kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali kuwajengea wamachinga jengo jipya Kariakoo

    Rais Samia amerudi leo kutoka Scotland na ameingia kazini moja kwa moja. Alipotoka kukagua ujenzi wa Daraja la Tanzanite (Lile la juu ya Bahari pale Salenda) alienda kuongea na wananchi wanaofanya biashara pale Coco Beach. Akiwa hapo ameeleza nia njema ya Serikali katika zoezi la kuwapanga...
  2. M

    Wamachinga kutumia majengo ya NHC Kariakoo

    Kufuatia wafanyabiashara wadogo kuandika barua TAMISEMI wakiomba kutumia majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa yaliyopo mitaa ya Tandamti na Msimbazi kwa ajili shughuli zao, Wizara ya Ardhi imeridhia ombi hilo lakini kwa kuwapa majengo matatu yaliyopo mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni karibu kabisa...
  3. J

    RC Makalla: Nitaongea na Wadau ili daladala zinazoishia Kariakoo ziwe zinaishia Machinga Complex kesho ni mwisho wa kuhama!

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema wamachinga waliogoma kuhama wataondolewa kwa lazima na vibanda vyao kuhamishwa. Kesho 30/10/2021 ndio siku ya mwisho kwa wamachinga wote kuhamia maeneo rasmi. Kadhalika Makalla amesema ataongea na wadau wa Usafiri ili daladala zote zinazoishia...
  4. Mapendekezo: Shule ya za Sekondari Benjamin, Msingi Uhuru na Kiwanda cha Bia zihamishwe Kariakoo waachiwe wamachinga hilo eneo

    Kuanzia roundabout ya Uhuru hizo shule zote napendekaza ziondolewe zitafutiwe eneo lingine lipishe wamachinga walioratibiwa. Kiwanda cha bia hakina sababu ya kukaa katikati ya jiji, kiamishwe kipishe wafanyabiashara. Maeneo hayo yajengwe majengo simple ya kisasa yenye vizimba vya kimkakati...
  5. Upatikanaji wa Fremu Kariakoo

    Naelewa Kariakoo ni sehemu yenye ushindani katika umiliki wa fremu na pia gharama kubwa ya kulipia rent. Nataka nijikite katika biashara ya underwear (chupi, boxer, sox..etc). Ningependa kujua ni njia gani ya kufanya kupata fremu k.koo. Changamoto zipi nitakutana nazo wakati wa process ya...
  6. Upanuzi wa Ubungo na TAZARA sasa Ilala na Mbagala wameondoka bila malalamiko, kwanini Kariakoo na Posta

    Wana JF, Kama kuna kitu kinakera ni kuangushiana jumba bovu. Katika upanuzi za barabara za mwendokasi na madaraka, tumeshuhudia wafanyabiashara wengi wakipisha ujenzi bila shuruti kwa kuwa wanajua ni suala la muda tu wataondoka. Watu hawa unatafuta sehemu ya kuamishia biashara zao bila...
  7. W

    Mabadiliko: Viongozi wa wamachinga kufanya Press Conference Ofisi za Wamachinga Kariakoo badala ya Serena Hotel

    PIA, SOMA: - Wamachinga kufanya Press Conference Serena Hotel 20/10/2021
  8. Ushauri kwa Jiji kuhusu Wamachinga Kariakoo

    Habari zenu ndugu na jamaa ukweli mchungu juu ya hawa ndugu zetu wamachinga.asubuh ya Leo katika mazingira ya ajabu wameanza Tena kujenga vibanda upya walivyo vunjiwa Jana. Hii inasikitisha na kuhuzunisha saana katika mazingira haya, hawa ndugu zetu wanataka kuilaumu serekali itakapo Anza...
  9. M

    Hivi mahindi ndio kipimo cha njaa au chakula kuwepo nchini?

    Mzuka wanajamvi! Serikali au wadau mbalimbali wakitoa data kuhusu upungufu ama chakula kuwepo wanatumia mahindi. Baa la njaa ikiikumba nchi mahindi yanatumiwa kama kipimo cha chakula pekee kuonesha kama kuna njaa au la. Tuna ona serikali kupitia wizara ya kilimo inanunua mahindi tu meengii...
  10. Viongozi wa machinga Dar wakumbana na vurugu wakiwapanga wenzao

    Viongozi wa Machinga Dar es Salaam walijitolea kuwapaga wamachinga wenzao wa Msimbazi, Kariakoo ili kutii amri ya Serikali ya kutofanya biashara maeneo yasiyo rasmi. Baadhi ya machinga wameonesha upinzani kiasi cha kuzua vurugu ambapo polisi walilazimika kuingilia kati ili kuwaokoa viongozi...
  11. Soko la Kariakoo: Moja ya Ngome za TANU 1955

