kanisani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimeenda leo kanisani mhubiri akaniita "YESHURUNI" Nikalia Sana.

    NIMEENDE LEO KANISANI MHUBIRI AKANIITA "YESHURUNI" NIKALIA SANA. Anaandika Robert HERIEL Yule Shahidi, Ole wangu Mimi ikiwa nimekuwa Yeshuruni, nitatengwa na Mkono wangu utatupiliwa mbali, ingawa najua wengi wenu hamumjui huyo Yeshuruni ni Nani. Leo nikalisogelea lango la Kanisa ikiwa ni muda...
  2. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi watoto kutoa sadaka kanisani?

    Habari za leo ndugu zangu katika imani? leo naomba kujua uhalali wa watoto kutoa sadaka unakujaje. mtoto ana chanzo gani cha kipato mpaka atoe sadaka? Maana halisi ya sadaka ni nini hasa? Mada yangu ni hio wazee
  3. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

    Mwalimu wa shule ya Sekondari Jijini Mbeya, Julieth Kabuja (32) ameieleza Mahakama ya mwanzo Mkoani hapo kuwa ni bora ndoa yake ivunjike kuliko kumkabidhi mumewe kadi yake ya benki. Ameyazungumza hayo mbele ya Mahakama ya mwanzo jijini hapo baada ya mumewe Charles Meshack (31) kufungua shauri...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Shomari Salumu Kapombe, nenda katoe sadaka ya shukurani kanisani kwenu

    Kwa kufanikiwa kumzuia Fiston Mayele asifunge goli kwenye mechi ya Simba na Yanga ya tarehe 30 APRILI 2022 basi nakushauri uende kanisani kwako unapo abudu ukatoe sadaka ya shukurani.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba na hoja fikirishi ya Mwalimu Nyerere kutohutubia Kanisani

    Nilimsikiliza vyema Waziri Mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba pale alipopewa nafasi ya kuhutubia nyumbani kwa Mwalimu Nyerere pale Msasani kama sehemu ya sherehe ya kufikisha miaka 100 ya hayati Mwalimu. Aliongea kwa lugha nzuri kama mwanasheria na mtu muungwana. Akamuelezea Mwalimu Nyerere...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ninaishi na mke ambae hatujaoana ila tuna watoto na tunaishi vizuri. Ndoa ni sheria ya kijinga inayoweza kunivuruga

    Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka. Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Vurugu zazuka Kanisani la KKKT Dayosisi ya Konde Mbeya, Ibada yavunjika, Polisi wakamata viongozi

    Wakati mgogoro ukizidi kufukuta kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Aprili 17, 2022 baadhi ya waumini wa usharika wa Mbalizi wamemzuia mchungaji wao, Atupele Mlawa kuingia kanisani na kusababisha kuvunjika kwa ibada. Kutokana na vurugu hizo, Jeshi la Polisi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waimba kwaya wanaokata miuno na kunengua kanisani wanamsifu Mungu kweli?

    Ibada za pasaka zinaendelea; kwaya mbalimbali zinatumbuiza. Nimeenda kwenye kanisa mojawapo kusali naomba nisilitaje jina. Waimbaji wananengua na kucheza mithili ya ngoma za kienyeji na kidunia. Wengine wananengua miuno kabisa. Sasa huku ni kumsifu Mungu kweli?
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Askofu Frederick Shoo: Viongozi wa dini wanapaswa kutoegemea upande mmoja wa siasa kwa kuwa watu wa vyama vyote ni waumini wao

    MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Frederick Shoo, amekemea vitendo vya kupigwa na kudhalilishwa kwa baadhi ya wagombea hasa wanawake katika kampeni za uchaguzi na kutahadharisha kuwa iwapo vitendo hivyo, vikiaachiwa viendelee vitahatarisha amani. Sambamba...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rasmi Mrema anafunga ndoa Kanisani na mrembo wake mweupe...

