kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Namna mwaka 2026 utakavyoimarisha uhusiano wa kielimu kati ya China na Afrika

    Mwezi Julai 2025, wanafunzi na walimu 20 wa Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang waliwasili Port Elizabeth nchini Afrika Kusini, na kuwa wimbi jingine lisiloyumba la mawasiliano ya kielimu baina ya China na Afrika yaliyoanzishwa katika miaka ya hivi karibuni. Wakati mwaka 2026 ni wa mawasiliano...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?

    Mdau ......Kati ya filamu hizi ni ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka unatamani ungepoteza kumbukumbu uianze upya?
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wazee wa grammar, lipi ni jibu sahihi kati ya haya?

  4. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Tangu asubuhi sijauza hata mia na nipo mjini kati, mambo yangu yanakwama kwa kasi, nachanganyikiwa

    Nakosa hata la kuongea wakuu, aisee!
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nani anahitaji kuponywa kati ya Samia na Taifa?

    Juzi, Samia alisikika akijigamba kuwa aliunda wizara ya vijana ili kuiponya taifa. Je, kati yake na taifa, nani anastahiki kuponywa kwanza na je, alimaanisha nini au ni tambo tu.
  6. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya madini ya Tanzanite, Ruby, Green Tourmaline yapi Yana thamani kubwa? Na bei zake zipoje sokoni kwa Sasa?

    Wadau wa madini kati ya madini ya Tanzanite, Ruby, Green Tourmaline yapi Yana thamani kubwa? Na bei zake zipoje sokoni kwa Sasa?
  7. M

    JamiiForums Tanzania !IMPORTANT, No sportwashing, Mkataba kati ya Manchester United kusafisha Damu ya Watanganyika mikononi mwa CCM

    Uzi wangu uliopita umefuta, ila lazima haki ipiganiwe Mnakumbuka hii picha kwenye hii ziara Matokeo yake ni kuwa Manchester United ilipewa tender ya karibu dola million 19 sawa na TZS billioni 50 kupromote vivutio vya Utalii Tanzania Hii ni summary ya huu mkataba Company: MANCHESTER UNITED...
  8. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa mawasiliano kati ya watu wa China na Afrika kuhimiza ujenzi wa Jumuiya yenye Hatma ya Pamoja

    Mwaka wa 2026 wa Mawasiliano kati ya Watu wa China na Afrika umezinduliwa hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja wa Afrika yaliyoko Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia. Mwaka huu, takriban shughuli 600 za mawasiliano kati ya China na Afrika zitafanyika, na kuleta uhai na nguvu zaidi kwa ujenzi...
  9. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Kikwete: Tutamalizaje changamoto za 2025 wakati serikali haitofautishi kati ya 'coercive peace' dhidi ya 'consensual peace' kabisa?

    SWALI KWA KIKWETE: KAMA AMANI YA KUDUMU SIO TUNDA LA HAKI WATANZANIA TUNATOKAJE OKTOBA 2025 NA KUFIKA KWENYE UFALME WA HAKI NA AMANI TUNAKOPASWA KWENDA? Mpendwa Jakaya Kikwete, Rais wa Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tangu 21 Desemba 2005 hadi 5 Novemba 2015. Nakuandikia tena...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Upande upi Unaokusikitisha zaidi wewe, kati ya ICC na Trump, et al.; au Hawa Wenzetu?