    Ndugu yangu Kheri katufanyia hisani kubwa sana. Kaniletea picha hizi za Kariakoo Market na aliyepiga picha hizi kaweka na tarehe mwaka wa 1955. Huu ndiyo mwaka TANU ilimsafirisha Mwalimu Nyerere kwenda UNO kuidai Tanganyika. Angalia hizi picha za soko lenyewe kama jengo kisha inamisha macho...
  12. Vibanda vya wamachinga mtaa wa Msimbazi Kariakoo vyasambaratishwa

    Nimepita hapo muda si mrefu, naona Kariakoo inaanza kupendeza sasa, hongera na pongezi zote zimuuendee mkuu wa mkoa. ================================ Update: Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar
  13. P

    Usumbufu wa malori Kariakoo unazidi wa wamachinga

    Malori yanekuwa msaada mkubwa kwa usafirishaji wa bidhaa mbalimbali kutoka Dar kwenda sehemu mbali mbali za Tanzani na nje ya Tanzania. Tatizo ni jinsi yanavyohudumu hapo katikati ya mji yaani kariakoo, ni shida kiasi mitaa mingine huwa inafungwa tena kuanzia asubuhi hadi usikua kulia lori...
  14. Duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere Kariakoo na Magomeni

    DUKA LA MAFUTA YA TAA LA MAMA MARIA NYERERE KARIAKOO NA MAGOMENI 1955 Duka la kwanza la Mama Maria Nyerere lilikuwa Mtaa wa Livingstone na Mchikichi kisha Mama Maria akafunga duka hili la Kariakoo kwa ajili ya umbali baada ya kuhamia Magomeni Maduka Sita kwa msaada wa Ali Msham aliyekuwa...
  15. Z

    Tujenge Kariakoo nyingine maeneo muhimu

    Kwa sasa Soko la K/koo lililo jengwa zaidi ya Miaka 40 iliyo pita limeelemewa na kuzidiwa kutokana na ongezeko la idadi kubwa ya watu. Kila Mgeni anaye kuja Jijini anawaza kwenda kufanya biashara maeneo ya K. koo ndio maaana leo hii wamachinga wametapakaa hadi wameziba barabara na mifereji ya...
  16. TRA Kariakoo (Kipata/Lumunba) imekuwa kero kwa wenye magari madogo ya mizigo. Mamlaka imulike wafanyakazi wa pale waache hii tabia ya ovyo

    Habari wanaJF, Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata madereva wa magari madogo katika eneo la Kariakoo, wanapokodiwa na Wafanyabiashara wanaonunua mizigo, pindi mzigo unapokamatwa kwa madai mbalimbali ikiwemo kukosa risiti inayojitosheleza,maofisa hao wa...
  17. Umeshawahi kupotea Kariakoo? Juzi ilibaki nukta nipige mayowe

    Hii mada inawalenga sana wale wenye mishe misheza manunuzi kariakoo. Aisee kama huna uzoefu na ile mitaa, hasa ile ya nguo, nakushauri ukinunua mzigo wako ukiona huwezi tembea nayo bora utafute hoteli ulipie uwe unakusanyia mizigo yako hapo. Mimi sio mgeni wa k.koo hata kidogo, ila juzi ni...
  18. M

    Vurugu duka la Sandaland Kariakoo Kati ya Wamachinga na Mabaunsa. Mmachinga avua nguo

    Miaka 5 iliyopita mapato yalishuka au yaliongezeka? Si kuna supermarket sio lazima matajiri muende Kariakoo. Tunisia mmachinga alijichoma moto kwa uhuni kama huu
  19. RC Makalla: Machinga wote Dar walio katika hifadhi ya barabara, Wataondolewa na vibanda vyao kuanzia Septemba 13, 2021

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo ambazo zimejaa wamachinga, mama lishe, wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi...
  20. Kesi ya Mbowe ni nyepesi kuliko mtu aliyeiba simu Kariakoo

    Hayo si maneno yangu,ni maneno ya Wakili Msomi ingawa lipo katazo la Mh wa mjengoni kwamba tusitumie maneno wakili Msomi. Ikiwa kesi ya Mh Mbowe ni nyepesi kuliko ya kibaka aliyekwapua simu Kariakoo kwanini Serekali kupitia ofisi ya DPP isiiondoe kukwepa kuaibika siku za usoni ?. Nimemsikiliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…