kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Kufanya biashara Kariakoo

    Wakuu kwema? Poleni na majukumu leo Mimi nilienda Kariakoo japo mimi ni mgeni hapa dar nazunguka hivyo hivyo kwa kuulizia. Nilikuwa naomba ushauri nilikuwa Nina wazo la kuuza mayai ya chemsha kariakoo kwa kuzungusha je Kuna kibali cha kuniruhusu au naweza fanya bila shida Kama hao wanaouza...
  2. Kununua shati Kariakoo kidogo nigeuzwe mwizi

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Wiki iliyoisha nilikuwa na mtoko wa kuelekea mahali fulani,nikasema siwezi kwenda huko bila kutupia mitupio ya Ki-Jentromeni,nikaona isiwe tabu nielekee Kariakoo ambako ningepata mavazi mazuri kwa bei nzuri iliyoendana na bajeti yangu. Sasa nilipofika...
  3. SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  4. F

    Nataka kuwa winga Kariakoo

    Naombeni ushauri jinsi ya kuwa winga Kariakoo, sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya. Wiki ijayo naingia Dar kutoka Singida na ni mara yangu ya kwanza kufika Dar 🙏.
  5. B

    Tundu Lissu Wananchi wanamuelewa, Kariakoo imekuwa mfano mwingine

    Ukitazama jinsi wafanyabiashara wa Kariakoo walivyotulia na kumsikiliza Tundu Lissu haraka haraka unaweza kudhani Wafanya biashara walikuwa Chini ya Mamlaka kubwa. Umati wa watu wametulia na kusikiliza Makamu Mwenyekiti Chadema Taifa Mh Tundu Lissu aki address wafanya biashara kariakoo. Huu...
  6. M/kiti wa wafanyabiashara Kariakoo anawatisha wale wote waliozungumza kwenye kikao na Lissu

    Nukuu ya mwathiliwa; Jamaa ametuma jamaa zake eti kutuhoji kwanini tunatumika na wanasiasa kuichafua Serikali. Anadai hoja zote si zilitatuliwa na PM sasa ya nini eti tunamdhalilisha Rais! Tumewataka hao vibaraka waende wamwambie atuandikie kwa maandishi hayo malalamiko yake ama atupigie simu...
  7. Wafanyabiashara Kariakoo na TRA Sasa mambo safi, waandaa bonanza la michezo kati ya timu ya TRA na wafanyabiashara

    Kumekucha, wale wengine mliokuwa na nongwa, mshike jembe mkalime. TRA na wafanyabiashara wa Kariakoo sasa ni damu damu, wameandaa bonanza la michezo kati ya timu ya wafanyabiashara na TRA. Hakika Rais Samia ameziba ufa uliokuwapo na imani kati yao imekuwa kubwa. Viva Tanzania!
  8. E

    Kariakoo kuwa kama Dubai inawezekana?

    Kwa DSM, Kariakoo ni sehemu kubwa na maarafu kwa kufanyia biashara. Uwezo wa kkoo kukuwa ni mkubwa kiukweli ila, miundombinu inakwamisha. Suala zima la nafasi, utulivu pamoja na usalama ndiyo linazingua. Kwa sasa bado watu wanafungiwa biashara zao sasa vijana watafanya nini? Ni kama vile...
  9. Serikali yaongeza Siku 90 za notisi kwa wapangaji Kariakoo

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angelina Mabula akizungumza jambo na wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Kariakoo Serikali imeongeza miezi mitatu ya notisi kwa baadhi ya wafanyabiashara na wakazi waliopanga katika nyumba za shirika la nyumba la Taifa (NHC) eneo la...
  10. Malalamiko ya magari ya Mwendokasi kwenda kwa kasi Kariakoo bila kujali kuna idadi kubwa ya watu

    Mdau wa Jamii Forums ameandika malalamiko yake kuhusu mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam Magari ya Mwendokasi yanapita kwa kasi kubwa sana hapa Kariakoo, na nature ya Kariakoo ni watu wengi ndani ya huu mwezi magari hayo yameua zaidi ya watu wanne hapa kwenye Barabara inayotumiwa na...
  11. Wapangaji nyumba za NHC Kariakoo walalamika notisi za kuhama bila mazungumzo, wadai NHC wamempa dili mwekezaji mpya kimyakimya

