Katika kitabu cha Kutoka 3:5, Mungu alimwambia Musa: "Usikaribie hapa, vua viatu vyako miguuni, maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu." Kwanini basi Wakristo wa leo hawatii agizo hilo la kuvua viatu wanapoingia kanisani, ilhali Musa aliambiwa hivyo?
Sababu ya Musa kuambiwa avue viatu...
Imenishangaza mno!
Dada wa watu ambaye ni mhudumu wa Guest jirani na Kanisa amemwomba Mchungaji atoe ushuhuda ajabu wazee wa Kanisa wamekataa kata-kata!
persecution of Christians is real …
Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi tanzu la Dola la Kiislamu (Islamic State) kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo.
Wengi wa waliouawa walikuwa waumini...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amefika kusali pamoja na waumini wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima) wanaosali katika ukumbi wa Tanzanite jijini Dar es Salaam.
Awali kabla hajafika Naibu Katibu mkuu wa Kanisa hilo, Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, aliwauliza...
Mara baada ya ukimya wa muda mrefu, Freeman Mbowe — aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) — ameibukia kanisani kwa Mchungaji Kimaro katika Kanisa la KKKT Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limetokea Jumapili, Julai 6, 2025, ambapo Mbowe alionekana akiwa...
Kusinzia ni jambo la kawaida kwa mwanadamu aliyechoka. Lakini kusinzia wakati wa ibada, hasa wakati Neno la Mungu linafundishwa, sio jambo la kawaida kiroho. Ni dalili ya mashambulizi ya kipepo, yanayolenga kuzima roho yako usipokee Neno la uzima.
Ukweli huo unathibitiswa na Marko 1:23...
Baada ya Harambee ya Dr, Mwigulu Nchemba kanisani kwa WaLutheri Singida Jumapili ya juzi tarehe 29 Juni, 2025, mama akichangia TZS 50,000,000/- kati ya zaidi ya TZS one billion iliyopatikana, waumini wengi waliloloma wakionesha Kanisa la KKKT ni kibaraka wa Serikali hii.
Wengi wanajisikia...
Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu!
Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!!
Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia. Huwezi kuhubiri na kueneza duniani...
Ukienda kanisani kwenye ibada ya leo usisahau kumuombea-;
1. Mhe Lissu
2. Mdude Nyagali
3. Juma Kaswahili
4. Chaula
5. Jacob Mlay
6. Frank Mbise 7. Amani Manengelo
8. Deusdedith Soka
9. Dinioz Kipanya
10. Daniel Chonchorio
11. Musa Mziba
Na wengine wote ambao wametekwa na kupotezwa...
Ni jambo lililodhahiri kwa wengi, juu ya nani ni watekaji na wauaji wa watu wanaowakosoa watawala. Bahati mbaya sana hawa wafuasi wa shetani, wanafanya kila jitihada kuubariki uovu wao kwa kwenda kwenye nyumba za ibada ili kuuficha au kuuhalalisha uovu wao. Na hawa ndiyo mara nyingi wakienda...
GT
Tumezoea police kutoa tahadhari kuhusiana na mikusanyiko yoyote isiyokuwa halali huku wakitoa sababu. Nashangaa hapo kwa Gwajima.kuna shida gani wanapiga watu hovyo sababu zipi?
Wanatakiwa watoke hadharani wautaarifu umma kinachoendelea tofauti na hapo sisi tutaendelea kuamini kwamba ni...
Katika jamii nyingi, nyumba za ibada zimekuwa zikizingatia mafundisho ya Kiroho pekee. Maisha ya Kiroho ni muhimu sana, lakini hayawezi kutenganishwa na maisha ya kila siku, hasa yale yanayohusu uchumi na fedha. Mtu anaweza kuwa mcha Mungu wa kweli, lakini bado akahangaika na madeni au kukosa...
Askofu Maximillian Machumu wa Kanisa la Askofu Gwajima, Glory Of Christ Tanzania Church amesema Jumapili wataendelea na Ibada kama kawaida kwasababu Kanisa lao halijafungiwa
"Nafasi ya kujitetea hatujapewa, kwahiyo tuna-confirm wazi kwamba Kanisa letu halijafungwa na kwasabau hiyo kwa kuwa...
I’m really perplexed—how can any rational soul, endowed with both reason and revelation, deliberately choose domestic repose over the divine encounter that tomorrow’s sacred Sunday demands? What curious apathy, what spiritual amnesia, compels one to ignore the sacred rhythm of worship appointed...
Barua kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani, Ofisi ya Msajili wa Jumuiya inasomeka kama ifuatavyo:-
KUFUNGWA KWA SHUGHULI ZA KANISA LA GLORY OF CHRIST CHURCH - KANISA LA UFUFUO NA UZIMA
Chini ya Kifungu cha 17(b) na kifungu cha 2 cha Sheria ya Jumuiya Sura ya 337 kama kilivyorekebishwa na kifungu...
Mwanasiasa James Mbatia amesema hakukuwa na haja ya Jeshi la Polisi kutumika kwenda kuzingira Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kwa kuwa walitakiwa kumuita Askofu huyo badala ya kutumia nguvu.
Ameongeza kuwa amekutana na viongozi kadhaa wa Dini ngazi ya Askofu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.