kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mo anunua nyumba kuukuu Kariakoo kwa bilioni 20, aikarabati na kupangisha kwa mabilioni hii ndio biashara

    Tukubali tu Mo anajua biashara na ndio maana ni tajiri, wewe huna hata genge wala tuta la mchicha hapo kwako unataka kubishana nae jitafakari. Wakati Simba inawekwa sokoni ilikuwa ni timu kubwa kwa Tanzania ila sio Africa, timu iliwategemea akina Ndemla, Kichuya, Galas, Singano eti muifunge Al...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogondogo Kariakoo

    Habari za kushinda wana JF Nilikua naomba kuuliza wale wanaofanya biashara Kariakoo kama vile viatu, nguo, vitengee na urembo katika soko la Kariakoo. Wanapataje patajee mali je ni Cash au Mali kauli. Anaefahamu Nisaidieeen🙏🙏
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Melabon muuza embe za pilipili Kariakoo 1960s

    MELABON MUUZA EMBE NA VITU VINGINE KIKAPUNI KWA WATOTO DAR ES SALAAM YA 1960 Alikuwa akiitwa Melabon na hadi leo sasa mimi ni mtu mzima sijaweza kulifahamu jina lake khasa. Melabon ilikuwa dawa ya kichwa mfano wa Aspro na ikitangazwa radioni. Vipi alikuwa na jina hili sijaweza kujua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bila Simba SC wafuatao wangekuwa wanauza matikiti kariakoo

    1.Haji Manara, huyu alikuja simba amepauka kama katoka ukraine vitani, aliokotwa mitaa ya Lumumba akiwa dalali wa magari na kesi za utapeli Hans Pope akazizima 2. Senzo Mazingiza, huyu alikuja Bongo na suti moja mashavu yamesinyaa leo shavu dodo. 3.Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Azizi Ki...
  5. Honst

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wafanyakazi 2 wa kuuza duka la nguo Kariakoo

    Nahitaji wafanyakazi 2 wa kuuza duka la nguo Kariakoo, jinsia yoyote. Umri kuanzia miaka 18<>30 Elimu form four na kuendelea. Awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu. Awe na kitambulisho cha taifa . Kwa anayekidhi vigezo nitafute inbox. Asanteni sana.
  6. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Kutoka Stendi ya Magufuli mpaka Kariakoo nauli ni kiasi gani?

    Mim ni mgeni wa jiji la Dar es salaam, nataka nijue nauli ya kutoka Stendi ya Magufuli mpaka Kariakoo ni kiasi gani? Mnaojua nifahamisheni maana saizi nipo njiani.
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nataka Jeans Kali niende Kariakoo au Maduka ya Sinza?

    Wakuu. Nataka jeans kali kama 5 hivi. Budget ya 20,000 mwisho. Najiuliza, niende Kariakoo au nikaoambane maduka ya Vunjabei na Boss Kalewa?
  8. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Wapendwa week end inaendaje? Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani... [emoji117][emoji117][emoji117] SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA Ngoja nikupe...
  9. Meerkat

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata IC CHIPS Drive kariakoo

    wana jukwa za asubuhi poleni na kazi naomba msaada wa kufahamu duka wanalouza vifa vya ecltronic ic chip kariakoo Natafuta IC CHIPS hizi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huyu dogo anafanana na wale waarabu wa Kariakoo

  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Baada ya kuwashughulikia machinga sasa ni zamu ya wauza simu feki wa Kariakoo na Makumbusho

    Serikali baada ya kuwashughulikia machinga naomba tuwashughulikie wauza simu feki wa Kariakoo, Makumbusho na maeneo mengine. Saivi kuna sumsung, iphones na nyingine nyingi, zote hizo ni feki. Serikali iangazie jicho pale Makumbusho, Kariakoo na maeneo mengine mwaga vijana wa TCRA na TBS...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kuna stendi ya karibu ya mabasi ya kwenda Mbeya ili kumtumia mtu mzigo?

    Habari zenu wakuu, Nilikuwa naulizia kama kuna kituo au stend ya basi linalokuja Mbeya hapo kariakoo ili iwe rahisi kutuma bidhaa kwenda Mbeya. Mizigo ni kava za simu
  13. M

    JamiiForums Tanzania S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

    Mbunge wa zamani wa Rungwe, Sauli Henry Amon amepoteza jengo la ghorofa nane lililoko Kariakoo jijini hapa, baada ya Mahakama ya Rufani kueleza kuwa nyumba hiyo ilijengwa kwenye kiwanja kilichouzwa kwa mnada isivyo halali. Uamuzi huo umeirejeshea furaha na kuipa utajiri wa ghafla familia ya...
  14. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kigeugeu Cha timu za Kariakoo na mashabiki zao

    Habari za muda huu. Msimu wa 2019/2020 ,Simba walimsajili Onyango na Yanga wakamsajili Mwamnyeto. Mashabiki wa Simba walidai kuwa Mwamnyeto alikuwa dhaifu na alifichiwa madhaifu na AME , viongozi wakapambana haraka Ame akasajiliwa ili kupigia mstari hoja zao. Yanga wakadai Onyango ni mzee...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yatenga Tsh. Bilioni 10 ujenzi jengo la Kariakoo

    Serikali imetenga Tsh. bilioni 10 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa soko jipya la Kariakoo na kukarabati soko kuu lililoungua moto Julai 2021 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashugwa amesema hayo wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na...
  16. United ya Ferguson

    JamiiForums Tanzania Kariakoo na biashara zake

    1. Biashara ya jezi mfano jezi za Simba, Manchester, Arsenal, Livepoor, Yanga, Mtibwa. N.k 2. Biashara ya simu na vifaa vyake mfano simu za android na iphone 3. Biashara ya vifaa vya electronic mfano sabufa, TV, fridge, rice cooker n.k 4. Biashara ya magauni ya wanawake. Mfano magauni ya...
  17. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Kariakoo, Dar: Wafanyabiashara wadogo wanatozwa kati ya elfu 50 hadi laki 3 kama adhabu

    Baadhi ya viongozi wa Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kariakoo, Dar es Salaam, kwa kushirikiana na askari wa Jiji wanadaiwa kuwatesa na kuwanyanyasa Wafanyabiashara wadogo, na kuwatoza Wafanyabiashara hao faini kubwa kati ya Tshs 50,000/= hadi 300,000/= kama adhabu ya "makosa" mbalimbali...
  18. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hivi wale vijana watano wa Kariakoo walipatikana?

    Nilikuwa sina internet kwa muda mrefu, naomba kujuzwa kuhusu hawa vijana waliopotea mwanzo wa mwaka huu kama walipatikana? Pia, soma; https://www.jamiiforums.com/threads/dar-vijana-watano-wamepotea-katika-mazingira-ya-kutatanisha.1950163/
  19. Kiturilo

    JamiiForums Tanzania Kariakoo haina umeme leo Machi 10, 2022

    Nimefika hapa Dubai ya Tanzania yani Kariakoo leo ni miungurumo ya jenerata kila sehemu Sababu ni vita ya Russia na Ukraine?
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Soya bean ya Kariakoo inatoka wapi?

    Wakuu hivi hii soya bean inayo uzwa madukani/ masokoni kariakoo Na kwingineko jijini Dsm inalimwa wapi? Concern yangu ni nataka kujua kama ni original au inalimwa hapa hapa Tanzania maana nimesoma Mahali kwamba Soya ni Moja Kati ya bidhaa za kilimo ambazo zinazalishwa katika mfumo Gmo Kwa...
Back
Top Bottom