Ushauri kwa Jiji kuhusu Wamachinga Kariakoo

madindigwa

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
2,454
2,848
Habari zenu ndugu na jamaa ukweli mchungu juu ya hawa ndugu zetu wamachinga.asubuh ya Leo katika mazingira ya ajabu wameanza Tena kujenga vibanda upya walivyo vunjiwa Jana. Hii inasikitisha na kuhuzunisha saana katika mazingira haya, hawa ndugu zetu wanataka kuilaumu serekali itakapo Anza kutumia nguvu.

Ushauri itungwe Sheria ya Jiji kwa yoyotet atakaye onekana kufanya biashara sehemu isio sahihi apelekwe mahakama ya jiji ushaidi ni kukutwa sehemu isio sahihi kufanya biashara adhabu kifungo Cha miezi6 au faini isiyo pungua laki3.

Hapo wataogopa lakini vinginevyo changamoto ni kubwa Sana.
 
Ushauri itungwe Sheria ya jiji kwa yyt atae onekana kufanya biashara sehemu isio sahihi apelekwe mahakama ya jiji ushaidi ni kukutwa sehemu isio sahihi kufanya biashara adhabu kifungo Cha miezi6 au faini isiyo pungua laki3.

CCM ni Ileile
 
Sheria zipo Leo mkuu wa mkoa kaziongelea.
 
Wamachinga wapo sehemu nyingi duniani, na hii hali husababishwa na changamoto za ajira

Serikali wao wangalie tu jinsi ya kuwahalalisha hata kwa malipo ya kila mwezi
 
Sheria itungwe mara ngapi ?

Tatizo hili taifa tumezoea kutokufuata sheria
 
Wamachinga wapo sehemu nyingi duniani, na hii hali husababishwa na changamoto za ajira

Serikali wao wangalie tu jinsi ya kuwahalalisha hata kwa malipo ya kila mwezi

Kuhalalisha kwa kuwaweka sehemu maalumu, na kuhakikisha sehemu hizo zinawekewa mindo binu yote ya kuwezesha wateja kwenda kwa urahisi, mfano vituo vya mabasi yote, maji, umeme, bara bara safi na huduma za kibenki.
 
Yea nilifika goha wapo kila kona
Goa India si kwa masikini kule. Hivi mkuu unaweza kupanga kuhamia Goha ukatafute maisha? Wahindi ni choka tu wengi wao hawana kitu wengine tunasikia wanalala kwenye vibaraza vya nyumba, ndio mfano ulioamua utuletee hapa ?
Hebu tolea mfano nchi zolizostaarabika kama Dubai,Hongkong, Singapoore, Japan, South Korea,Netherland sio kutuambia Nigeria au Cambodia.
 
Habari zenu ndugu na jamaa ukweli mchungu juu ya hawa ndugu zetu wamachinga.asubuh ya Leo katika mazingira ya ajabu wameanza Tena kujenga vibanda upya walivyo vunjiwa Jana. Hii inasikitisha na kuhuzunisha saana katika mazingira haya, hawa ndugu zetu wanataka kuilaumu serekali itakapo Anza kutumia nguvu.

Ushauri itungwe Sheria ya Jiji kwa yoyotet atakaye onekana kufanya biashara sehemu isio sahihi apelekwe mahakama ya jiji ushaidi ni kukutwa sehemu isio sahihi kufanya biashara adhabu kifungo Cha miezi6 au faini isiyo pungua laki3.

Hapo wataogopa lakini vinginevyo changamoto ni kubwa Sana.
Ushauri itungwe Sheria ya Jiji kwa yoyotet atakaye onekana kufanya biashara sehemu isio sahihi apelekwe mahakama ya jiji ushaidi ni kukutwa sehemu isio sahihi kufanya biashara adhabu kifungo Cha miezi6 au faini isiyo pungua laki3.
 
Vietnam nimefika pia zipo sehem za hvy tuna huko hata pakukanyaga hakuna.
Goa India si kwa masikini kule. Hivi mkuu unaweza kupanga kuhamia Goha ukatafute maisha? Wahindi ni choka tu wengi wao hawana kitu wengine tunasikia wanalala kwenye vibaraza vya nyumba, ndio mfano ulioamua utuletee hapa ?
Hebu tolea mfano nchi zolizostaarabika kama Dubai,Hongkong, Singapoore, Japan, South Korea,Netherland sio kutuambia Nigeria au Cambodia.
 
Vietnam nimefika pia zipo sehem za hvy tuna huko hata pakukanyaga hakuna.
Unahalalisha kurudi nyumbani umelewa usiku wa manane kisa jirani zako nao wnafanya hivyo hivyo pengine kuilko hata wewe? Fanya lililo sahihi kwa mtazamo/mazingira yako.
 
Back
Top Bottom