kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania 2025 Abu Dhabi GP: F1 Race ya Mwisho kwa huu mwaka itakayoamua nani awe World Driver’s Champion kati ya Norris, Verstappen au Piastri!

    Wakuu, Formula One Grand Prix kwa mwaka 2025 ndio imefika tamati weekend hii, kwa jumla ya GP 24 kuanzia March pale Australian GP na ya mwisho hii Abu Dhabi GP, uwanja wa Yas Marina. Hadi sasa msimamo wa michuano kwa upande wa kombe la madereva (Driver’s World Championship) unaongozwa na Lando...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Aviator itanitoa roho, Tafadhali serikali ingilieni kati vijana twafa

    Hello guys, Moja kwa moja, kwenye mada naiomba serikali itusaidie sisi vijana kwa kuifungia mchezo wa Aviator. Vijana wa chuo wanashindwa kulipa ada kwa sababu ya aviator, hata kununua nguo kwa vijana imekuwa changamoto. Tafadhali serikali sisi hatuwezi bila msaada wenu. Mkitusaidia katika...
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Urusi yaingilia kati matamko ya mabalozi

    Unaandika ubalozi wa Urusi kwenye Ukursa wao wa X
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nani wanaoharibu nchi kati ya utawala wa CCM na vijana wanaodai haki na uwajibikaji?

    Ni kujitoa ufahamu na kukosa akili viongozi wa CCM, watawala, BAKWATA na machawa wao wengine wengi kupayukapayuka kwamba vijana wanaharibu wanaharibu nchi na kufuata mkumbo tu kwa kurubuniwa katika harakati zao za kudai haki, kupinga dhuluma na kutaka uwajibikaji. Wanaoharibu nchi hii ni CCM na...
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tanzania pekee ndo hajaalikwa kwenye utiaji saini wa amani Kati ya DRC na Rwanda huko USA

    Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord" Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa licha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo Wanajeshi wetu wengi...
  6. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Tafauti pekee ya kimawazo kati ya tajiri na maskini

    Kabla kuelezea tafauti zao, vitu ambavyo wanafanana ni kila mmoja anapenda kukaa kwenye rika lake,mfano matajiri hupenda kujitenga na matajiri wenzao likewise maskini Lakini tafauti kubwa ni Kichwa cha tajiri: Kwann yule mzee amesogea sana kuliko mm, lazima niongeze miradi nataka kua 1 kichwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Wenzi wa Ushirikiano wa Kimkakati kati ya China na Afrika wajenga mustakabali wa pamoja wa watu bilioni 2.8

    Miaka kumi iliyopita, katika Mkutano wa kilele wa FOCAC uliofanyika Johannesburg, uhusiano kati ya China na Afrika ulipandishwa ngazi na kuwa “wenzi wa ushirikiano wa kimkakati” Leo, mkakati huu umegeuka kuwa reli, umeme, mawasiliano ya simu na vifaa vya afya barani Afrika—ukithibitisha...
  8. Cyclopedia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yanayojiri kati ya Rais Samia na wazee wa Dar es S alaam

    Guys! Naombeni kujuzwa yale yote yatakayo jiri katika mkutano huo wa leo tar 02/12/2025. Sababu ni ubize wa majukumu ahsanteni.🙏
  9. suhelmadyan

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, hatuhitaji kurudisha utaratibu wa Rais kuhutubia Taifa kila Mwezi? Muunganiko Kati ya Serikali Kuu na Wananchi Umekatika

    Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia pengo linalozidi kupanuka kati ya Serikali Kuu na wananchi wa kawaida. Pengo hili halijatokea kwa bahati mbaya—limejengwa taratibu kutokana na kukosekana kwa majukwaa ya wazi ambayo yanamwezesha kiongozi mkuu wa nchi kuwasiliana moja kwa moja na watu...
  10. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba kawekwa kati na wahariri wa habari

    Leo ni leo Mwigulu kawekwa kati, maswali ni magumu, majibu anayotoa mepesi sana https://www.youtube.com/live/jKByXFRcJSo?si=FLTCutk2j9D9tsz0
  11. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania Genge la wahuni ni lipi kati yetu na wao?

