kanisani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mnaoenda kanisani na kuvaa kama mnaenda kuogelea, Kanisani siyo sehemu ya kuonesha ‘umiss wala umista’

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba OSA, ametoa wito kwa Waamini jimboni humo kuvaa mavazi ya heshima pale wanapokwenda kanisani, akiwasisitiza kuepuka kuvaa kama wanakwenda kuogolea. Ameyasema hayo leo Juni mosi, 2025 katika Adhimisho la Misa Takatifu ya...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Abbas: Ukweli kufuniliwa kesho kanisani

    Watu wanaalikwa kanisani kwa Gwajima kuujua ukweli kuhusu elimu ya ABBAS. Mwana kulitafuta, mwana kulipana. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nacheka, lakini naogopa
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gwajima ameweka bendera ya Israel Kanisani kwake

    Sasa Ile bendera ya Israel inaonyesha nini kuhusu imani yake Gwajima.? Waisraeli anadhani wana Dini gani? Askofu Gwajima anataka aonekane kwamba yeye peke yake ndiye mtetezi wa wanyonge. Hao Waisraeli ndio wanaishambulia Gaza sasa hivi? Nani anapenda kuona Wagaza wanashambuliwa namna ile...
  4. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  5. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Twendeni kanisani

    Leo ni siku nzuri sana ❤️ Jumapili njema yenye kupendeza,nawakumbusha Baba, mama,kaka,dada zangu. Lakini na wadogo zangu pia. Twendeni kanisani (wakristo) Ni utaratibu mzuri,unaotukumbusha kufanya Yale yanayompendeza Mungu, Starehe zote ni ubatili hakuna jipya,niwashukuru wazazi wangu Kwa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waafrica muache kwenda makanisani na misikitini bali tusiache kumwamini Mungu wetu!

    Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima. WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
  7. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Akamatwa akiiba mkate kanisani (Eucharist), hua inafanyiwa kazi gani hii mikate??

    Wakuu kwema... Labda wenye ujuzi wa mambo ningependa mnijuze hivi kwanini watu wanaiba hii mikate?? Mikate hii inaweza kupatikana madukani mtu ukanunua na kufanyia mambo yako hata kama ni kunywea chai. Lakini kwanini watu hawa hua wanasubiria mikate hii ikishafanyiwa mageuzo na kua Mwili na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimetengwa kanisani baada ya kuomba account namba ya Yesu ama Mungu nimuwekee Zaka zake, fungu la kumi. Wanalazimisha wao ndio wampokelee Mungu hela

    Kanisani walikuwa wanasisitiza sana kila muumini lazima atoe fungu la kumi, maana ni la Mungu, binafsi nikawa tayari kumtolea mungu hela zake hizo za fungu la kumi ila kwa kumpatia Mungu mwenyewe ili kuepusha watu wa kati kumlia Mungu hela zake. hivyo nikaomba account namba ya Mungu ama namba...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Harusi mfungie kanisani, wali ukaliwe ukumbini, huo SI Upendo enyi watu wa Mungu!

    Salaam ,Shalom! Siku za mwisho imeandikwa Upendo wa wengi utapoa, Yaani ufunge ndoa kanisani, tukushangilie Kisha chakula kiende kuliwa ukumbini Tena kwa kundi dog tu la watu! Kiukwelli zamani palikuwa na upendo, likuwa Kila jumamosi au jumapiili sie watoto wa uswazi hatukukosa pilau la...
  10. Tman900

    JamiiForums Tanzania Fungu la Kumi/ Zaka na Sadaka, Michango ya Kanisani

    Wakristo Hususani, makanisani, Kumekua na Lundo la ukusanyaji Fedha, kwa kila Aina Ili tu wapate, Pesa. Ukitazama Michango na Mfumo mwingi unaotumiwa na makanisa sio kusali Tena Bali ni ukusanyaji wa pesa. Wahubiri na Viongozi Wanakazia sana kusoma vifungu vya kutoa/ Sadaka mda wote kuliko hata...
  11. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Hivi na nyinyi wenzangu Baba zenu hawakuwa na muda wa kuwashurutisha kwenda Kanisani?

