Ni hivi karibuni serikali imezindua mchakato wa kuandika Dira ya maendeleo ya mwaka 2025 - 2050 (au pengine zaidi, kadiri itakavyopendekezwa).
Jambo hili ni jema kwa sababu, kama Taifa, mipango ya maendeleo ya muda mrefu ni muhimu ili kujenga uelewa wa pamoja wa nini tunahitaji na wapi...
Kufuatia taarifa ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyotolewa na Mkurugenzi Elihuruma Mabelya ikielezea kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), kumsimamisha kazi Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Japhet Maganga, ambaye alikuwa ni mwalimu wa Shule ya...
Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya.
Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya.
Woga wa nini kuhusu...
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amesema kuhusiana na swala la mbunge wa Babati mh Gekul, CCM ni Chama kikubwa na kina taratibu makini
Kuna Vikao Vya nidhamu na Maadili kuanzia Tawini na kuendelea hivyo kama kuna lolote litathibitika Vikao husika vitachukua hatua stahiki na kama litafika Ngazi...
Mhe. Rais, sisi wananchi kwa ujumla tunakuomba kwa heshima na taadhima iwe jua na iwe mvua tunataka Katiba Mpya kabla ya 2025.
Usemi kuwa wananchi wanataka elimu kwanza kuhusu Katiba Mpya usemi huo hauingii akilini mwetu tunataka Katiba kabla ya uchaguzi 2025 ili nchi iendelee kuwa na amani...
Wanabodi,
Hii ni Nipashe Jumapili ya leo 19 Nov. 2023.
Kama kawa, leo nimepata fursa tena kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, kwa muktaasari wa sura zote 10 za sheria hii, kuwaelimisha elimu ya uraia na...
Hivi elimu ya ampiga kura inatosha kabisa kumwezesha mtu kupigiwa kura? Mimi naona kama waAfrika wengi demokrasia ipo lakini wananchi Hawana uelewa wa serikali na kwanini wanachagua viongozi.
Wewe unaona je? Plato alisema huwezi kachagua mtu yoyote tu kwenda kuamua kuhusu Maisha ya watu. Labda...
Wanabodi
Mimi ni mwana JF mwenzenu humu JF ni member toka 2006 kwenye Jambo Forum na verified tangu 2008, katika miaka hii zaidi ya 15, nimepandisha mabandiko mengi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Uwasilishaji hoja zangu nawasilisha kwenye 3 fronts
1. Kwa kuongea live kwenye events, hii ni...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Makala ya leo ni kuhusu fursa ya kuufanya uchaguzi Mkuu ujao wa Rais, Wabunge, Madiwani na serikali za mitaa utakuwa ni uchaguzi huru na wa haki.
Kwanza tukubaliane katika uendeshaji wa nchi...
Wasalaam,
Taifa likiwa katika mchakato wa kuandaa sera ya mtaala mpya ya Elimu na mtaala huo kupendekeza kuwepo kwa Somo la Historia ya Tanzania na Maadili ni jambo jema kwa kizazi Cha Sasa na kijacho kulilinda Taifa dhidi ya mmomonyoko wa maadili.
Huu ni mtazamo wangu juu ya uwepo wa Somo...
Hivi karibuni kauli ya Paul Makonda imedhihirisha katika ukandamizaji wa Uhuru wa Kujieleza nchini baada ya kusema wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni.
Wastaafu wana haki ya kutoa maoni yao kama watu wengine hasa maneno ya ushauri kwa vijana,wakati mwingine huwa ni ushauri mzuri.
Katika Katiba...
Uteuzi wa Paul Makonda au ukipenda Bashite ni mkakati wa kutuondoa kwenye hoja za msingi kama Katiba Mpya na Bsndari.
Tangu ateuliwe amekuwa mtu wa kuropoka ropoka mkakati ukiwa kutuondoa kujadili masuala ya maana na kuanza kujadili upuuzi wake.
Inavyoelekea baadhi ya Watanganyika wasiopenda...
HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!
Akijibu maswali katika mahojiano na Edwin Odemba katika Kipindi cha Medani za Siasa ikiwemo suala la kuwa makali yake kisiasa yamekwisha na madai kuwa yeye na Chama chake ni kama CCM B, Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe anasema:
“(Kuhusu suala la usaliti) Waulize wao, hizo ni propaganda za...
Salaam wakuu.
Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inatamka kama ifuatavyo;
"Kila mtu anayo haki ya kujielimisha, na kila raia
atakuwa huru kutafuta elimu katika fani anayopenda hadi kufikia
upeo wowote kulingana na stahili na uwezo wake"
Hali ni tofauti...
Huu Muungano ni chenga kabisa una kero nyingi mno, naona kwa Zanzibar wao ni raha kwenda mbele.
Sisi wote ni Watanzania lakini ajabu Mtanganyika akienda Zanzibar endapo atahitaji kuendesha gari basi atatakiwa kuomba kibali maalum kinachotolewa na mamlaka za huko, vinginevyo utakuwa unavunja...
Jamii forum darasa la katiba ni muhimu sana ukizingatia jukwaa hili lina watumiaji wengi na wapita njia wengi nikimaanisha wanaosoma humu na ambao si wenye kujisajili.
KAZI NZURI YA RAIS DKT SAMIA INAHITAJI KATIBA MPYA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Kumekuwa na mjadala wa Katiba mpya ambao umekuwa ukiibuka na kufifia. Mjadala umekuwa unaibuka na kufifia kwa kuwa una sura mbili. Sura ya kwanza wanahitaji katiba mpya na sura ya pili hawahitaji katiba mpya...
BARAZA KUU TAIFA CWT MPO WAPI? ZUNGUMZENI WATU WAJUE MBIVU NA MBICHI
Na Thadei Ole Mushi.
Inashangaza Misalaba anapata wapi nguvu ya kuzuia account za CWT zisifanye kazi wakati chombo cha juu kabisa cha chama Baraza kuu likiwepo. Hiyo Nguvu Misalaba aliyonayo inatoka wapi ndio ya kudili nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.