katiba

  1. Pascal Mayalla

    Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kuhusu Maslahi ya Taifa, ambazo ni kuhusu jambo lolote la Kisiasa, Kiuchumi au Kijamii . Bandiko la leo ni pongezi kwa Rais Samia na serikali yake, kukubali kubadili sheria ya uchaguzi, na kuunda Tume Huru ya...
  2. K

    Sababu za ukwamishaji wa katiba mpya wivu wa kikwete kwa Samia upo!

    Nimekuwa nafakari sana ni kwanini Raisi Samia anasita sana kwenye maswala ya katiba na kwa mtanzamo wangu haya ni mambo ambayo yanasitisha mchakato huu 1. Kikwete na wapambe wake wanaogopa mafanikio ya katiba mpya yataonyesha Samia ni bora kuliko Kikwete kitu ambacho anajali sana Kikiwete na...
  3. Crocodiletooth

    Lengo la dhati la chadema si katiba, bali vifungu ndani yake vitakavyowasaidia kushinda

    This is fact and realitity! Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo...
  4. peno hasegawa

    Mawazo binafsi: Kwanini Tanzania tusiahirishe Uchaguzi Mkuu wa 2025 hadi mwaka 2026 ili kupata Katiba mpya?

    Serikali imepanga kutoa elimu ya katiba. Inaonyesha hadi mwaka 2025 katiba Mpya itakuwa haijapatikana kwa sababu elimu itakuwa inaendelea kutolewa. Sasa, kwanini Uchaguzi Mkuu usiahirishwe Ili ufanyike mwaka 2026 tukiwa na katiba Mpya?
  5. B

    Mahakama Kuu yatoa uamuzi - Rais hakuvunja katiba kuongeza muda wa Jaji Prof. Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania

    22 September 2023 Masijala ya Mahakama Kuu Dar es Salaam Kesi namba 7 ya 2023 ya Humphrey Simon Malenga dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali leo imetolewa hukumu yake . Humphrey Simon Malenga alifungua kesi, ili Mahakama Kuu itafsiri kama rais alivunja katiba au la kwa muuongezea muda wa...
  6. President of China

    Mjadala wa kuandika katiba mpya Tanzania katika Jukwaa la Katiba ya Watu, uliojadiliwa na wadau 553

    Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali zimejitokeza kutoka kwa wadau wa mchakato huo. Taarifa hii inatoa tathmini ya kitaalam juu ya mjadala...
  7. Erythrocyte

    Mbozi: CCM yaagwa rasmi, Sugu awasha moto wa Katiba Mpya

    Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maisha ya ccm huko Mbozi yamefika kikomo , hii ni baada ya Wananchi wote kukubaliana kwamba uwezo wa chama hicho kuleta maendeleo umekwisha. Akihutubia Maelfu ya Wananchi katika kitongoji cha Shule , Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph...
  8. K

    Mzee Mwinyi: Unaibu Waziri Mkuu haupo kwenye Katiba yetu

    Nimenukuu maneno ya rais Mstaafu kutoka kwenye kitabu chake ambapo alikua akizungumzia suala la yeye kunteua Lyatonga Mrema kama Naibu Waziri Mkuu. Mwinyi amekiri bayana kua cheo hicho hakipo kwenye katiba. Kwa muktadha huo,je Rais Samia hana washauri wazuri ama haoni kua amevunja katiba...
  9. T

    Tumeishi miaka yote, tumechagua viongozi wetu, tumeshtakiana na hukumu kutolewa Kwa mujibu wa Katiba

    Najiuliza hivi wasomi wetu hawajui kama Kila siku tunaongozwa na katiba? Hivi wasomi wetu hawajui kama tunaiishi katiba tuliyonayo? Hivi Rais wetu hajui kama Tanzania anayoiongoza iko hivyo anavyoiona kutokana na uwajibikaji Kwa katiba wa Kila raia wa Tanzania? Iweje useme eti hawaijui? Iweje...
  10. JanguKamaJangu

    Idara ya Katiba kuwasaka wasiojisajili

    NA HAJI NASSOR, PEMBA MKURUGENZI wa Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar Hanifa Ramadhan Said, amesema msako mkali unakuja kuwabaini watu na taasisi, zinazofanyakazi za kutoa elimu, ushauri na msaada wa kisheria, pasi na kujisajili kama sheria inavyotaka. Alisema, Sheria ya namba 13...
  11. S

    Kama siasa ni maisha, basi katiba ni document ya kisiasa juu ya mgawanyo wa madaraka na utowaji haki

    Enyi wanasheria mnioneshe ibara yoyote kwenye katiba yetu ya 1977 inayoelezea wajibu, haki na madaraka ya mkulima/ mfugaji katika kumiliki ardhi, kulima/ kufuga na kupata masoko. Au nionesheni ibara inayoonesha haki, wajibu na madaraka ya mfanyabiashara ktk kupata soko, kupanga bei ya bidhaa...
  12. Mpinzire

    Kitendo cha CCM kutaka kuhodhi mchakato wa Katiba kama walivyofanya mwaka 1977 na 2014 kitasababisha tushindwe kupata Katiba Bora.

