kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hiii ni Kariakoo Gerezani ndani ya Jiji la Dar es Salaam, ni aibu kwa kweli

    Nimerekodi video hii jana asubuhi Machi 20, 2024 nilipokuwa napita mitaa ya Kariakoo, hapa ni jirani na kilipo Kituo cha Mwendokasi pale Gerezani, kama unavyoona mwenyewe hali ya barabara si nzuri. Magari na watu wote kwa pamoja wanapata changamoto ya kupita, mvua ikinyesha hali ndio inakuwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa atinga Kariakoo, asema jengo lililouzwa lina Waqfu uliosajiliwa wizarani. Amshauri mnunuzi akamalizane na aliyempa hela

    WAZIRI JERRY SILAA ATOA SOMO, KAZI YA MSIMAMIZI WA MIRATHI NI IPI, WANUNUZI WA MALI ZA MAREHEMU WAWE MAKINI NA WASIMAMIZI WA MIRATHI KWANI KAZI YAO SIYO KUUZA MALI ZA MAREHEMU BALI KUGAWA MALI KWA KUFUATANA NA USIA, SHERIA ZA DINI AU MILA https://m.youtube.com/watch?v=3i97zL9ftTg 11 March 2024...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

    Nimeona video inatrend ya ugomvi mkubwa wa nyumba ya urithi Kariakoo mtaa wa Manyema. Nyumba hiyo ya ghorofa 5 ilijengwa na mzee anaeitwa Mohammed Alidina ambae alifariki miaka kazaa iliyopita. Mzee huyo wakati akiwa hai alitoa sehemu ya nyumba hiyo. Floor ya juu itumike kama madrassa na...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mwanamke: Bi. Mwamtoro bint Chuma wa Mtaa wa Kariakoo

    Angalia hapo juu picha ya Bi. Mwamtoro bint Chuma mama yake Sheikh Haidar Mwinyimvua. Picha hii inamwonyesha Bi. Mwamtoro bint Chuma akipiga kura Uchaguzi Mkuu wa 1970. Bila ya shaka yoyote kura yake ilikwenda kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Haiwezi kuwa vinginevyo. Bi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi limebariki huu wizi Kariakoo?

    Habari wana JF, Kuna huu wizi sijui niite utapeli ambao binafsi nimeanza kuushuhudia tangu mwaka 2022 kwa maeneo ya Kariakoo na kila mara nikipita eneo hilo nakuta huo wizi unaendelea utapeli wenyewe unafanywa na jamaa wauza juice ya miwa mitaa ya karume mbele ya TBL (Tanzania Breweries...
  6. Daydream

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotapeliwa Kariakoo mwaka 2012 (True Story)

    Nakumbuka mwaka 2012 nilifungua biashara ndogo iliyonipelekea kukodi frem itakayonisaidia kufanya biashara yangu. Kwakua biashara ilikua bado changa nikaona ngoja niende Kariakoo nikanunue Radio (Subwoofer) ya Tshs 150k. Nilifanikiwa kununua ile Radio kwa Tshs 150k na nikatoka Kariakoo...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ubaya gani Serikali ikaruhusu sukari iagizwe kwa uhuru kama nguo Kariakoo?

    Tunafahamu lengo ni kulinda viwanda vya ndani, ila je, hivyo viwanda vya ndani vinakidhi mahitaji? Kama lengo ni kulinda viwanda vya ndani, mbona viwanda husika haviongezeki ukubwa wala idadi? Kwanini havikuwi pamoja na ukinzi wote huu at the expemse ya WaTZ kununua sukari shs. 6,000/= kwa...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali wanatukanana kama wahuni wa Kariakoo

    Labda ipo njia ya kistaarabu zaidi ya kuandika haya mambo. Tunashangazwa wote nadhani katika haya maneno yanayosemwa kati ya Katibu Mwenezi Makonda na Waziri Bashe. Na pia wapo wengine. Haya ni mambo mabaya. Kama Mbunge Gwajima alivyokuwa anasema jana kwamba mtoto wa tajiri wa Unguja alitoweka...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Wamachinga Kariakoo unatulazimisha kulaza bidhaa zetu nje ili wazilinde

    Uongozi wa Wafanyabiashara wadogo wa Kariakoo ‘Machinga’ (KAWASO) umekuwa ukifanya mambo ya uonevu na unyanyasaji kwa Machinga wa Kariakoo kila kukicha tena mchana kweupe! We are not sure Serikali wanayajua haya au lah and they are un touchable sijui nguvu wanaitoa wapi? Walianzisha program ya...
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaowashika wanawake makalio na matiti Kariakoo kiama chenu kinakuja; Chalamila anawachemshia dawa