    Mwenyekiti wa TLP, Augustine Lyatonga Mrema anafunga ndoa na Doreen Mrema, leo Machi 24, 2022 katika Parokia ya Uwomboni, Kiraracha Mkoani Kilimanjaro. Mrema ambaye aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini, kuwa mbunge na kugombea urais wa Tanzania, amekula kiapo cha ndoa katika misa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Lyatonga Mrema kufunga ndoa Alhamisi Machi 24, 2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha

    Siku moja kabla ya kufunga ndoa Mwenyekiti wa TLP Taifa, Dk. Augustino Mrema amesema kuwa atajaribu kujikokota kuelekea Kanisani na kama itatokea ataishia njiani kutokana na afya yake kutokuwa sawa, anaamini Paroko atajua nini cha kufanya. Mrema amesisitiza kuwa huduma ya Kanisa inapatikana...
  12. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayonikasirisha Kanisani

    Wasalaam wana JF, Kesho jamii nzima ya kikristo au sisi wakatoliki tunaanza kwaresma siku 40 za kufunga na kufanya ibada nyingi. Pamoja na zoezi hilo, naomba niorodheshe mambo yanayonikera kanisani kama yafuatayo: 1. Kwaya kuimba nyimbo ambazo waumini hawazijui. Yaani wanaimba wenyewe tu...
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

    Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022. === KIONGOZI WA KANISA AKUTWA AMEUAWA KANISANI, KICHWA...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Kanisani, jina la Katekista latajwa, AKIMBIA, asakwa na Polisi

    Kufuatia mauaji ya Nickson Myamba ambaye alikuwa ni Katibu wa Baraza la Walei Kigango cha Makambako, Jimbo la Njombe, Februari 7, 2022 kisha kudaiwa mwili wake kutenganishwa kichwa na kiwiliwili, bado kuna hali ya sintofahamu kuhusu tukio hilo. Tayari Jeshi la Polisi la Njombe kupitia kwa RPC...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Usikubali heshima kubwa kanisani mtizame Mungu, isipokuwa tu kama unaheshimika na huna Fedha wala madaraka

    Kesho ni siku ya kuabudu na kumtukuza Mungu. Simaanishi kwamba siku nyingine sifanyi hivyo Ila ninaposali Mimi jumapili ni siku maalumu ya ibada. Nimewiwa kuwaomba wanaoingia kanisani kuanzia kesho wajitafakari kuhusu heshima wanayopewa, je heshima inatokana na wao wanavyomytumikia Mungu au...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

    Wazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar. Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa. Huku kwetu Tanzania, wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na...
  17. Farolito

    JamiiForums Tanzania Ajinyonga kwa kutotajwa na Padri kwenye misa ya Shukrani

    Mwanaume mmoja kutoka wilayani Ludewa amekatisha uhai wake kwa kujinyonga sababu ikiwa ni kutotajwa na padri katika misa ya Shukrani. Bwana huyo na mke wake walikuwa wakitoa Shukrani katika Kanisa la Moravian kwa mtoto wao kupona lakini kwa sababu zisizofahamika Padri aliyeongoza misa hio...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Makanisa mengi hayana mvuto katika ibada

    MAMBO YANAYOFANYA VIJANA WA KARNE YA 21 WASIENDE KANISANI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Anayeandika hapa ni kijana msomi mbobevu wa Biblia, na vitabu mbalimbali. Mbali na hivyo ni msomi wa ngazi ya shahada. Hivyo anaandika akiwa na Uelewa wa kiwango cha juu wa kile akisemacho. Vijana hawaendi...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyokuwa nadhani nimeokoka kumbe ni wakala wa ibilisi kanisani

    Mwaka 2017 nilipata neema ya wokovu, niliombewa sala ya toba na nikakaribishwa rasmi kundini, kwenye kuitenda kazi ya BWANA. Maisha yangu kabla ya wokovu yalikuwa ni maisha meusi, ulevi, umalaya, uvutaji wa mioshi mbalimbali, uhuni, udhalimu, uporaji, udhulumaji, na ubazazi usiolezeka. Maisha...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Baa wanapokuwa waungwana zaidi kuliko kanisani kwa mkosaji

    Simu yake iliita kwa Bahati mbaya wakati wa ibada akiwa kanisani. Mchungaji alimfokea. Waumini walimzonga baada ya maombi ya ibada Wakati anarudi nyumbani, njia nzima mkewe aliendelea kumsema kwa kutokuwa makini Akajisikia vibaya sana, huzuni, na aibu juu. Hakutia miguu tena kanisani . Jioni...
Back
Top Bottom