katiba mpya

  1. B

    JamiiForums Tanzania Moto wa Katiba mpya Unapagawisha

    Moto wa katiba mpya unawahusu moja kwa moja watawala na watawaliwa. Unahusu haki na usawa wa watu. Moto huu unahusu utawala bora na mamlaka kwa wananchi. Moto huu ndiyo ulio pelekea Mh. Mbowe kukaa korokoroni kwa miezi 8. Mbowe ametoka na kazi inapoendelea kupagawa kupo pale pale. Kwamba...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Rais Samia Kadanganywa na Kikosi kazi cha Demokrasia, hatukukubaliana vile

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ameoneshwa kusikitishwa na baadhi ya masuala yaliyowasilishwa na Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Nchini kinachoongozwa na Mwenyekiti Prof. Rwekaza Mukandala kwa kueleza kuwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Katiba Mpya, ukweli anaougopa CCM kuliko ukoma

    Inafahamika kuwa katiba mpya ndiyo ulio mwisho wa CCM kuwa madarakani. Kwenye katiba mpya CCM ni wepesi kama KANU Kenya au UNIP Zambia. Hawatakaa waikubali hali hiyo. Ni hivyo hivyo kwa ZANU PF Zimbabwe, RPF Rwanda au NRM Uganda. Bila usawa na haki hawana madaraka. Kwa sababu hiyo safari ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kama CHADEMA na wengine pia wanataka Katiba Mpya

    Amesikika Abdul Nondo katika kipindi cha Medani za Siasa Star TV kwa niaba ya ACT, kwamba hata wao wanataka mno katiba mpya. Pamoja na tofauti zilizopo yumkini Chadema au NCCR au CUF na ACT wanaweza kufikia hatima inayoweza kutuletea sote raha. Ikumbukwe umoja ni nguvu. Bila kusahau adui yetu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hayupo mwenye kuridhia Katiba Mpya kwenye Mitano yake ya Mwanzo

    Ikumbukwe katiba iliyopo iliasisiwa kwa lengo la kuufanya utawala wa CCM kuendelea kudumu. Kidumu Chama cha Mapinduzi. Rais gani wa CCM ataafiki uwezekano wa mabadiliko ya katiba ndani ya awamu yake ya kwanza katika 2 anazopewa? Asijipende vipi mtu huyo? Inawezekana ni kwa mantiki hiyo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025?

    Kikosi kazi ilitoa taarifa kwa Mhe. Rais kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi na mchakato wa Katiba mpya. Swali langu ni kama ifuatavyo:- Je Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025? Je, mchakato wa Katiba mpya utaanza lini?.
  7. Martin Maranja Masese

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau Watanzania wanaitaka Katiba Mpya au ni hofu tu?

    “Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau watanzania wanaitaka katiba mpya au ni hofu tu?” Katika nchi yoyote, msingi wa uendeshaji wa nchi unategemea Katiba. Katiba ni sheria kuu/sheria mama katika nchi yoyote. Sheria nyingine zote zinategemea au zinatungwa kwa mujibu wa Katiba. Wakati mwingine...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Gado, ni Rais Samia na Katiba Mpya

    Alipoingia madarakani hali ya hewa ilikua shwari sasa katiba mpya inamletea maumivu ya kichwa.
  9. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Kutana na maoni ya kushangaza ya Katiba mpya kama yalivyokusanywa na Tume ya Warioba

    Una lipi la kusema?
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Inashangaza kusikia Nyati na Pundamilia wakidai Katiba Mpya mbugani

    Kwema! Nikiwa pale Mbuga ya Mikumi nilishangazwa na habari niliyoikuta pale. Muongoza watalii alikuwa akitupa simulizi ya vuguvugu linaloendelea hapo mbugani. Stori yenyewe Imakaa hivi; Hapo Mikumi Nyati na Pundamilia wanataka Mabadiliko ya kimfumo, wanataka Katiba mpya itayaolinda maslahi ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kudai Katiba Mpya siyo lelemama. Je, CHADEMA ina Watu (Umma)?

