Nataka kuwa winga Kariakoo

Naombeni ushauri jinsi ya kuwa winga KARIAKOO sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya, wiki ijayo naingia dar kutoka singida na Ni mara yangu ya kwanza kufika dar
Wingaa wa bidhaa gani ujasemaa ukamalizaa
 
Naombeni ushauri jinsi ya kuwa winga KARIAKOO sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya, wiki ijayo naingia dar kutoka singida na Ni mara yangu ya kwanza kufika dar šŸ™
Search humu humu utaona nyuzi za mawinga..
 
Naombeni ushauri jinsi ya kuwa winga KARIAKOO sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya, wiki ijayo naingia dar kutoka singida na Ni mara yangu ya kwanza kufika dar šŸ™
aliekupa Wazo la kuja kkoo kupiga winga ni nani?
maana kuwa winga kkoo lazima ufahamike na kuaminika na wenye maduka
 
kama una mwenyeji anaejishughulisha na uwinga kkoo ni vizuri zaidi ila uvumilivu unahitajika.
 
Back
Top Bottom