    Baadhi ya Wafanyabiashara na wakazi waliopanga kwenye majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation - NHC) mitaa ya Kariakoo wamelalamika kupewa ‘notisi’ ya miezi itatu wakitakiwa kuhama kwenye majengo hayo pasipokuwa na mazungumzo yoyote. Wafanyabiashara hao waliopo kwene...
  12. Wafanyabiashara wa Kariakoo wagoma kuhama kupisha Wawekezaji

    Wafanyabiashara wa maduka kutoka soko la Kariakoo wamefika makao makuu na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kupinga notice walizopewa na shirika hilo kwa kuwataka kuhama ndani ya siku 90 kupisha mwekezaji mpya katika eneo hilo. Wafanyabiashara hao wamesema, wao hawapingi maendeleo lakini muda...
  13. Je, kuna uhusiano ule mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo na hiki kinachoendelea sasa hivi?

    Sabato NJEMA Wakuu! Ufanisi ni mdogo, faida ni hafifu. Mtaji ni Duni, Muda unaopotezwa ni mwingi Hali inayozorotesha uchumi wa wafanyabiashara na serikali Kwa ujumla. Hicho ndicho kinafanya kuwe na haja ya kuleta Wawekezaji katika Bandari yetu. Uwezo wetu ni mdogo, uwezo wa kinidhamu na...
  14. Kama unataka Kudate na wanafunzi wa vyuo vikuu, wahi kontena jipya, makontena yaliyotoka bandarini kuingia kariakoo heri utafute binti mtaani?

    Na hata sisi tuliosoma chuo, hii ndio ulikuwa utaratibu wetu kupata mali yenye maileji ndogo na ukibahatika waweza kupata bikra, watu walikuwa wanawahi kwenda chuo wanazuga eti wanapenda shule kumbe wapo mawindoni kuvizia makontena mapya. Makontena mapya ni hawa wanaoingia chuoni kwa mara ya...
  15. Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

    Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kwa tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo. Wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China...
  16. P

    SoC03 Je, mgomo katika soko la Kariakoo unaweza vipi kukomeshwa usijirudie tena miaka ijayo?

    Ili kuzuia hali kama hiyo isijirudie tena katika Soko la Kariakoo, hatua kadhaa zinaweza kuchukuliwa. Hapa kuna baadhi ya mawazo ambayo yanaweza kusaidia: Mazungumzo na taasisi husika: Wafanyabiashara na wawakilishi wao wanaweza kushiriki mazungumzo na taasisi ya TRA (Mamlaka ya Mapato...
  17. Kamati yaanza kupokea kero za wafanyabiashara Kariakoo

    Kamati ya watu 14 ya kushugulikia changamoto za wafanyabiashara nchini imeanza kazi kwa kukutana na makundi tofauti ya wafanyabiashara. Kamati hiyo ilisema Dar es Salaam jana kuwa itafanya kazi kwa weledi, itasikiliza maoni yote na itazunguka katika masoko nchini. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dk...
  18. Z

    Serikali inaposhughulikia suala la wafanyabiashara Kariakoo ingetufikiria na sisi wafanyakazi, tunaonewa sana

    Serikali inaposhughurikia swala la wafanyabiashara kariakoo ingetufikiria na sisi wafanyakazi: tunaonewa sana kwa kweli. Mifano iko wazi: 1. Kwa mfano, daktari akilala zamu anapolipwa call allowance lazima akatwe VAT 2. Daktari au nesi akilipwa extra duty allowance lazima akatwe VAT 3...
  19. Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo umewafumbua macho Watanzania. Mnatakiwa kugoma kwa uonevu wa CCM unaoendelea sasa

    Wafanyakazi mnateseka sana isee. Mshahara ukitoka tu tar 23 baada ya wiki mnahaha kukopa madukani na kwenye baa. Mnatakiwa kupinga kodi na tozo za hovyo kwa kugoma ili serikali iwasikilizie kama wafanyabiashara wa kariakoo. Wafanyabiashara nyie ndio mnaumia kila siku. Tozo na kodi kibao. Mbaya...
  20. CCM yatoa maelekezo sakata la mgomo wafanyabiashara Kariakoo, Katiba Mpya

    Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Jumapili Mei 21, 2023 imeingiza mguu katika sakata la mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo huku ikiitaka Serikali kutafuta kiini cha tatizo na kukitafutia ufumbuzi. Kamati hiyo imetoa maelekezo hayo katika kikao chake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…