kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya timu inayoshiriki Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho imeonekana kwenye Kariakoo Debry

    Kabla ya yote niseme tu mitego ya Nabi, Mr. Robertihno ndio akili kubwa ya kuitegua. ilifika muda Nabi anashindwa afanye nini na bado ndio Robertihno anasoma Ligi 😆😆😆. Tuachane na hilo, Yanga wajue Simba sio level zao, vitimu vibovu bovu wanavyovifunga huko shirikisho wanavimba kuwa wapo vizuri...
  2. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kesho ni derby ya Kariakoo, lakini TFF haijawatendea haki waislam

    Ni logic ndogo tu na ya kawaida, Simba wamechezeshwa mechi SAA 4 usiku kwa SAA Morocco siyo kwamba wamefanyiwa figisu ila ni kuheshimu tu mfungo wa Ramadhani. Je TFF hawajaliona hili? wachezaji na mashabiki waliofunga wanafuturu SAA ngapi? Mimi siyo mwislamu lakini najuwa adhana ikipigwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania 16 april 1983 Mkubwa wa Kariakoo alichezea 3

    April 16, 1983 katika Derby ya Kariakoo @yangasc1935 ilishinda mabao 3-1. Charles Boniface Mkwasa aliswazisha bao Mussa Kihwelo, Juma Mkambi na Omar Hussein wakaongeza mawili. Miaka 40 Derby inajirudia katika tarehe ileile. 😂😂 acheni uoga ndugu nawakumbush. Je tarehe 16 inaweza kujirudia tena...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mtindo mpya Kariakoo ni kubomoa maghorofa na kujenga Mapya

    Kariakoo inaanza kuwa na mwonekano mpya, kila mtaa ukipita unakuta ghorofa limeangushwa linanyanyuliwa lingine, safi sana. Ila mengine bado yapo imara lakini yanabomolewa na kujengwa mapya, wacha nitafute pesa.
  5. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Mgao umeanza upya? Leo tu umezimwa Kariakoo Mchikichini

    Kwanza ulizimwa saa tisa mpaka saa kumi na mbili jioni ukarudi, kisha ukazimwa saa moja mpaka saa hii ni saa tano na dakika mbili usiku hamna umeme kariakoo mchikichini. TANESCO
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wanapata hasara kwa kutokujua kiwango cha kubadilishia pesa cha dola kwenda Yuan au shilingi kwenda Yuan

    Mfanyabiashara unaweza kupata taarifa ya viwango vya kubadili fedha kupitia simu yako, una-google, kutembelea mabenki n.k lakini cha muhimu zingatia utofauti wa kiwango cha kubadilishia fedha hiyo, Wafanyabiashara wengi mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka anakuwa haelewi kwa sababu hajui...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kariakoo pafungwa kupata wa kumsikiliza Rais Samia

    Haya mambo ya kulazimishana kwenda mikutanoni tulishayasahau. Tukadhani nyomi ikikosekana unakubali matokeo ki Lipumba Lipumba. Kumbe Mambuzi haiko hivyo. Kikinuka wazee mzima wanakomaa! Yamewakuta Kariakoo pichani ni leo saa nane nane mchana. Chawa hawatoshi mkutanoni. Hapo sasa hata...
  8. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa maghorofa yanayojengwa Kariakoo siku hizi inaashiria nini?

    Mitaa mingi Kariakoo majengo mengi yanajengwa hii Ina ashiria nini? Naombeni majibu wale wazee wa kusoma alama za nyakati ndio naowataka.
  9. Perry

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

    Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia. Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara...
  10. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Kuondoa machinga halafu kuruhusu ujenzi holela wa vibanda vya biashara sio sawa

    Ni kweli Kariakoo ni sehemu ya biashara hilo halina ubishi, lakini ukweli mwingine pia ni makazi na matumizi ya wengi wapitao njia. Embu pita tu pale Kariakoo uone jinsi nyumba zinavyobadilishwa, vichochoro vyote sasa ni viduka, gorofa zinabadilishwa kutoka makazi kuwa maduka kimya kimya...
  11. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Kariakoo huu hapa: Serikali yapitisha gulio la Wachina Kurasini

    Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka. Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wakusanya Ushuru wa Maegesho Kariakoo na Posta wakamatwa na Halmashauri

    Baadhi ya Wafanyakazi wa kutoza ushuru wa maegesho ya magari Dar maeneo ya Posta na Kariakoo (zaidi ya 40) wamekamatwa na magari ya Halmashauri na kupelekwa Polisi kufuatia mkataba wa mzabuni kuisha. Wafanyakazi hao wamehoji, kama issue ni mkataba wa mzabuni kuisha kwanini wanakamatwa...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa soko la Kariakoo kuhamishiwa Ubungo?