    Kuna kila dalili kwamba kwa sasa na katika miaka 10 ijayo ni Chadema peke yake ndio wenye kiu na Katiba mpya. CCM wao hawafungamani kwao Katiba yoyote ni Heri tu. Vyama vingine vya upinzani vimeshasalimu amri (vimeufyata) Swali: Je, Chadema ina Watu?
  12. Nicolas J Clinton Gabone

    JamiiForums Tanzania JUVIMA yaitaka Serikali kuwa sikivu kuhusu madai ya Katiba Mpya

    Jumuiya ya Vijana wa chama cha NCCR Mageuzi (JUVIMA) wameitaka Serikali kuwa sikivu kusikiliza matakwa ya muda mrefu ya wananchi wake kuhusu katiba mpya. Akizungumza makao makuu ya cha hicho jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa JUVIMA, Bw. Nicolas Clinton amesema kuwa takwa hilo la jamii ya...
  13. Bams

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu Katiba mpya yawe chachu kwa Taasisi nyingine

    Sote hivi karibuni tumeshuhudia msajili wa vyama vya siasa, Jaji Mutungi, kwa kupitia Kamati yake iliyoiunda, akiwakilisha maoni ya taasisi anayoiongoza, kuhusiana na katiba mpya. Nasema ni maoni ya taasisi yake, kwa sababu sote tunajua kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, siyo taasisi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Tuungane kuidai ni haki yetu

    Pamoja na hatua zote zinazoweza kuchukuliwa dhidi ya mapendekezo batili ya akina Mukandara, tupanue wigo. Walisema umoja ni nguvu. Kwa hakika wananchi wanataka katiba mpya na wako pote. Wako CCM, NCCR, CHADEMA, nk na wengine hata vyama hawana. Shughuli hii inahitaji watu, tena...
  15. WilsonMwalukasa

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Watanzania wanahitaji Katiba Mpya?

    Ni kweli watanzania wanahitaji katiba mpya? Kabla ya kuanza kutekeleza hitaji la katiba mpya, ni lazima tujue watanzania wangapi ni wahanga wa katiba ya Sasa. Tukishajua wako wangapi ni lazima pia tujue pia muamko wao pia. Kupitia muamko huo, tutapata kujua uelewa wao wa katiba iliyopo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya si kwa Utashi wa Zitto, Mukandara wala Samia

    Nchi si shamba la bibi. Katika nchi, yote ni kwa mujibu wa katiba. Kwa mujibu wa katiba, sote tuna haki sawa ambapo uamuzi ni kwa kura. Kura moja kwa mtu. Si Samia, Zitto, Mukandara, Dr. Hosea au awaye yote kwamba wanaweza kujimilikisha mustakabala wa msingi wa nchi hii. Labda kama wanataka...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kudhani Katiba Mpya ni kuhusu masuala ya uchaguzi tu, ni ufinyu wa mawazo

    Wapo wenzetu ambao kila wakisikia madai ya katiba mpya, wanadhani tunataka kùgombea na kuchaguliwa au kuchagua tu. Hawaachi kusema tuna uchu wa madaraka ilhali wao ndo ving'ang'anizi wakubwa, ruba na kupe wa madaraka. Yawapasa wajue kuwa katiba, mbali na masuala ya uchaguzi, inahusu haki na...
  18. Bams

    JamiiForums Tanzania Kamati iliyotoa Mapendekezo ya Kamati ya Msajili wa Vyama Kuhusu Katiba Mpya, Kisheria na Kimantiki ni Batili

    Kuna mambo katika Taifa hili huwa yanafanyika mpaka unajiuliza, sisi ni Taifa la namna gani? Mojawapo ya mambo yanayoonekana kutudhalilisha wote kama Taifa ni hili la katiba mpya. Katiba ni ya wananchi wote, siyo ya wanasiasa na siyo ya vyama vya siasa. Kinachoitwa kamati ya katiba, hiyo...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya tumekwama tena tumeanzia kwenye tope

    Kitendo cha Rwekaza Mukandara kuwa mwenyekiti wa mchakato wa Katiba Mpya ni mkakati wa kuikwamisha tena, Mukandara hana historia nzuri kwenye siasa za vyama vingi kwani ni kada mwaminifu wa CCM, tumekwama tena kwenye tope na Mhe. Zitto analijua wazi hilo.
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania KATIBA MPYA: Wananchi wajipanga kuanzisha Kikosi kazi chao kuhakikisha Katiba Mpya inapatikana kabla ya 2025

    Hii ndio taarifa inayotembea mitandaoni kwa sasa, hasa baada ya kikosi kazi cha serikali kinachoongozwa na Profesa Mukandala kusoma mapendekezo ambayo hayafahamiki yalikookotwa. Mukandala huku akitetemeka (Ishara ya uongo), amependekeza kwamba mchakato wa Katiba mpya uanze baada ya Uchaguzi...
Back
Top Bottom