    Kuna hii tabia ya wanaume kuwashika wanawake makalio na matiti kwenye sehemu za misongamano, hasa Kariakoo, ambako muda wote kuna msongamano wa watu. Mh Chalamila, RC wa Dar es Salaam anawachemshia dawa ambayo hamtakuja kumsahau. Yaani mtajuta kumfahamu. Mara nyingi wanaume hawa huvizia kwenye...
  11. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Miaka hiyo sina hela afu ujana mwingi......kidogo nipagawe. Nikamcheki braza yangu MUBA MUBANDA....mzee wa kazi zote pale kariakoo. MIMI: Kaka mdogo wako sina kitu afu unavyojua lazima avensis iingie barabarani siwezi kukaa kinyonge, madogo wa maghorofani wananitambia kinoma. MUBANDA: Dogo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wahusika shughulikieni suala la chemba za maji taka kujaa kariakoo

    Mwezi wa 11 nilienda Kariakoo kwenye mitaa ya Agrey na karibu mitaa yote chemba za maji taka zilikuwa zinatoa maji machafu kuashiria karo linalohofadhi maji taka hayo kuwa yamejaa. Lakini cha kushangaza jana nimeenda tena nakutana na shida ileile, kwa maana kwamba tatizo nililolikuta mwaka jana...
  13. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Nini kimejiri soko la Kariakoo Dar es Salaam?

    Sina habari za mwisho wa ugomvi kati ya wafanyabiashara wa Kariakoo na Wachina. Najua kwamba kulikuwa na mvutano kati yao kuhusu masuala ya biashara na ushindani. Inaweza kuwa kwamba pande zote mbili zimefikia mwafaka na zimepata suluhisho la matatizo yao, au pengine mazungumzo yanaendelea...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Inawezekana niamkie Kariakoo na kupata kipato ikiwa sina ofisi wala chochote?

    Inawezekana niamke asubuhi na kwenda Kariakoo ikiwa Sina ofisi yeyote hapo???? Udalali huwa unafanywaje jamani! Kazi gani unaweza kuifanya pale Kariakoo kwaajili ya kukuingizia chochote kitu ikiwa huna duka, huna chochote?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Timu za Kariakoo ifike mahala msajili wachezaji toka Afrika Kaskazini na muachane na Afrika ya Magharibi na Kati

    Ni dhahiri kuwa vilabu vya Afrika Kaskazini ndivyo zinazofanya vizuri kuliko vile vya AfriKa Magharibi. Hakuna haja ya kuokoteza wachezaji toka West Africa, wenye viwango duni. Wekezeni katika kusajili Toka North Africa.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Azam wamejipanga, mapacha wa Kariakoo lazima wapambane

    Azam! Azam FC Hawa jamaa baada ya muda mrefu kujitafuta hatimaye naona wamejipata. Wanatembeza vipigo vikali bila kujali ni uwanja upi. Leo baada ya kumkanda Kagera Sugar goli 4 Kwa yai, nawastua wababe wa Kariakoo pale wasipostuka kuna mmojawao atachomoka top 2 pale.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mgambo wengi wa Kariakoo muda wote wakati wa Kazi wao wanakuwa Wamelewa tu?

    Haya Wakubwa zao mlioko hapa JamiiForums itisheni Gwaride la Dharula usiku huu na mkimkuta Mmoja kavimba Uso, Jino lake moja la chini limelegea tayari kwa Kudondoka chini Ardhini na Mguu wake wa Kulia anauburuza jueni Mzanaki na Myao Mimi GENTAMYCINE nimetuma Salamu kuwa wacheze na Washamba kama...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hali ya chemba za majitaka Kariakoo ni mbaya, Utapishaji Vyoo unafanyika kiholela

    Nimepita Kariakoo leo kwakweli hali ya Miundombinu zikiwemo Barabara za Mitaa na Chemba za Majitaka ni mbaya inatia kinyaa na Mamlaka zinaendelea kukusanya Kodi pale kama hazioni. Mbaya zaidi Chemba zimepasuka katika maeneo ambayo watu wanalazimika kutembea kwenye uchafu unaotoka katika mitaro...
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kariakoo leo mmeniweza, nimewanyooshea mikono juu

    Ndugu zangu nikiwa katika harakati za kununua vifaa kwa ajili ya tv yangu yaani Tv guard na Hd Tv cable 4k haya ndio yaliyonikuta. Nikaenda moja kwa moja kwenye moja ya maduka yanauza tv, baada ya kufika pale nikauliza hivi vifaa wakaniambia vipo. Tukaanza kubagain bei, tv guard wakanimbi...
  20. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Harmonize Aleta Msisimko Kariakoo: Biashara Zasimama, Mwendokasi Zasimama!

    https://youtu.be/rK1Y8GhcZFI = https://youtu.be/B_cAMoJBT5Q
Back
Top Bottom