Wanawake mnaosimama kanisani kweli mmekosa wachumba na wanaume?

United ya Ferguson

JF-Expert Member
Oct 29, 2021
2,878
5,697
Huwa siamiani kama mwanamwke anaweza kukosa mchumba,au mwanaume wa kumtongoza kundi la wanawake wanaosimama kanisani Kwa mwamposa ambao hawana wachumba,na wanaume ni kubwa tena Hilo kundi linakua na mixture ya wanawake wote mim kitu ambacho huw najiuliza nyinyi wanawake ambao hamna wachumba Wala wanaume kwamba humtongozwi,au Kuna Nini behind

Au nyinyi ndio wale ambao mkitongozwa mim na mtu wangu ila mkiwa kanisani mnasimama muombewe mpate wachumba na je kama kweli hamna humo kanisani hamna vijana kweli wakachangamkia hiyo fursa manaa Kuna watoto wengine wakisama unaridhika mwenyewe unasema hapa kweli Mungu kaumba

Haiwezakani Mwanamke wa miaka 24 to 25 ukawa huna mchumba kabisa kwajinsi sisi wanaume tulivyo Kuna wanaume wanaweza kutongoza hadi wanawake wa miaka 50 nyiny mabinti wadogo mnakua mmejifisha wapi

Au nyinyi ndio wale wanawake ambao tukiwa kweny daladala tukiwapa salamu tu mnajifanya mpo bize mnachart na simu zenu Yani mwanamke unakosaje mwanaume kabisa yani wew utoke mbezi hadi kariakoo ukose kijana wakukusumbua humo njiani maana kariakoo ndio sehemu yenye vijana wakila aina wenyewe sumu Kali mdomoni,wasumbufu,vinganizi wa kuomba namba,waongaji,waongowaongo wasumbufu,wale wenye kusifia sifia na chap Kwa chap anakuomba namba hapo hapo

Kweli upite mfano ule mtaa wa congo na mchikichi ule mtaa wa vijana wanauza suluali za jeans za kike wanapenda kuweka begani wale vijana wanawasumbua sana na wanatongoza sana wanawake ovyo ule mtaa una vijana machachari kweli.

Mwanamke kukosa mchumba au mwanaume ni ungo tusidanganyane Kwa sababu Kuna vijana wa ovyo anaweza kupanga Ata listi ya wanawake kumi peke Ake

Au nyinyi ndio wale January hadi disemba nyumbani kazin kazini nyumbani nyumbani kazini hutaki Ata kwenda coco beach kutembea,tu au sehemu zenye mikusanyiko hutaki

Au nyinyi ndio wale ambao mnataka tall dark handsome men mkishakosa mtaani mnakimbilia kanisani kuombewa

Mim hii kitu SIAMINI kabisa mnamchosha mzee wa watu tu kanisani na kama kweli hamna kabisa wanaume na wachumba basi kutakua Kuna sababu kubwa nyuma ya panzia iliyopelekea kuwafikisha kuanza kuombewa
 
Huwa siamiani kama mwanamwke anaweza kukosa mchumba,au mwanaume wa kumtongoza kundi la wanawake wanaosimama kanisani Kwa mwamposa ambao hawana wachumba,na wanaume ni kubwa tena Hilo kundi linakua na
Wanasimama Kanisani kuomba Wachumba au Hawara? Wewe unaoongelea ni Madanga, wao wanataka zaidi ya madanga wamechoka kudanga.
 
Few things I a have learnt about this mysterious thing called MARRIAGE:
A woman will probably have sex with any man she likes, while A man will probably have sex with a woman he can. But in a long run a man will marry a woman he likes, while a woman will get married to any man she can.

AU Katika lugha yetu pendwa iko hivi: Mara nyingi mwanamke anaweza kufanya ngono na mwanaume yoyote amtakaye yeye, lakini mwanaume atafanya ngono na yule mwanamke ambaye ameweza kumpata kwa wakati huo. Kwenye suala zima la NGONO wanawake wanakuwa na nguvu kubwa ya kuamua ni nani alale au asilale naye.

Japo sasa linapokuja suala zima la NDOA hii hugeuka kinyume, ambapo mwanamme huoa mwanamke amtakaye yeye, ilhali wanawake wengi huolewa na mwanaume yoyote anayeweza kuolewa nao kwa wakati huo. Kwenye suala zima la NDOA wanaume tunakuwa na nguvu kubwa ya kufanya maamuzi ya mwanamke gani wa kuoa.

Bahati mbaya sana, dada zetu walio wengi hudhania kwamba kwasababu hufuatwa na wanaume wengi ambao lengo lao ni NGONO, basi itakuwa hivyohivyo hadi kwenye suala la NDOA. Nilichojifunza ni kwamba wanaume wengi huwa tunachagua kupitiliza (We Become Very Picky) linapokuja suala zima la mwanamke wa kuoa. Hatuangalii uzuri wa maumbile na ngono peke yake, na hapa ndipo tatizo linapoanza. Kuna wanawake wazuri mno niliwahi kuwa nao huko nyuma, lakini nilipoambiwa nioe mmoja wao sikuweza kukubali kabisa.


NB: A woman controls the access to sex, while a man controls the access to marriage.
 
Few things I a have learnt about this mysterious thing called MARRIAGE:
A woman will probably have sex with any man she likes, while A man will probably have sex with a woman he can. But in a


NB: A woman controls the access to sex, while a man controls the access to marriage.
Na ndio maana ndoa zina shida sana

Uliacha mwanamke anayekupenda
Unayeoa we unampenda ye hakupendi ana wake huko nje atachepuka tu

Ushauri
Oa mwanamke anayefanya mapenzi na wewe women do it for love
Hio very pickyy muda mwingine haiwasaidii
 
Na ndio maana ndoa zina shida sana

Uliacha mwanamke anayekupenda
Unayeoa we unampenda ye hakupendi ana wake huko nje atachepuka tu

Ushauri
Oa mwanamke anayefanya mapenzi na wewe women do it for love
Hio very pickyy muda mwingine haiwasaidii
Kabla ya yote, nikuulize wewe mwenzangu uko kwenye ndoa miaka mingapi ???
 
Wanawake wote wana vigezo vyao kuhusu mume ama mchumba wanaemtaka awe navyo. Na hivyo vigezo vinafanana.. yaani handsome mwenye maisha mazuri.

Sasa wanapokosa mtu wa aina hiyo ndipo wanaenda kuombewa kanisani wampate.

Mwanamke mrembo akitongozwa na mwanaume mwenye maisha duni anaona kama ni pepo limemshukia ama mkosi na gundu. Ila akitongozwa na kijana mambo safiii anaona amepata baraka kubwa, anapiga goti kumshukuru Mungu na anaenda kutoa sadaka ya shukrani kanisaniii
 
Back
Top Bottom