    Kusema kweli, nimekuja kulielewa suala la dini vizuri nikiwa mtu mzima. Enzi za utoto wangu, marehemu baba yangu alikuwa mshika dini wa kweli—muumini mwaminifu wa Kanisa Katoliki. Hakika, haikuwa kawaida kwake kukosa ibada, iwe ni Misa ya Jumapili au sherehe nyingine za kiimani. Alikuwa mtu wa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tatizo la nguzo ya TANESCO kuoza mtaa wa Mavurunza, Kimara

    Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, kata ya Kimara, mtaa wa Mavurunza kwa Mtolo kanisani, tunasikitika nguzo hii imeisharipotiwa zaidi ya mara mbili kupitia huduma kwa wateja. Kila tukiripoti TANESCO Kimara wanakuja na wanesema kwa kuwa line ni kubwa wao Kimara TANESCO hawahusiki. Nakumbuka kwa mara ya...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Watu Wanazidi Kuacha Kwenda Kanisani? Kasumba Siku Hizi Kwa Wakatoliki ni Kuwa Mtoto Akishapata Kipaimara Anayeyuka Kanisani, Kwanini?

    Wiki hii nilijaribu kuwa mdadisi kidogo kuuliza vijana na watu wazima waliokuwa washiriki wa kanisa lakini kwa sasa wameacha kuhudhuria ibada ili kuelewa sababu zilizopelekea mabadiliko yao ya kiimani. Nilitarajia kusikia sababu za kawaida kama uvivu, majukumu mengi, au hata masuala ya...
  14. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Kanisani si kila anaelia amejazwa na roho mtakatifu wengine wanalia na shida zao

    "Maisha yamekuwa magumu hadi ukienda kanisani kipindi cha maombi unalia na kuomba kwa uchungu watu wanafikiri umezama kwenye maombi kumbe ni uchungu wa maisha magumu."
  15. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Wakristo wengi wanadanganywa kuwa kupeleka pesa na mali kanisani ndio kumtolea Mungu sadaka!

    Kama kuna jambo ambalo wakristo wengi wanadanganywa na kuibiwa basi ni kwenye kitu kinaitwa Sadaka. Kila ujanja ujanja wa viongozi wa kikristo kutaka kuwatapeli waumini pesa na mali zao basi sadaka ndio kichaka cha kwanza na haraka sana kinatumika. Na jambo hili lipo kwenye madhehebu yote ya...
  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hivi kuchangisha Pesa ya kujenga msikiti kutoka wa wakristo kanisani ni sahihi ? Tuone video

    Najiuliza swali kubwa sana kwa aina ya baadhi ya waumini wa pande zote mbili wanavyochuliana kimoyo moyo na kuchekeana kinafiki mdomoni je ni sahihi kwa Kiongozi wa nchi kuchangisha Pesa ya Makafiri ikajenge msikiti ? https://youtu.be/dgtbhL0K8gA?si=qEayIB2FhFQcMpjs
  17. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kanisani

    Kanisani. Kanisani{ Kurasini SDA Youth Choir }
  18. U

    JamiiForums Tanzania rafiki yangu msabato akiri yapo mafundisho kinyume na Biblia yaliyoingizwa kanisani mwao analaumu kanisa katoliki lengo lao kuwavuruga kiimani

    Wadau hamjamboni nyote? Nilikuwa naongea na Msabato mmoja rafiki yangu kuhusu Kanisa kuruhusu baadhi ya mafundisho au Imani zinazoenda kinyume na Biblia Katika mazungumzo yetu nilimtajia mambo mawili tu ambayo yameruhusiwa Kanisani karibuni kuwa ni kuruhusu wachungaji wanawake , idara ya...
  19. MKATA KIU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

    1. Hakuna madeni 2. Hakuna kusumbua watu michango 3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati watu wanaenda Kanisani kumuomba Mungu wawe diwani.

    Uchaguzi Mkuu unakaribia. Huu ndio wakati watu wanamwomba Mungu maisha marefu,afya njema na pia wawe diwani au wapate cheo chochote. Wengine wanaenda kwa waganga.
Back
Top Bottom