Usumbufu wa malori Kariakoo unazidi wa wamachinga

pye Chang shen

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
11,038
5,259
Malori yanekuwa msaada mkubwa kwa usafirishaji wa bidhaa mbalimbali kutoka Dar kwenda sehemu mbali mbali za Tanzani na nje ya Tanzania.

Tatizo ni jinsi yanavyohudumu hapo katikati ya mji yaani kariakoo, ni shida kiasi mitaa mingine huwa inafungwa tena kuanzia asubuhi hadi usikua kulia lori kushoto lori hata watembea kwa miguu hupita kwa shida, mitaa maarufu kwa shughulu hiyo ni narun'gombe kati ya mtaa wa ndanda na muheza, na mtaa wa magila na masasi kati ya ndanda na muheza, hivi kweli hili nalo mamalaka halioni? Kwanini malori yasipangiwe maeneo maalumu?

Katikati ya barabara mizigo imejazwa kiasi kwamba sasa imekuwa kero, Naomba mamlaka zitembelee pale narun'gombe zione barabara inavyofungwa kiasi kama una mgonjwa anaweza fia njiani
 
Hayo yote ni matokeo ya mipango miji mibovu.
SIO UKWELI MHESHIMIWA.

Ni matokeo ya kukosekana utawala wa sheria. Mipango miji tool yao kubwa ni kortini, na majeshi yetu... Na mifumo mingine yote ya kusimamia utekelezaji wa sheria.

Mifumo ikiwa butu and full of double standards ujue Hata mgeletewa Ebenezer Howard & Clarence Perry... Bado kungekuwa mazagazaga tu kama ilivyo sasa
 
Back
Top Bottom