    Kuna baadhi yetu waTanzania wanaoamini kwamba kuna watu, nchi au makundi toka nje ya nchi hii watakaokuja kutuondolea shida ya utawala wa maguvu unaotukabili sasa hivi. Watu wanasubiri ICC au akina Trump waje hapa na kunyakuwa viongozi waovu wanaotukandamiza sasa hivi, ili tupate ahueni. Watu...
  11. Clever505

    JamiiForums Tanzania Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

    Waislam wote duniani wanafundishana kwamba vitabu vya Mungu; Tourati, Zaburi na Injili vimechakachuliwa. Hili fundisho mmepata wapi! Mbona mnamuona Mungu ni dhaifu sana kiasi kwamba hawezi kulinda vitabu vyake? Yaani Bukhari ana kitabu chake cha Hadith kipo hadi leo tangu kiandikwe ila Mungu...
  12. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya maandano ya WAKATOLIKI na wanaojiita wakatoliki

    Tazama tofauti kati ya maandano ya "wakatoliki" na "wanaojiita wakatoliki"
  13. C

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Je, kuna uhusiano gani kati ya madaraka ya Urais na kuzeeka mapema?

    Wanajamvi heri ya mwaka mpya 2026. Baada ya kunywa Balimi zangu kadhaa, nimejiuliza, hivi URAISI una nini hasa kuwafanya watu (Maraisi) wawahi kuzeeka kwa kasi ya kutisha? Je, ni majukumu mazito ya kuelemea mtu kiasi gani kumfanya mtu (Raisi) azeeke kwa haraka? . Uraisi una siri gani mpaka mtu...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini China haiingilii kati kusaidia mataifa mengine yanapovamiwa na nchi za Magharibi?

    Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa. Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini. Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Leo kati ya Liverpool, Man City au Chelsea chochote tu kitokee!

    EPL inazidi kunoga. Watetezi wa kombe wanapelekewa moto huko. Wakati City tunategemea leo kusumbuliwa na Chelsea.
  16. I

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha mgogoro kati ya Marekani na Venezuela?

    Leo tarehe 3/Januari/2026, vyombo vya habari vya Magharibi vimetoa taarifa ya kushambuliwa kwa Caracas. Mshambuliaji ni Washington. Wanajumuiya wenzangu wa Jukwaa hili maridhawa, ninaomba mwenye nondo za chimbuko la mgogoro huu azishushe hapa ili sote tupate maarifa. By the way...hivi kuna...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kuna connection kubwa kati ya polisi na wezi ama matapeli

    Sometimes unaweza kusema tofauti yao ni uniform tuu Mwaka 2005 vibaka/wezi waliruka ukuta wakavunja mlango wakaiba jikoni na sebuleni kisha wakaenda kufanya karamu kwenye gari Kulipokucha nikaenda police kuripoti, baada ya mahojiano askari akanijulisha kuwa wezi wangu wanatoka eneo fulani...
  18. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Wakili mpenda haki na Wakili mfanya biashara

    WAKILI MFANYA BIASHARA - lengo lake kuu ni kumsaidia mteja wake kushinda kesi, anatumia udhaifu wa sheria au mianya (loop holes) ya sheria, ujanja ujanja na mbinu mbalimbali za kisheria kumsaidia mteja wake kukwepa haki. Anatumia sheria vibaya na hata kutoa hoja za uongo kupotosha Mahakama kwa...
  19. DesertStorm

    JamiiForums Tanzania Nawaombea sana moja kati ya timu za kiarabu ichukue AFCON, kila la kheri kwenu

    Nawaombea sana ndugu zangu waislamu wa Afrika ya kaskazini mmoja aibuke na ushindi/kombe. Morocco Algeria Egypt Tunisia Sudan Senegal Especially hao wa juu mmoja aibuke mshindi na wawakate midomo haters, maana kuna watu weusi hawawapendi waarabu, mara utasikia wanabebwa, mara wanajiangusha...
  20. Vien

    JamiiForums Tanzania Kati ya Samsung S25 Fe na Xiaomi 15T ipi bora

    Merry Christmas and happy coming new year 2026 Wakuu tukielekea kumaliza mwaka, bado naendelea kufanya research ya simu ya kuichukua, nimekutana na Samsung S25 Fe naona inashawishi kidogo kutokana na features zake sasa nimekuja kwa wataalam, kati ya Samsug S25 Fe vs Xiaomi 15T ipi kali
Back
Top Bottom