    UPATIKANAJI WA KATIBA YASASA (1977) Historia inatunesha Katiba hii ya tuliyonayo ya mwaka 1977 ilipatikana kutokana na tume ya Rais iliyokuwa nawajumbe 20, kwa idadi sawa toka pande zote za muungano ikiongozwa na Sheikh Thabit Kombo akisaidiwa na Pius Msekwa kama katibu wa tume hii ya Rais. Hata...
  13. MGOGOHALISI

    Kama anaamini wananchi hatuijui katiba ya sasa, yeye mwenyewe akae pembeni maana hatujui hiyo nafasi kaipataje

    Ni rahisi sana kujitamkia maneno hasa unapokua na mamlaka ya kuitisha vyombo vyote vya habari virushe habari zako hata kama hazina mashiko. Ndio, ni rahisi kutamka lolote hasa kama mtu anaamini hakuna wa kumgusa. Ndivyo ilivyotokea kwa mama yetu hapo juzi. Ni wazi mama na CCM wala keki ya taifa...
  14. S

    Nilitegemea uhitaji wa katiba mpya uwe kipaumbele cha kila mwana-CCM ili madhila ya Awamu ya Tano yasijirudie

    Watu mlio karibu na rais Samia msijisahau sana na wala msione mmepata na hivyo kuamua kupuuza uundwaji wa katiba mpya. Tunataka katiba itakayompunguzia rais mamlaka na itakayoweka mipaka ya uongozi wake. Lkn cha muhimu zaidi rais awajibishwe pale atakapobainika kakosea. Katiba hii ni mbovu...
  15. Rutashubanyuma

    Kuboresha mafao ya viongozi wa kitaifa kwa sheria za kawaida ni ukiukwaji wa katiba ya nchi hii

    Kuna sheria iko jikoni yenye kulenga kuboresha mafao ya viongozi wa kitaifa na kuhakikisha wenza wa viongozi hao kulipwa 25% kama mafao ya kustaafu. Pia familia zao kuvuna 60% ya mshahara mara baada ya viongozi wa kitaifa kufariki dunia. La ajabu, huu muswada pamoja na kuchochewa na mapendekezo...
  16. B

    Video: Waziri anapojinadi dhidi ya Katiba

    Hili ni jambo la hatari kubwa: Kwani katiba haiko wazi kwenye lipi?
  17. kagoshima

    Katiba ndiyo mamlaka ya Wananchi kusema ni kitabu tu hivi ni kuwadharau wenye mamlaka (wananchi)

    Hatuwezi wote kwenda Ikulu na kuwa Maraisi na Mawaziri nk . Ndiyo maana tumetengeneza taratibu (katiba na Sheria) za namna ya kuajiri wawakilishi kwa kuwapigia kura. Na hao wawakilishi wakisha patikana wanapaswa kufuata muongozo au utaratibu sisi wananchi tuliowaandalia kutekeleza mambo...
  18. M

    Mzee Cheyo: Inaonekana Serikali haina nia ya dhati kwenye suala la Katiba Mpya

    Akiongea kwenye kikao cha wadau wa masuala ya siasa nchini. Amesema kuwa hoja za serikali za kutaka watanzania wapewe elimu kwanza ndo tuanze kujadili habari za katiba ni chenga ya kutotaka wananchi wapate katiba mpya 1. Kahoji ni elimu gani ya katiba inayohitajika ambayo haikutolewa na Jaji...
  19. kavulata

    Katiba mpya tunaitaka, lakini sio kuliko maji, chakula na afya

    NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena madarakani milele. Hata CHADEMA kama ikiingia Ikulu leo chini ya Katiba hii na sheria hizi za...
  20. B

    Hii Dharau kwa Vitabu vya Dini (Biblia/Msahafu) na Katiba, haitatufikisha mbali

    Habari wana jamvi wa JF, Sisi kama binadamu, tumeumbwa kufuata miongozo. Miongozo hiyo imo katika vitabu vitakatifu kama vile Biblia na Msahafu kwa upande wa dini na Katiba kwa upande wa kisiasa. Bila miongozo hii, tusingekuwa hapa tulipo na dunia pasingekuwa mahali salama pa kuishi. Hivyo...
Back
Top Bottom