GE2025 Nimetoka Kanisani. Samia Suluhu ameshakufa kiroho

GE2025 Nimetoka Kanisani. Samia Suluhu ameshakufa kiroho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,852
Reaction score
63,375
Kwa dhambi za kutoa uhai alizofanya, ni sawa na kajimaliza. Tulia muone damu za Binadamu zinavyofanyazi. Kifupi ni kwamba kashakufa.. Amebaki kimwili tu ndo maana haguswi na mauaji.. Ni mfu kiroho, hajui wala hajali chochote.
Imeandikwa, “Roho, nafsi itendayo dhambi, itakufa” (Ezek. 18:4)

Mungu anaweza kuiua Roho (Math. 10:28).

Roho ipumzike kwa amani.
 
Kwa dhambi za kutoa uhai alizofanya, ni sawa na kajimaliza. Tulia muone damu za binqdamu zinavyofanyazi. Kkiufupi ni kwamba kashakufa.. Amebaki kimwili tu mdo maana haguswi na mauaji.. Ni mfu kiroho, hajui wala hajali chochote.
Imeandikwa, “Roho, nafsi itendayo dhambi, itakufa” (Ezek. 18:4)

Mungu anaweza kuiua Roho (Math. 10:28).

Roho ipumzike kwa amani.
Sitaki hata kuiona sura yake kwa picha
 
Kwa dhambi za kutoa uhai alizofanya, ni sawa na kajimaliza. Tulia muone damu za binqdamu zinavyofanyazi. Kkiufupi ni kwamba kashakufa.. Amebaki kimwili tu mdo maana haguswi na mauaji.. Ni mfu kiroho, hajui wala hajali chochote.
Imeandikwa, “Roho, nafsi itendayo dhambi, itakufa” (Ezek. 18:4)

Mungu anaweza kuiua Roho (Math. 10:28).

Roho ipumzike kwa amani.
Kweli kabisa, hawezi kuua watu wengi hivi halaf abaki salama; haijapata kutokea popote duniani
 
Mwehu kashapigwa za uso kwa kina Mwamposa etc.
Eti kiroho kafa,afe wapi huyo yupo tu.
 
Kwa dhambi za kutoa uhai alizofanya, ni sawa na kajimaliza. Tulia muone damu za Binadamu zinavyofanyazi. Kifupi ni kwamba kashakufa.. Amebaki kimwili tu ndo maana haguswi na mauaji.. Ni mfu kiroho, hajui wala hajali chochote.
Imeandikwa, “Roho, nafsi itendayo dhambi, itakufa” (Ezek. 18:4)

Mungu anaweza kuiua Roho (Math. 10:28).

Roho ipumzike kwa amani.
Laiti angemalizia na kimwili tukamtupa kama jibwa kizimavii kwao
 
Dunia ingekua inafanya kazi hivo.
Kagame, Ruto, Museveni, Obama, Putin Tusinge kua nao
 
Bado mtaongea sana. Mama Samia hadi 2030. Huenda tukamwongezea muda pia.

Hili ni shetani kubwa lisilostahili kuitwa kwa jina lolote lile la kibinadamu. Hakuna mwanadamu aliye shetani wa kiwango hiki.

Mungu wetu hakawii bali hujibu maombi kwa wakati ulio sahihi

Mungu wa huruma, tunaomba uzipokee Roho za viumbe wako walioondolewa uhai wao na wale wafuasi wa ibilisi. Tunaomba laana ya damu za wanadmu hawa waliouawa zikawe juu ya wauaji, waliowatuma, walioidhisha, na vizazi vyao vyote, hata mpaka siku ya hukumu.
 
Hana dini yule hakuna dini ya hivyo yule ana kibri cha madaraka na watawala wote walioangamia waliangamia kwa kibri cha madaraka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom