Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.
Ndugu zangu habari.
Kwa wazoefu naombeni mtujuze ni ipi njia bora ya kununua viwanja katika mkoa wa Arusha kati ya zifuatazo.
1: Manispaa / ofisi za ardhi
2: Kwa mtu binafsi
3: madalali au makampuni yanayojihusisha na kuuza viwanja.
Asanteni
Natumai mmeamka salama Familia ya wanajf
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,naomba msaada wa kufahamu tofauti kati Certificate of registration for TIN na service levy(BRELA)
Mbona kesi hii inaendelea kupigwa tarehe tu kila siku bila kikomo?
Mbona Mahakama haitaki kuipeleka kesi hii panapohusika haswa, yaani Mahakama Kuu?
Kwanini Mahakama Kuu inakuwa na kigugumizi na kushindwa kutoa uamuzi mara moja hadi mtuhumiwa mwenyewe anaomba kesi iende mbele kwenye Mahakama...
Tanzania ina mazingira bora ya kuwa kituo kikuu cha huduma za kiafya kwa Afrika Mashariki na Kati. Kwa amani tuliyonayo, hospitali zinazoboreshwa kama Muhimbili, KCMC, Bugando, na fursa ya tiba asilia, nchi yetu inaweza kuvutia maelfu ya wagonjwa kutoka nchi jirani kama Burundi, DRC, Rwanda...
Inaonyesha Yanga msimu huu imeamua kuenzi michezo yote iliyopo katika nembo yao.
Baada ya pambano la ndondi la kukata na shoka kati ya Kibwana Shomari na Denis Nkane, sasa hivi klabu hiyo inaandaa mechi ya netball itakayowahusisha wachezaji wake. Inasemekana wachezaji wamegawanywa pande mbili...
June 24 mwaka wa 1717 kundi la freemason walifanya kikao sehemu iitwayo Gridion ambayo ilikuwa katikankiwanja cha mtakatifu paulo huko wingereza.. Kwenye kikao hicho moja ya ajenda kubwa ilikuwa ni kuunganisha kundi la freemason liwe moja, kwa maana kipindi hicho walikuwa wamegawanyika bila ya...
Nimeshindwa kuweka link ya bei za ndege hizi kutoka kiwandani. Bei ya kiwandani huko USA zinakotengenezwa ni USD 1.7 million. Tatizo letu ni kununua kwa middle men kwa njia ya kushindanisha middle men kwenye tender badala ya kununua direct kutoka kiwandani. Hivyo middle man anainunua kwa US...
“Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.”
Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
Mzozo wa mpaka kati ya Thailand na Cambodia umeingia siku ya tatu, huku pande zote mbili zikiendelea kurushiana risasi na silaha za moto. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito wa kwanchi hizo kujizuia kulipa mashumbulizi. Cambodia imeitaka Thailand “kusitisha mapigano mara moja”...
Salaam!
Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu?
Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba,
Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea...
Je kuna utofauti gani kati ya adui na mpinzani ?.
Adui- huyu yeye hawezi Ku-expose mipango yake katika kadamnasi
Mpinzani - huyu anakupinga waziwazi kwa kukuonesha kuwa hiki sio au Ana-ku outshine .
Kosa alilofanya JPM naona limejirudia tena .
Jpm ali offend the wrong enemy , Alimshambulia...
Kwa hali iliyop sasa Taifa linapitia kipindi kigumu sana kuna mgongano wa fikra na vitendo kati ya wanaotetea uovu waziwazi na wale wanaopinga uovu.
Katiba hazifanyi kazi, watu wanaumizwa, mbinu za kuendeleza uivu zinapangwa na kutekelezwa kilichobaki wananchi watoe maamuzi yao vinginevyo nchi...
Kwa wataalamu wa au waliotumia hizi TV 2 naomba ushauri kati ya haier na hisense TV gani nzuri na mara.
Nilikua na samsung imekufa sasa huku kwa samsung naona parefu sana. nimeshuka hapa kati kabla sijafika huko chini kwa wachina kina vitron na kina Alitop. Msaada wakuu.
Mojawapo ya sekta zilizochaguliwa kupewa kipaumbele na Dira2050 ya maendeleo katika kuleta mageuzi kiuchumi ifikapo 2050 ni sekta ya madini ambayo kwa kipindi cha miaka kumi (2014-2024) imekuwa ikikua kwa wastani wa 9% mpaka 10% ambapo jumla ya mchango wake katika pato la taifa kwa kipindi cha...
Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili,
Miongoni mwa vichocheo vinavyoweza kuharakisha...
Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa.
Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
Anonymous
Thread
hospitali
hospitali ya rufaa
katikatika
kuona
mara
mara kwa mara
mkoa
mkoa wa morogoro
morogoro
ndugu
rufaa
ugomvi
utaratibu
wagonjwa
wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.