Mahakama Kuu: Sheria ya Ukomo inayompa Waziri wa Katiba na sheria kuongeza muda wa ukomo wa kufugua mashauri ni batili

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,011
Majaji 3 (MLYAMBINA, . KAKOLAKI, NA AGATHO) wa mahakama Kuu Dar wameto uamuzi huo tarehe 13/ 03/2024 kuwa kifungu cha 44(1) na 44(2) (section 44) vya sheria ya Ukomo (Law of limitation Act) vinapingana na katiba na hivyo ni Batili.

1. Vinamnyima mtu haki ya kusikilizwa

2. Vinamnyima mtu haki ya kukata rufaa

3. Vinakuika usawa mele ya sheria

4. Vinakiuka mwendendo wa uendeshaji mashauri (procedural irregularity)

5. Mwisho vinakiuka Katiba

My take: Hawa wamepingana na serikali kitu ambacho mahakama zetu chini ya cj Juma hakipo NA AMEKIKATAZA.

Naogopa hawatauona U-jaji wa Rufaa ( Justice of appeal)
 
Back
Top Bottom