCM wanajimilikisha mpaka polisi na kuona ni utovu wa nidhamu kwa polisi kupinga kuwa CCM.
  9. Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (mb), akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2023/2024
  10. P

    SoC03 Katiba Bora ndio chanzo cha Utawala Bora na Uwajibikaji katika Taifa

    Katiba bora ina jukumu muhimu katika kuleta utawala bora na uwajibikaji katika Taifa lolote. Hapa chini ni baadhi ya manufaa tunayopata kupitia Katiba bora Kugawanya madaraka: Katiba bora inakuwa na mfumo wa kugawanya madaraka ulio wazi na uliobainishwa vizuri. Inathibitisha mamlaka na...
  11. Siku mpya na pumzi mpya ya harakati za kudai Katiba mpya

    Ukweli huo unaweza kupuuzwa tu na mtu mwenye kufikiria leo. Lakini kwa mwenye maono na afya ya akili, katiba iliyopo inatokana na msingi wa sheria za kikoloni na baadae kuendelea kufanyiwa maboresho ya kukidhi matakwa ya utawala wa chama kimoja na kisha kukubali mfumo wa vyama vingi kwa shingo...
  12. S

    Raisi Samia, kama unaona mbali, legacy kubwa ya kipekee na ya kudumu ni Katiba Mpya. Majengo na vitu vingine vinasahaulika hasa kwa vizazi vijavyo

    Katika uzinduzi wa Ikulu ya Chamwiono leo hii tarehe 20/05/2023, imejitokeza hali ya kila mmoja kutaka kuonekana ana legacy katika ujenzi wa Ikulu hiyo, lengo ni kila mtu aingie kwenye kumbukumbuku ya waliohusika kufanikisha ujenzi wa Ofisi hizo za Raisi hapa mkoani Dodoma. Katika hili...
  13. Katiba ya Chama Changu Haina Kipengele cha Ukomo wa Kiongozi Mkuu.

    Kabla ya kupigania katiba ya nchi, mimi Bei Elekezi na ndugu yangu Yericko Nyerere tunataka katika za vyamabvyetu vya siasa ziweke kipengele cha ukomo wa kiongozi wajuu ili mawazo mapya yapate nafasi. Tunapendekeza kiongozi wa juu wa chama chochote cha siasa aongoze kwa miaka 5, akiongoza vyema...
  14. K

    Rais Samia usisite kwenye katiba usiweke siasa mbele!

    Mimi natoa ushauri kwa Raisi Samia asisite kwenye swala la katiba kwasababu zifuatazo 1. Akisita wasiopenda katiba kwa manufaa binafsi kama mzee wetu mstaafu wa awamu ya 4 watapa mwanja wa kukushauri na kuongeza uoga wako 2. Manufaa kwa nchi ni makubwa sana kuliko manufaa ya siasa mfano mambo...
  15. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na suala zima la Katiba ya Nchi

    Katiba ya nchi ni nyaraka muhimu sana katika kuhakikisha uwajibikaji na utawala bora. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi katika utekelezaji wa katiba hii, ambazo zinahitaji hatua za haraka kutoka kwa serikali na wananchi. Moja ya changamoto kubwa ni ukosefu wa uwazi na uwajibikaji. Serikali...
  16. B

    Tunasimama na Lissu, alipo tupo

    Amekuwa wazi mwana halisi wa nchi hii, Rais wa mioyo ya wengi - Tundu Antipas Lissu: Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, amesisitiza umuhimu wa kupatikana kwa Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Lissu ameonya kuwa ikiwa maridhiano hayatapatikana, Chadema itaathiriwa. Rais...
  17. R

    Hongera Sungusia kuchaguliwa rais wa TLS; matumaini ya katiba mpya yameanza kuonekana

    Naamini ujio wa Sungusia TLS utaendeleza harakati na vuguvugu la kuirudisha TLS kuwa chombo cha kitaaluma chenye nguvu na hari ya kusukuma utawala wa sheria. Kitarudi kuwa chombo kinachotazamwa na watu kama njia ya kufikia haki pamoja na chimbuko la mawazo mapya. Kitakuwa chombo chakusukuma...
  18. Mjadala kujikumbusha kuhusu mabadiliko ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (uliofanyika May 13, 2023)

    Kwa kifupi tu..Kupata katiba mpya nchini Tanzania kuna hatua kadhaa ambazo zinapaswa kufuatwa. Hapa ni baadhi ya hatua hizo: 1. Kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya: Hatua ya kwanza ni kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Hii inaweza kufanywa na Rais, Bunge au kwa kuitishwa na...
  19. SoC03 Umuhimu wa Katiba Mpya na Kasi ya Mabadiliko

    #Storyofchange2023 Mwandishi: Wa Kale Mawasiliano, Email: officialmapatotz@gmail.com Simu: +255745922142 Utangulizi: Katiba naweza kusema, ni taratibu, miongozo, kanuni na sharia zinazotumika katika utekelezaji sahihi wa majukumu mbalimbali katika maisha ya kila siku ya mwanadamu. Ikiwa...
  20. R

    Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…