kanisani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. She Quoted you

    JamiiForums Tanzania Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

    Mambo vipi wakuu, Nimemaliza chuo mwaka jana, I am 24. nipo nakaa hapa nyumbani ila kuna tatizo la kiimani. Mom analazimisha kila jumapili niende kanisani. Kiuhalisia mimi saivi sina imani kabisa na kanisa au maswala ya Mungu naona kama ni utapeli na mambo ambayo binadamu walitengeneza tu...
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Naenda Kanisani lakini naenda kwa Shekhe kuloga ili mambo yangu yaende sawa

    Siyo kwa ubaya ndugu zangu, misumari ni mingi sana, ukiweka japo kabiashara kako sehemu ili kakusaidie wewe na familia yako ikianza tu kuchanua kuna viherere wanajifanya kuizima. Sasa nikasema dawa na mimi ni kutembea, simlogi mtu ila naweka mambo sawa, nailinda biashara yangu. Kwani kuna ubaya...
  3. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Usiende kanisani bila sadaka hata kama unamashaka, usiile tafuta pa kuipeleka

    Hata kama ni tsh 50 sadaka inanguvu kuliko maneno. Kutoa sadaka ni kitendo, maombezi ni maneno. Imani bila matendo imekufa Faida za kutoa sadaka. 1: Utapokea. Maana vya Mungu tunavipata Kwa kutoa. 2: Ulinzi Kwa familia hasa watoto. Ayubu alitolea watoto Sadaka. Hata walipokufa, Mungu alimpa...
  4. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani ni uhuni tu, kanisa limepora mamlaka yasiyowausu ili kuzitawala ndoa

    Na ndio maana nikaona mapema nioe tu ndoa ya kimila kama kwenye biblia, ukilipia mahari unaondoka na mwenzako, imeisha hivyo !! ni ndpa inayotambulika na serikali kama ndoa za dini na cheti cha ndoa ya kimila mtakipata ofisi ya wilaya bila kero yoyote. Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani...
  5. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kwa mliokaa Ulaya/Marekani hivi Wazungu na wao pia huchagua majina ya ubatizo kanisani?

    Naomba kujua kwa mliowahi kukaa ulaya huko, je ikifika wakati wa ubatizo, wazungu pia huchagua majina ya kubatizwa kwa watoto wao kama tunavyofanya huku Afrika? Huku Afrika ni kawaida kukuta mtu ana majina mawili, moja la nyumbani lingine la ubatizo na la ubatizo lazima liwe la kizungu ama...
  6. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kiti cha Rais Samia kanisani Vs Rais Ruto kanisani Homa Bay, Kenya

    Nimeona picha ina trend ya kiti cha Raisi kuingizwa kanisani kwamba hawezi kalia kiti kingine tofauti na cha kwake kutoka Dodoma. Baada ya hapo nikakumbuka picha ziliozo triend za Raisi Ruto akiwa Homa Bay mwezi ulio pita, alikalia kiti kilicho chanika na akaona sawa, na hata Maaskofu...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watu wanaenda Kanisani wamevaa vitu vya ajabu unategemea nini?

    WATU WANAENDA KANISANI WAMEVAA VITU VYA AJABU UNATEGEMEA NINI? Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Angalizo, lugha itakayotumika inaweza kuwa Kali. Hivyo Kama sio mtu upendaye lugha Kali na Tata nakushauri uishie hapahapa. Kukaidi ni kiashiria utaendana na andiko hili na utaweza kukabiliana na...
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lamtenga Padri Soka, lamuondoa kwenye nyumba za Mapadri

    Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, limemuamuru Padri Sosthenes Bahati Soka (41) anayekabiliwa na mashtaka ya kubaka watoto watatu wa kike kuondoka katika nyumba za kanisa hilo. Badala yake, barua ya Askofu wa Jimbo hilo, Ludovick Minde ya Septemba 26, mwaka huu ambayo gazeti hili limeona...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali Wanakwaya kanisani na wahudumu wa Kanisani Walipwe mishahara Kwa mwezi

    IFIKE MAHALA WANAKWAYA NA WATOA HUDUMA KANISANI WALIPWE MISHAHARA KWA MWEZI! Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Hii ni mara ya tatu nazungumzia Jambo hili. Mara ya Kwanza nililizungumza mwaka 2012, mara ya pili 2020, Kutokana na Unyeti wa Jambo lenyewe. Mambo ya Huduma za...
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Niko hapa kanisani kwa sasa wasabato nimevaa jeans, waumini wenzangu wananiona Kama Antichrist.

