kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupotea Kariakoo? Juzi ilibaki nukta nipige mayowe

    Hii mada inawalenga sana wale wenye mishe misheza manunuzi kariakoo. Aisee kama huna uzoefu na ile mitaa, hasa ile ya nguo, nakushauri ukinunua mzigo wako ukiona huwezi tembea nayo bora utafute hoteli ulipie uwe unakusanyia mizigo yako hapo. Mimi sio mgeni wa k.koo hata kidogo, ila juzi ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu duka la Sandaland Kariakoo Kati ya Wamachinga na Mabaunsa. Mmachinga avua nguo

    Miaka 5 iliyopita mapato yalishuka au yaliongezeka? Si kuna supermarket sio lazima matajiri muende Kariakoo. Tunisia mmachinga alijichoma moto kwa uhuni kama huu
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania RC Makalla: Machinga wote Dar walio katika hifadhi ya barabara, Wataondolewa na vibanda vyao kuanzia Septemba 13, 2021

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo ambazo zimejaa wamachinga, mama lishe, wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi...
  4. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe ni nyepesi kuliko mtu aliyeiba simu Kariakoo

    Hayo si maneno yangu,ni maneno ya Wakili Msomi ingawa lipo katazo la Mh wa mjengoni kwamba tusitumie maneno wakili Msomi. Ikiwa kesi ya Mh Mbowe ni nyepesi kuliko ya kibaka aliyekwapua simu Kariakoo kwanini Serekali kupitia ofisi ya DPP isiiondoe kukwepa kuaibika siku za usoni ?. Nimemsikiliza...
  5. Planeti

    JamiiForums Tanzania Kituo kinachofuata ni Kariakoo

    Bda ya kuzunguka viwandani bila mafanikio kutafuta ajira, hatimae Kesho nitaerekea Kariakoo kutafuta kazi ya kuweza kuniingizia chochote kitu.. Maisha ni kutafuta. Kesho yangu INAKUJA Ndugu Jamaa na marafiki wa JF mnaopatikana maeneo ya K'KOO naombeni mnipokeeeeee. Eehh Mungu unisaidie...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini daladala hazifiki Kituo cha BRT na Daladala Gerezani?

    Habari zenu Ndugu, Naomba ufafanuzi kidogo maana kuna jambo linasababisha kero na foleni kubwa ndani ya Kariakoo. Hivi haya madaladala yenye route kama Masaki---Gerezani kwanini yanaishia kariakoo na hayafiki kabisa gerezani? Je, kuna mpango wa kuyahamishia kituo cha Gerezani? Kituo hicho...
  7. F

    JamiiForums Tanzania FURSA: Biashara ya playstations/games Kariakoo

    Hello fellas. Kuna fursa ya biashara ya playstations/games Watu wengi wamekuwa wakiuziwa games kwa bei ghali sana pia wakiuziwa mashine ambazo sio imara. Kuna mahali Kariakoo wanauza games kwa bei nzuri na mashine zao imara. Ninachopenda toka kwao wanauza games original na wanazo mashine...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya kamati ya Moto soko la Kariakoo imeshamalizika na kukabidhiwa?

    Tangu janga la moto, waziri mkuu aliunda kamati ya uchunguzi akaipa wiki moja, then ikaongezewa wiki ya pili! Hivi sasa mwezi umepita bado kimya, Je tuendelee kusubiri report au LAH?
  9. STATE AFFAIRS

    JamiiForums Tanzania Kariakoo, Dar: Moto Moto waunguza sehemu ya hoteli ya Rungwe Palace

    Imeripotiwa, ajali nyingine ya moto imeteketeza hoteli huko Kariakoo. Hadi muda huu moto unaendelea na jitihada za kuudhibiti pia zinaendelea. ========= Moto Umeibuka katika Hotel ya Rungwe Palace iliyopo Mtaa wa Livingston na Mahiwa Jirani na Msikiti wa mtoro Jijini dsm na kuzua Taharuki...
  10. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Kariakoo: Rungwe Palace yaungua Moto, wadhibitiwa mapema

    Rugwe Hotel inaungua saivi
  11. BAK

    JamiiForums Tanzania Siku saba za uchunguzi wa moto sokoni Kariakoo zinaanza kuhesabiwa lini?

  12. J

    JamiiForums Tanzania RC Makala: Rais Samia ametoa Tsh 100 milioni kuboresha soko la Machinga Complex, kutazungushwa bati na meza za kisasa

    Rais Samia ametoa tsh milioni 100 ili kuboresha soko la Machinga comllex na kuwezesha wamacbinga wote wa kariakoo kuhamia hapo Karume RC Makalla amesema maboresho yanaanza mara moja ikiwa ni pamoja na kuzungushia uzio wa mabati na kuweka meza za kisasa za kupanga biashara Chanzo: ITV habari
  13. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Hakuna kulipa ushuru kwa miezi miwili, hicho ndio kifuta machozi kwa wahanga wa soko la Kariakoo

    "Nitoe wito kwa wale wanaowapokea kwenye masoko, kwamba utaratibu ni ule ule wale ambao wametoka Kariakoo, wakiratibiwa wakifika maeneo hayo hakuna kulipa ushuru kwa miezi miwili, na hicho ndio kifuta machozi kwa wale walioathirika" - RC Dar es Salaam, Amos Makalla
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ninasikia fire extinguishers zimekwisha Kariakoo

  15. T

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuku mpya tatu kwa moja inapatikana wapi kwa Mbagala, Kariakoo na Buguruni

    Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa...
  16. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha leo, Harakati za kuzima moto Kariakoo

  17. Isaya mwakyoma8

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, elimu yangu ni Form Four

    Natafuta kazi yoyote elimu yangu ni Form Four, napatikana Dar es Salaam, Kariakoo. Popote naweza kufanya uaminifu ni kipaumbele namba moja kwangu.
  18. Rubawa

    JamiiForums Tanzania Ijue historia ya soko kuu la Kariakoo

    Neno ‘KARIAKOO‘, asili yake ni neno la Kiingereza la ‘Carrier Corps’, likiwa na maana ya kwamba mahala hapo ndipo inapomalizikia misafara iliyokuwa ikiwasili kutokea nje ya hapa mjini, wakati huo wa utawala wa Wajerumani na Waiingereza. Misafara hiyo ilihusisha askari pamoja na wapagazi...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ngumi hupiganwa mara 5 kwa siku Kariakoo

  20. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Masoko na Stendi zote zinazomilikiwa na TAMISEMI kujengewa Visima vya Maji ili kukabiliana na moto

    Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza. Chanzo: Radio One
Back
Top Bottom