Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,255
22,322
Huu uzi ilikuwa niuandike muda mrefu kwa mambo niliyojionea kwenye mji wa Tunduma. Kwa ambao hajawahi fika Tunduma wanaweza kudhani ni ka-mji kadogo ambacho kipokipo tu. Kwa sisi wa Arusha tulikuwa tunaamini Namanga ndo mji mkubwa zaidi wa mpakani kwa Tanzania kumbe kuna Tunduma.

Kinachonifanya niandike ni biashara kubwa iliyoko Tunduma. Ule mji wa mpakani kwa mjasiriamali mdogo ni sehemu sahihi ya kwenda kusoma ramani. Uchangamfu wake unaendana sana na Kkoo tofauti ikiwa ni ukubwa tu. Ila wafanyabiashara wa nguo Tunduma wanawezaje kuuza nguo za jumla kwa bei sawa na ya Kariakoo? Baadhi ya wafanyabiashara huuza bei chini hata kuliko Kariakoo. Kimahesabu imekaaje hii? Hata vitu vingine jamaa wako fair.

Kimsingi Tunduma ni boda kubwa zaido bongo yenye fursa nyingi sana.
 
Itakuwa wanatumia mbinu ya vitenge mkuu, rejea kikao cha waziri mkuu na wafanya biashara wa kkoo kipindi cha mgomo
 
Huu uzi ilikuwa niuandike muda mrefu kwa mambo niliyojionea kwenye mji wa Tunduma. Kwa ambao hajawahi fika Tunduma wanaweza kudhani ni ka-mji kadogo ambacho kipokipo tu. Kwa sisi wa Arusha tulikuwa tunaamini Namanga ndo mji mkubwa zaidi wa mpakani kwa Tanzania kumbe kuna Tunduma.

Kinachonifanya niandike ni biashara kubwa iliyoko Tunduma. Ule mji wa mpakani kwa mjasiriamali mdogo ni sehemu sahihi ya kwenda kusoma ramani. Uchangamfu wake unaendana sana na Kkoo tofauti ikiwa ni ukubwa tu. Ila wafanyabiashara wa nguo Tunduma wanawezaje kuuza nguo za jumla kwa bei sawa na ya Kariakoo? Baadhi ya wafanyabiashara huuza bei chini hata kuliko Kariakoo. Kimahesabu imekaaje hii? Hata vitu vingine jamaa wako fair.

Kimsingi Tunduma ni boda kubwa zaido bongo yenye fursa nyingi sana.
Hata Bei za kukodi frame Tunduma, maeneo ya Kisimani hapo wanapobadilisha Fedha mikonini, Kodi inanzia laki Hadi laki Tisa nalazima ulipie Kilemba, watu wanatoa Hadi 20Millioni kuwachiwa hizo frame za nguo or electronics.
 
Dah! Tunduma sio poa. Pale kuna wababe wana noti ndefu sana.
Zile deal za Black market upande wapili nyuma ya frame za Viatu ule upande unazalisha sana Madoni Kila mwezi kwenye deal za:-
Vipodozi.
Vitenge.
Mafuta ya Kula.
Sukari.
Sigara .
Mbegu za Mahindi / Zamsed.
Mafazeti used kutoka Zimbabwe, South Africa.
USD ;- zinatoka Congo na unazipata upande wapili, Pombe za Viroba, na Pombe za vichupa vidogo wanauza Bei ya Tshs 1000/= na Viroba vinaanzia 250-500 maeneo ya Black na Iboya.
Kuna matajiri wanspiga Hela kwenye Biashara ya kubadilisha Fedha, yeye ana Supply fedha Kwa Vijana jioni anarudishiwa na Faida , Hao wanaitwa wenye Visima , mtu ana Supply hata billioni Moja Kwa Vijana wake 30 wanaokwenda kutafuta Dolla Hadi Congo.
Kuna Wababe kwenye Biashara ya Mafuta ya Petroleum kupeleka upande wa Zambia Kuna Yule Msomali wa Petroafrica mwenye upara aliwakamata sana wa Zambia.
Kuna Yule Tajiri wa Valentine Bar ya Pale Boarder na Valentine night club Jamaa anajimbiza sana kaanzia kwenye Bar Hadi kushika soko la Viatu Hadi Kumiliki Kusoma pale Kisimani.
Yupo Dubai Tyre Jamaa anakimbiza sana kwenye biashara ya Tyre Sasa amehamia kwenye Mafuta Bei zake za Tyre ni kama Dar es salaam. Yupo yule Manyanya ameshika biashara za maduka balaa pale Boarder piya yeye ndie amehamia kwenye vituo vya Mafuta, Wapo Hawa Jamaa wa Olympic petroleum anauza Mafuta Kwa wholesale Kwa Bei ya Depot'.
Mjii wa Tunduma una Bank zaidi ya Sita, Petrol Station zaidi ya Hamsini, lodge na Bar zimetapaka Kila baada ya nyumba mbili or tatu,
 
Umefafanua vyema sana
 
Tunduma ni noma kunavitu vinauzwa beindogo kuliko hata kariakoo.mfano vifaavyote vya elictronics.

Umefafanua vyema sana
Changamoto kubwa ya Mji wa Tunduma ni kukosa u uni kwenye eneo la Mipango miji, huu Mji uliathiriwa sana Siasa kwenye Issue za Mipango Miji Angalia Town Planer wamepeleka Huduma zote muhimu upande Moja wa Mji :- Wamepeleka Hospital ya Rufaa eneo la Mpemba, Wamepeleka parking ya Malori yanayosuburi kuvuka boarder Mpemba, Stand Ipo Mpemba, Uwanja wa Mpira upo Mpemba, Ofisi za Halimashauri na mkuu wa Wilaya zipi Mpemba.

Na eneo Hilo la Mpemba Lina changamoto ya Foleni ya Malori makubwa , piya barabara ya Mpemba inamteremko hatari sana Kwa kupisha malori, magari madogo na Bajaji. Baadhi ya Huduma wangepeleka upande wa Sumbawanga Road kuanzia Njia panda ya Msongwa, Chipaka na Mizani ikangamo.. Leo Hii watu wanaoishi upande wa Msongwa Chipaka , Nyerere wanapatavShida sana kwenda Standi mpya Mpemba
 
Back
Top Bottom