    Kuna tetesi nimesikia kwamba Soko kuu la Kariakoo linataka kuhamishiwa Ubungo, kwamba watu badala ya kwenda hadi Kariakoo wataishia tu Ubungo. Je, hii imekaaje kaaje, nini mtizamo juu ya hili? Video chini ina maelezo ya ziada. ========================...
  14. vibertz

    JamiiForums Tanzania Hivi klabu za Kariakoo zinatuchukuliaje sisi mashabiki?

    Yaani wanatufanya mashabiki kama hayawani muda mwingine. Tabia zao za uongo na kukuza mambo na mbaya zaidi ni tabia ya kutagaza wachezaji usiku naichukia sana, sio jambo fair kwa mashabiki waliokuwa na haki ya kupata taarifa juu timu yake kuhusu usajili. Tabia hii ya kipuuzi walikuwa nayo...
  15. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Hii ni mara ya pili polisi wanashambuliwa mtaa wa Narung'ombe na Ndanda, Kariakoo

    Siungi mkono polisi kupigwa , wala polisi kuonea watu, lakini inafikirisha kidogo, haiwezekani eneo moja hilo hilo mpigwe na kuzomewa mara mbili na mshindwe kufanya kazi iliyowapeleka pale isipokuwa operation mfanyayo ni batili Wakiwa kwenye msako wa kukamata bodaboda wakorofi kila wakifika...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mashahidi 10 kupanda Kizimbani kesi ya kukata Nyaya za Umeme Kariakoo

    Mashahidi 10 na vielelezo nane vinatarajia kutolewa katika kesi ya kukata nyaya za umeme katika Soko Kuu la Kariakoo lililopo jijini Dar es Salaam na kusababisha hasara ya Sh316 milioni, inayowakabili wafanyabiashara watatu wakazi wa Mbagala na Tandika. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Erick...
  17. Execute

    JamiiForums Tanzania Niliishi miaka kadhaa Dar kwa kukopesha watu pale Kariakoo kwa rejesho la asilimia kumi kwa siku

    Wanasema mjini akili. Miaka kadhaa nilikuwa napambana kukuza mtaji kwa kukopesha watu kuanzia elfu ishirini mpaka elfu hamsini kwa marejesho ya kila siku. Pale Kariakoo kuna watu hawana mtaji ila wanafahamu chimbo la bidhaa na wapi atauza. Walikuwa wanakuja na kuchukua hela halafu anarudisha na...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Machinga Kariakoo walalamika kutoshirikishwa katika mchakato wa kupata EFD

    Mkuu wa Machinga eneo la Kariakoo, Steven Lusinde amesema zoezi la kuwapatia mashine za EFD wamachinga walioko maeneo ya Kariakoo linatekelezwa bila kuwashirikisha bali wamepewa taarifa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kuwa wanatakiwa kupewa mashine hizo za kikodi. "Niseme ukweli kwamba jambo hili...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TRA kukusanya Kodi kwa Machinga wote Kariakoo

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuwasajili wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’ waliopo katika Soko Kuu la Biashara Kariakoo Akizungumza na wanahabari leo Jumatatu Desemba 12, 2022 Meneja wa Mkoa wa Kikodi, Alex Katundu amesema tayari machinga 5273 wameshasajiliwa ili kuingizwa kwenye...
  20. Eliad Theobard

    JamiiForums Tanzania Sajili Muhimu kwa vilabu vya Kariakoo

    Vilabu hivi viwili SIMBA pamoja na YANGA vina mapungufu katika vikosi vyao ukianza na mabingwa watetezi YANGA wamekuwa na tatizo kwenye safu yao ya ulinzi pamoja na kiungo wa kati nafasi ambazo humlazimu Yanick Bangala kucheza nafasi zote mbili kadiri ya mahitaji ya meji hivyo yanga inahitaji...
Back
Top Bottom