karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasipoe, ushindi uko karibu

    Kwenye hii ishu ya katiba mpya na haki ya mikutano ya kisiasa iliyoko kwa mujibu wa katiba, kwa vyovyote vile Samia atakavyoamua kudeal na Chadema, Chadema bado wataibuka washindi. 1. Ni kwa faida ya legacy yake mwenyewe kutogeuka dictator Kama angekuwa mwanafunzi mzuri wa hayati Magufuli...
  2. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu huongeza t kwenye huduma za kifedha karibu kila mwaka. Je, serikali nayo itaongeza tozo kwa wanachi ili kuendana na kasi ya mitandao?

    Wakuu natumaini kuwa hamjambo! Napenda kuuliza hili swali langu dogo; Kwakuwa mitandao ya simu huongeza tozo mara kwa mara kulingana na sababu mbalimbali ikiwemo kuongezeka kwa gharama za uendeshaji. Je, serikali nayo itaongeza tozo kwa wananchi kama watakavyofanya mitandao ya simu au itabaki...
  3. JamiiForums Tanzania Watu wawili wa karibu Ikulu aliyekuwa rais Haiti kuhojiwa kuhusiana na njama za kumuua

    Wanajamvi habari za weekend Maafisa wa karibu ya ikulu Haiti Wako kizuizini wakihojiwa. Ni Jean Liguel Civil. Huyu alikuwa mkuu wa Rais Jovenel Moise security Coordinator. Anabinywa sasa hivi sehemu salama. Mwengine ni Dimitri Hérard, head of the General Security Unit of the National...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikutano iliyotangazwa kufanyika nchi nzima na Katibu Mkuu CCM siyo mikutano ya hadhara iliyozuiwa na Rais?

    Najiuliza Kama katibu mkuu CCM ametangaza kufanyika mikutano ya hadhara nchi nzima itakayo fanywa na wabunge, madiwani, wenyeviti wa CCM wilaya,kata,vijiji na mitaa,zuio la Rais lilikuwa linawahusu watu gani? Pia Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM naye anazunguka kiaina kukutana na wananchi na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Karibu tuvune magogo na mbao ya Mninga na Mkulungu

    Nina shamba ekari 50 lina miti ya Asili mingi ikiwemo mninga na mkulungu, yeyote aliyetayari aje inbox tuzungumze tushirikiane. Serikali imeanza kutoa vibali vya uvunaji. Karibun sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Nyangasa karibu Kigamboni anza na kupatikana Huduma ya Maji ya DAWASA na Tozo Daraja la Kigamboni

    MHESHIMIWA NYANGASA KARIBU KIGAMBONI ANZA NA UFUMBUZI WA KUPATIKANA HUDUMA YA MAJI NA PILI TENGENEZA MIKAKATI YA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA DARAJA LA KIGAMBONI KWA WANANCHI Nianze kwa kuipongeza mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, yaani Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kukuchagua wewe...
  7. JamiiForums Tanzania Car4Sale Karibu uagize kutoka Be forward!

    Wapendwa, Ni matumaini yangu kwamba sote tupo salama! Kwa wale wa mkoa wa Mbeya, na mikoa jirani. Nawakaribisha kuanzia Tarehe 25/06/2021 Ofisini kwetu EAPGS kuweza kuagiza gari mzipendazo kutoka BE FORWARD JAPAN! kampuni kongwe kwenye eneo la uuzaji na usafirishaji wa magari kutoka japan...
  8. JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani ambayo huwezi kuambiwa karibu tena?

    Nidesturi ya sehemu nyingi kuambiwa "KARIBU TENA" baada yakupatiwa huduma fulani lakini maneo haya kamwe huwezi kuambiwa karibu tena nakama utaambiwa hivyo basi utahisi unatakiwa NUKSI ama UCHURO baadhi yamaeneo hayo ni: (1):-MORTUARY (2):-KWAMUUZA MAJENEZA (3):-GEREZANI Ongeza na wewe sehemu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kujenga Kituo cha Mafuta karibu Shule imekaaje?

    Kuna Kituo cha Mafuta inajengwa karibu na Shule ya MOSHI fountain, iliyopo MOSHI BAR - MOMBASA -UKONGA Wilaya ya Ilala. Sheli ipo mbele nyuma kuna shule hii imekaaje kwa afya za hao watoto wanaosoma hapo. Pia, usalama wa hiyo shule. Mwenye uelewa na haya masuala sheli adadavue. Me naona kama...
  10. JamiiForums Tanzania Kama hujajenga na mshahara wako ni wa kuunga unga, usipite karibu na Tumaini ya Dar!