    Wanaiba mali za umma, wanauza hovyo rasilimali za taifa. Hawataki tuwaambie ukweli kwamba hii nchi ndiyo kwetu. Mukiitapanya leo tutaishi wapi kesho? Watoto wetu, wajukuu na vitukuu na vizazi vijavyo, wataishije kesho kama hamzingatii leo yetu? Tukiwaambia hawatusikilizi. Wanatuteka...
  12. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Angalia hii then unitofautishie kati ya Idd Amin Dada na deshi deshi. My self I can't tell

    Angalia hii then unitofautishie kati ya Idd Amin Dada na deshi deshi. My self I can't tell. Kulingana na kinachoendelea https://youtube.com/shorts/I37o60xwIYE?si=tIJ8dUV13hfkSZ_h
  13. Black cap

    JamiiForums Tanzania Jimboni kwa Aweso: KIGURUSIMBA Kuna vita kati ya wafugaji na wakulima

    Mwenye taarifa nzuri ya Nini kinaendelea Tanga-kigurusimba, jimboni kwa Aweso atujuze. Nimepata taarifa tangu Jana usiku Kuna mapigano makali kati ya wafugaji na wakulima. Vita ya mikuki, mapanga na mishale. Taarifa zinasema Ofisi ya mtendaji na mwenyekiti imefungwa na vijana wenye hasira kali...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna tofauti kati ya Uislam na Sheikh

    Mashehe wengi walivutiwa sana na Utekaji,uuaji,kupotezwa,unyimwaji wa haki kwa wapinzani,uchaguzi feki na ufisadi. Mashehe hua hawapingi mambo hayo niliyoyataja hapo juu. Kila aliyepinga mambo hayo huyo alikua amekwishatangaza vita na mashehe. Sio Siri Polepole katekwa,Ali Kibao kauwawa,Mdude...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya mambo viongozi wa Dini mnahitaji kupuuzwa na kudharauliwa, ni uchonganishi wenu wa kidini

    Nyinyi mmekuwa sababu ya nchi nyingi balani Africa kukosa Amani kwa uchochezi wenu na kuingiza waumini wenu kwenye vita vya kidini huku nyinyi mkiendelea kuishi kwa raha na kwa Amani tele na familia zenu Kwa Tanzania mtasubili sana kwa uchonganishi wenu Tutawapuuza na tumewapuuza Hamuwezi...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bashiru Ally: Maridhiano sio kati ya serikali na vyama vya siasa bali wananchi wenyewe

    Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, amesema kuwa dhana ya maridhiano ya kweli haiwezi kujengwa juu ya makubaliano ya kisiasa pekee, bali lazima iyatokane na wananchi kama msingi wa mamlaka ya nchi...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kati ya Rais Samia na Gen Z nani anapaswaye kuomba au kutoa msamaha?

    Tuwe serious kidogo. Juzi, nilimsikia Rais Samia akijifanya Mungu na kutoa msamaha huku akikariri maneno ya kejeli kuwa tuwasamehe kwa vile hawajui watendalo. Nani hajui atendalo kati yake na wahanga wake yaani Gen Z? Nani anapaswa kuomba na kutoa msamaha kati ya wawili hawa. Nani...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Msilaumu sana tofautisha kati ya PhD, MA/ Msc etc na Madrasa awards

    Nimesoma watu wanalalamika na kauli za Bakwata kuhusu mauaji yaliyotokea kwenye màndàmano. Wanalaumiwa sana kwa kutosema ukweli, hasa baada ya waraka wa TEC leo. But wanasahau kuwa haya makundi ya dini ni diametrically opposed in thinking ability. Naishia hapa
  19. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Mnaojua kusoma Body language leo mama alikuwa kati hali gani?

    Mtuekeze nyie mnaojua kusama lugha ya mwili. Huyu mama alikuwa katika hali gani?
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA na taasisi za kiislamu zampongeza Rais Samia kwa kushinda Uchaguzi, walaani vurugu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
Back
Top Bottom