    Leo nimeona niunganike na waumini wa kabisa la wasabato katika ibada baada ya kupata mwaliko, kwa kuwa huwa Sina suruali za mitambaa wala makoti ya suti ,nimeona nipige jeans na Converse nyeusi. Tokea mlangoni kila mtu ananiangalia utafikiri mie sie ndugu yao katika Imani. Kanisa nilikuwa...
  11. United ya Ferguson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnaosimama kanisani kweli mmekosa wachumba na wanaume?

    Huwa siamiani kama mwanamwke anaweza kukosa mchumba,au mwanaume wa kumtongoza kundi la wanawake wanaosimama kanisani Kwa mwamposa ambao hawana wachumba,na wanaume ni kubwa tena Hilo kundi linakua na mixture ya wanawake wote mim kitu ambacho huw najiuliza nyinyi wanawake ambao hamna wachumba Wala...
  12. Boss la DP World

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane. Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda. Miongoni mwa walio hudhuria ni...
  13. Mkulungwa01

    JamiiForums Tanzania Jumapili iliyopita mke wangu ameniadhirisha mno kanisani

    Nina muda mrefu sijaonekana jamvini, majukumu ni mengi sana. Kwa sasa mimi ni baba Gebbie, nastahili pongezi. Jumapili iliyopita baada ya ibada nilikuwa nasikiliza earphone. Mke wangu alinifanyia hujuma, kati kati ya waumini wengine alichomoa waya kwa siri na hivyo kufanya wengine wasikie wimbo...
  14. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Kero: Barabara za Jeti kwa Gude na Buza Kanisani

    Imeletwa na mwananchi, namsaidia kuifikisha JF: 👇🏾👇🏾👇🏾 Naomba niripoti hii kwa sehemu husika hasa iwafikie walengwa ambao ni viongozi, either wenyeviti wa serikali za mitaa, Diwani ama mkuu wa wilaya DC Jokate Mwegelo. Naomba mtambue wananchi wenu tunaoata tabu sana na hzo barabara tajwa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Ndoa za Kanisani Zifutwe , tuwe na ndoa za Serikali tu, mauaji mengi

    Nashauri Ndoa za Kanisani ambazo hakuna kuachana mpaka kufa zifutuliwe mbali na badala yake tuanze na tuwe na ndoa za mahakamani tu ambapo mkuu wa wilaya hapo bomani anawafungisha ndoa, na ni rahisi sana kuitengua ndoa hii. Kwakuwa mauaji ndoani yameshika Kasi ,ambayo yanasababishwa na hizi...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu 31 wafariki wakati wa zoezi la kugawa vyakula kanisani

    Watu 31 wameripotiwa kufariki na wengine 7 kujeruhiwa wakati wa mkanyagano wa kugawa chakula kanisani Nchini Nigeria, ambapo shuhuda mmoja wa tukio alishuhudia mama mjamzito na watoto kadhaa wakiwa sehemu ya waliofariki, jana Mei 28, 2022. Msemaji wa Polisi, Grace Iringe-Koko anasema tukio la...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimeenda leo kanisani mhubiri akaniita "YESHURUNI" Nikalia Sana.

    NIMEENDE LEO KANISANI MHUBIRI AKANIITA "YESHURUNI" NIKALIA SANA. Anaandika Robert HERIEL Yule Shahidi, Ole wangu Mimi ikiwa nimekuwa Yeshuruni, nitatengwa na Mkono wangu utatupiliwa mbali, ingawa najua wengi wenu hamumjui huyo Yeshuruni ni Nani. Leo nikalisogelea lango la Kanisa ikiwa ni muda...
  18. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi watoto kutoa sadaka kanisani?

    Habari za leo ndugu zangu katika imani? leo naomba kujua uhalali wa watoto kutoa sadaka unakujaje. mtoto ana chanzo gani cha kipato mpaka atoe sadaka? Maana halisi ya sadaka ni nini hasa? Mada yangu ni hio wazee
  19. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

    Mwalimu wa shule ya Sekondari Jijini Mbeya, Julieth Kabuja (32) ameieleza Mahakama ya mwanzo Mkoani hapo kuwa ni bora ndoa yake ivunjike kuliko kumkabidhi mumewe kadi yake ya benki. Ameyazungumza hayo mbele ya Mahakama ya mwanzo jijini hapo baada ya mumewe Charles Meshack (31) kufungua shauri...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Shomari Salumu Kapombe, nenda katoe sadaka ya shukurani kanisani kwenu

    Kwa kufanikiwa kumzuia Fiston Mayele asifunge goli kwenye mechi ya Simba na Yanga ya tarehe 30 APRILI 2022 basi nakushauri uende kanisani kwako unapo abudu ukatoe sadaka ya shukurani.
Back
Top Bottom