    Asikwambie mtu chuo kinapendezaa. Hawa 1st year walioshushwa hapa ni wa kiwango cha kimataifa. Nimeshazunguka kwenye major varsities kama UDSM, IFM, SUA, UDOM, Iringa University na SAUT kwa hiyo nazijua standards za vyuo vikuu. Yaani kama nyumba yako sijui ndio kwanza iko kwenye lenta au...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi tutawapoteza watu wetu wa karibu mpaka lini kisa Pesa.!?

    Hi guys, Kiukweli hili suala limenifika shingoni, kadri muda unavyozidi kwenda naona khali inazidi kuwa mbaya, na hii tabia inazidi kuota mizizi mno, yaani sahii ukitaka uwe na uadui na mtu wako yeyote yule wa karibu wala hata usitumie nguvu kubwa, wewe ihusishe tu PESA, Unazungumza na mtu...
  12. JamiiForums Tanzania Karibu Dar es Salaam, njoo uyashuhudie

    JIJI linaitwa Dar es Salaam. Rapa wa Kimasai, marehemu Abel loshilaa Motika ‘Mr Ebo’ anaita Saridalama. Wenye mikogo wanatamka Das’lam. Watu na vifupisho, kuokoa nguvu na muda wanaita Dar. Jiji linaitwa Bongo, kwamba ukiishi ndani yake lazima ubongo wako uchangamke. Sifa za jiji ni kubwa mno...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Hodi karibu

    Nimeona nijikaribishe tu maana naona nachelewa naamini mtanipa usirikiano maana sijui chochote humu sijui kutag ndio nn tajifunza taratibu humu jf kuna mambo mengi sana hongera jf na member wote.nikikosea kuandika msijari mradi uelewe tu maana mambo mengine tumeshaayaacha shuleni huko.
  14. JamiiForums Tanzania Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  15. JamiiForums Tanzania Wito kwa CAF na FIFA wafuatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe fundisho

    Wito kwa CAF na FIFA wafwatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe Fundisho, kama kweli ratiba ilibadilishwa kwa sababu za itifaki ya kitabu kuwa kuna huduma zingine hii halikubaliki, kwani kabla ya hayo masaa 24 ratiba hiyo ya kiserekal ilikuwa haitambuliki? Yani...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu karibu Nairobi, kweli umedhamiria kurekebisha

    Japo haya mataifa tumekua watani wa jadi, ila hatukuwahi kufikia kwenye kilele cha chuki ambacho tumeshuhudia miaka michache ya hivi majuzi, hongera sana mama, binafsi nitaacha shughuli zangu ili tu nikuone hata kama wapambe hawataruhusu tukukaribie sisi akina Yahaya wa mtaani...
  17. JamiiForums Tanzania Mei Mosi imepita na ile report ya CAG imezibiwa masikio na karibu itafungiwa na kufuli. Hii ni Jamhuri yetu ya Umofia

  18. K

    JamiiForums Tanzania Gharama za vifurushi jamani zinaumiza Sana Tunaomba watawala Karibu kuliona ili kwani sisi wanyonge ndo tuna teseka.

    Vifurushi vina faida nyingi kwa kwetu Wana nchi wa chini . Kwanza ndipo chanzo Cha mapato, kwani Kuna wajasiliamali wanaotegemea vifurushi vya internet kufanya biashara zao. Pili wanafunzi wanaotegemea vifurushi vya internet kujisomea
  19. JamiiForums Tanzania Waziri atoa rai kwa wanaoishi karibu na mbuga na hifadhi washauriwa wasilime maboga na matikiti kuepuka tembo

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema wananchi wanatakiwa kulima mazao ambayo hayatawavutia tembo na wanyama wengine kufanya uharibifu. Tembo huvutiwa na maboga na matikiti. Ili kuepuka changamoto ya wanyamapori kuvamia mashamba na vijiji, vilivyo karibu na hifadhi za...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia lazima awe Mwenyekiti CCM

    CCM HUWA IMARA ZAIDI INAPOTISHWA KIFO Na Philipo Mwakibinga. 0758910403. Ndugu zangu Wana wa CCM Kidumu Chama Cha Mapinduzi! Nawasalimu kwajina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba niendelee kusisitiza kuwa lazima tuendelee kusimama imara kama sote tunaamini Mungu na tunapokea kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…