kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa mtu yoyote anaetegemea kuanza biashara kwa kufunga mzigo Kariakoo

    Hellow members, kama wewe unategemea kuanza biashara na unatarajia kufunga mzigo wa biashara Kariakoo basi hii ni ya kwako. Ipo hivi hapa nina vitabu viwili nimekuandalia vitakavyokupa muongozo wa kupata machimbo ya bidhaa kwa bei ya jumla nzuri sana ndani ya soko la kariakoo. Vitabu hivi...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aagiza wanaodaiwa kuhusika na tukio la moto Mnadani Kariakoo wafikishwe Mahakamani

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila kuwachukulia hatua za kisheria wale wote wanaodaiwa kuhusika na uchomaji wa moto kwenye baadhi ya majengo yaliyopo Kariakoo. Agizo hilo...
  3. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kariakoo, Upanga na Posta wana nchi yao nyingine kabisa

    Baadhi ya maeneo ya Kariakoo, Upanga na Posta hawa watu ni wana nchi yao ndani ya nchi Mtu anazaliwa Posta hajawahi kufika hata Magomeni Hudumza zote wanapata huko huko Posta mpaka kuna vyuo vikuu vya nje vyenye matawi Starehe zao ni huko huko Hosptali zao ni classic zipo Maduka yao Posta mengi...
  4. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Weka hapa tukio lililokushangaza kwenye derby ya Kariakoo

    Tabuleeeeeeee Binafsi tukio la ajabu nililolishuhudia ni MIKIMBIO YA MGENI RASMI pamoja na maajabu ya OBJECTIVE FOOTBALL Twende kazi.
  5. maroon7

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza angalia Derby ya Kariakoo hapa Nairobi?

    Wakulu wa nchito, Naomba anaejua wapi kwa hapa Nairobi naweza angalia Derby ya Simba na Yanga anifahamishe hasa pande hizi za Westland maana wiki ya Derby imenikuta huku bila kutarajia. Natanguliza shukrani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wana IT: Wateja wanahitaji Kariakoo ya mtandaoni inayofanana na Alibaba.Com, kama una uwezo chukua hatua bila kusita

    Hellow members,nimekuja kushare nanyi fursa hii niliyogundua kuwa inahitajika kwenye soko la kuuza na kununua bidhaa hasa kariakoo. Nimekuwa nasafirisha bidhaa za watu mbali mbali kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani kwa mda sasa. Katika hizi harakati mara nyingi nimekuwa...
  7. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kariakoo derby ya U20 ya yayeyuka kutokana na Yanga kutosajili

    Ilikua zikutane leo Simba U20 na Yanga U20 Ila Simba wamegoma kuingia uwanjani kutokana na Yanga kutumia wachezaji ambao hawakusajiliwa. Nisikuchoshe kiufupi Yanga hawana mchezaji waliemsajili kutumikia u20 kwa msimu huu.
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Kamati imebaini kuwa moto wa Kariakoo ulisababishwa na hujuma, sio ajali

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uchunguzi wa kamati aliyoiunda umebaini moto uliotokea eneo la Mnadani, Kariakoo jijini Dar es Salaam sio ajali bali ni hujuma ndani ya wafanyabiashara wenyewe. Baadhi ya kamera za CCTV zimebainisha haya ambapo wafanyabiashara wa awali...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Taarifa za ndani kabisa nilizopenyezewa zinasema huenda Feitoto akacheza Kariakoo isiyo na Mafuriko SC siku si nyingi

    Timu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita (Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao. Hata hivyo Kinacholeta Utata na Sintofahamu kwa sasa ni kinachodaiwa Kipengele kilichowekwa na Kariakoo ya Mbu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

    Habari wana Jamiiforums? Naomba kujuzwa range ya mshahara wanaolipwa vijana wanaouza kwenye maduka ya nguo kariakoo. Na baadhi ya Vipengele muhitimu kwenye makubaliano baina ya boss na mfanyakazi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy, Kitengo cha Magonjwa ya Akili Hospitali ya Taifa Muhimbili dawa zinauzwa bei ghali kulinganisha na maeneo mengine

    Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga. Kitengo cha magonjwa ya akili wanauzia wagonjwa dawa kwa Bei ya juu sana Nina mgonjwa wangu huwa nampeleka kuchua dawa hapo, mwezi uliopita nilinunua dawa kwa shilingi 11,000 juzi nilienda mhimbili naambiwa dawa 54,000, na ni dawa hizo yaani carbamazipine...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Moto Kariakoo uchunguzwe kuazia Bank of Afrika (BOA) iliyoungua

    Uwezekano ni mkubwa moto huu uliungua kutoka Bank iliyoungua kama sehemu ya wizi ndani ya bank.
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Moto Kariakoo 01 Okt 2023: Tuwape maua yao vijana mateja wa jangwani. Wamejitoa mhanga kufanya uokozi

    Nawapa pole nyingi sana kwa Watanzania wote walioathirika na moto mkubwa uliozuka Kariakoo alfajiri tarehe ya leo. Bado Tanzania ina tatizo kubwa kwenye sekta ya uokozi wa majanga. Ketengo hiki kipo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu na huwa kinatengewa bajeti kupitia Bunge letu. Tanzania chini ya...
  14. 101 East

    JamiiForums Tanzania Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

    Habari za awali: Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana, unaunguza maduka ya wafanyabiashara Kariakoo karibu na kituo cha mafuta cha Bigbon Msimbazi, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea jitihada kudhibiti moto huo, huku wafanyabiashara wakiendelea kuokoa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua inakouzwa mizani midogo ya digital (Bathroom scales) Sehemu za Kariakoo

    Wakuu naomba msaada wenu. Natafuta mzani mdogo wa battery wa kupima uzito kwa ajili ya mgogwa kwa jina la kibiashara inaitwa bathroom scale. Tafadhali nisaidie kunijulisha ni maduka yapo ya nauza hizo bidhaa hapa Kariakoo au hapa Dar es Salaam.
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuna maeneo nchini hayatakiwi kukatiwa umeme sababu ya umuhimu wao kiuchumi. Kariakoo siyo moja wapo

    Pamoja na mgao wa umeme, kuna sehemu hazitakiwi kukatiwa kabisa. Nimemsikia GUSSIE anasema wasikate umeme Kariakoo. Ukweli ni kuwa Kariakoo ni moja ya maeneo yanayotakiwa kukatiwa kabisa umeme iwapo kuna mgao. Kariakoo ni eneo ambalo dola za nchi hii zinaoenda kupotea. Ndiko hazina ya nchi hii...
  17. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya Kariakoo Mkononi Mwako

    Habari WanaJF, Natumaini tumeanza siku vizuri. Hata kama kuna mambo hayaendi, shukuru hata kwa uhai. Mungu yupo atakupambania... Bila kupoteza muda, ningependa kuwashirikisha wazo, na naomba feedback. Kama mfanyabiashara, siku zote unatafuta pa kununua vitu kwa bei ndogo ili uweze kuuza kwa...
  18. crome20

    JamiiForums Tanzania Bajaji za Ferry-Kariakoo zifutwe

    Kama ni kukosa ubunifu basi ni kuendelea kuwa na bajaji za Ferry- K/Koo. Kwanza tuna usafiri wa uhakika wa Mabasi yaendayo kasi DART yanayofika sehemu zote za K/Koo. Kuna haja gani ya kuwa na utitiri wa bajaji zinazoongeza msongamano, vurugu, kelele katika barabara ya Samora na Uhuru? Hizo...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

    Huu uzi ilikuwa niuandike muda mrefu kwa mambo niliyojionea kwenye mji wa Tunduma. Kwa ambao hajawahi fika Tunduma wanaweza kudhani ni ka-mji kadogo ambacho kipokipo tu. Kwa sisi wa Arusha tulikuwa tunaamini Namanga ndo mji mkubwa zaidi wa mpakani kwa Tanzania kumbe kuna Tunduma...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Inawezakana vipi dollar iadimike halafu bidhaa zimefurika Kariakoo kiasi hiki na hata wanunuzi ni wengi pia?

    Kama dollar zimeadimika nilitegemea pawe na shortage ya bidhaa Kariakoo, lakini ni kinyume chake, Kariakoo bidhaa zinamwagika kipindi hiki kama mvua, na wanunuzi wanazichangamkia kama nzige, Maana yakenpesa ipo, na cha ajabu kabisa, bidhaa nyingi zinazidi kushuka bei! Sasa iweje pawe na...
Back
Top Bottom